marcus rojo
JF-Expert Member
- Mar 19, 2017
- 1,496
- 5,320
Mbunge wa tanzania nzima nae ana hali mbaya mil 50 tunazingoja kwa ham plus laptop zetu
Wewe upo kwenu huko ngondokulima utapajuwaje kawe?Nisipajue kawe tu hapo.wewe wa wapi?
Umenena vyema!Kuna juhudi kubwa inafanyika kwa dhahiri kuona vyama vya upinzani vikikosa nguvu bungeni.Lkn kwa mbali naona hata wapambe wa CCM wanashangaa mwenendo wa siasa ulivyo sasa!Ikitokea vijana wakaamua kupiga kura CCM itapoteza zaidi!Mkuu tuwe fair ili tuwasaidie baadhi ya wabunge wetu tunaowapenda, tukileta mahaba hatutawasaidia.
Ukweli ni kwamba majimbo mengi ya vijijidi kama kwa lusinde bado yataendelea kubaki ccm kwa sababu nyepesi tu - uelewa wa watu huko bado ni mdogo, na pia mahaba yao kwa chama tawala ni ya kihistoria!.
Tukirudi kwenye majimbo ya mijini, hasa majiji makubwa huko watu wengi huwa hawana msimamo - wanapenda kumuona mbunge wao yupo active ktk kuwaondolea kero zao mbalmbal (bunge lililopita mnyika alifanya vzr eneo hili, hasa kero ya maji ubungo).
Majimbo ya mijini wapiga kura huwa ni vigumu kdg kuwadanganya (mjini shule!)
Kwa maoni yangu, wapinzani wengi mpaka sasa bado hawajafanya vzr majimboni mwao - na wakiendelea na "kasi" hii 2020 wengi watapukutika bungeni!!
Kwa upande wa chama tawala wao kdg ni tofauti, baadhi wanaweza kusalimika kwa upepo wa ngosha, ikumbukwe ngosha kwa kasi hii 2020 Mungu akituweka hai hatakuwa na mpinzani!!
Try to be honest, at least wanalifanya bunge kuwa active kwa michango yao na vibweka vyao. Je vipi kuhusu Kibajaji na yule mrithi wa kiti cha mamake?Mdee, Bulaya, Mnyika, Lema
Sasa ukichoka wewe ndiyo sababu ya wengine kuchoka?Halima mdee nawe hawez rudi,binafsi nimechoka michezo yake hamna LA mana afanyalo yy kazi ugomvu,hatujamtuma ugomvi.
Soma Uzi huko kama hakuna MTU anayesapotSasa ukichoka wewe ndiyo sababu ya wengine kuchoka?
Mmmmmh katika hawa ulo wataja kuna %10 kweli wanaeza waspate ila kwa lema baba umefeliiiiii. Cyo kwa arusha hii ya leo.Mdee, Bulaya, Mnyika, Lema
Mmmmmh katika hawa ulo wataja kuna %10 kweli wanaeza waspate ila kwa lema baba umefeliiiiii. Cyo kwa arusha hii ya leo.Mdee, Bulaya, Mnyika, Lema
Unataka afanye nini ili umkubali mkuu.Mkuu mbona unamahaba jiwe hayo sasa mdee anaifanyia nini kawe mimacho lakini huoni au unafurahishwa na utukutu wake tu kuwa mkweli
Umefanya tathimini jimbo la kawe lina wananchi wangapi wenye sifa ya kupiga kura na waliompigia akapita ni wangapi na ambao hawakumpigia pia ni wangapi kujua hiyo idadi ya ambao hawatampigia imeongezeka ili ujiridhishe kwamba hawezi kupita?Soma Uzi huko kama hakuna MTU anayesapot
Lumumba buku 7 utawajuaUpinzani ikipata viti kumi 20/20 wakatambilke
Unamaanisha bona au?Kuna mbunge wa CCM kuleee segerea alinipa mpaka papuchi ili nisaini matokeo ya uongo waliyochakachua..magundi nikampakaza tena kwenye gari na matokeo sikusaini lakini eti akatangazwa kashinda...
Muda utakua muamuz mkuuUmefanya tathimini jimbo la kawe lina wananchi wangapi wenye sifa ya kupiga kura na waliompigia akapita ni wangapi na ambao hawakumpigia pia ni wangapi kujua hiyo idadi ya ambao hawatampigia imeongezeka ili ujiridhishe kwamba hawezi kupita?
Afadhali hawa wote warudi maana wao ndiyo wanachangamusha bunge. Pia na mtu yeyote anayetaka maendeleo lazima awarudishe kwa sababu Majimbo yao yanaonyesha kwa na Maendeleo kuliko yale majimbo yaliyotawaliwa na Chama kingine tangu Uhuru. Fanya utafiti utaona. Muda waliokaa na Maendeleo yaliyotokea.Jafari wa moshi sidhan kama atarudi,Mbatia nae harudi,lema harudi,Ester Bulaya harudi,Nape harudi coz ccm watamkataa kwenye kura za maoni,Mdee na kubenea nao hawatorudi pia