Wabunge wenye hali mbaya "Uchaguzi 2020"

Wabunge wenye hali mbaya "Uchaguzi 2020"

Mbunge Ester matiku wa Tarime mjini...naskia kazi yake ni kutoa maji ya kunywa misibani tu...huko anaeza someshwa namba
 
Hahahaaaa yaani hao uliowataja posibiliti ya kurudi ni ndogo sanaaa kwani thithi tuliwachagua ili wakatuletee maendeleo majimboni kwetu kwa kujenga hoja bungeni lakini wao kila siku wanaenda kutoa matusi bungeni ili watolewe bungeni na baadaye ukikaribia uchaguzi waje wajifanye tulipambana ndio manana tulikua tunatolewa kumbe ujinga mtupu thithi hatukiwachagua ili mkatukane bunge bali kujenga hoja zenye mashiko kwa wote
 
Mitazamo na bashasha vinaonyesha.
shauku ya kutaka kuona nayo yadhihirisha, ujasiri wa bandiko lako vyote vinaeleza. Kazi njema.
Kwa hiyo wabunge waleta fujo tuwafagilie hivyo hivyo tu?
 
Back
Top Bottom