Wabunge wenye hali mbaya "Uchaguzi 2020"

Wabunge wenye hali mbaya "Uchaguzi 2020"

Nilikua mkoani sikumpgia binafsi na makazi huko jimbo la kawe,yaan mkuu ukiona yaliyopo huko utashangaa is it Dar es Salaam?hafai mkuu wanakawe inabid tu kufumbua macho kumkata hamna namna.
Kafanyaje ebu tudokeze mkuu la sivyo itakua ni wivu tu

Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
 
Ashatu Kijaji, alijitolea kuwafundi watoto katika jimbo lake, watoto wawatu wengine walishajiajiri, hadi walituma maombi baadaye watoto wawatu kawatelekeza, so sad.
 
"TATHMINI MAJIMBONI"

Mpaka tulipo fika sisi kama wananchi ni hakika kua tunaweza kutathmini hali halisi ya Utendaji wa Wabunge kwmye Majimbo yetu na hata Bungeni .

Embu kwa pamoja tujaribu kuyapitia majimbo ya wabunge ambao wapo kwenye Possibility kubwa ya kutokushinda tena 2020.
Na ni sababu vipi zitawafanya wabunge hao kupoteza majimbo yao ? .
Lengo.
1.Kuwapa Alert Wabunge husika kua active.(bado wana kamda)

2.Kuaanda watu wenye nia ya kugombania Ubunge 2020 kuyafahamu majimbo dhaifu mapema.

Ahsanteni.
Kibiti nako kuna mbunge? kama yupo mwambie asigombee tena
 
Halima mdee nawe hawez rudi,binafsi nimechoka michezo yake hamna LA mana afanyalo yy kazi ugomvu,hatujamtuma ugomvi.
Hujui siasa ... ni mmoja kati ya wabunge wanaojua kufanya kazi yao ... na siku zote anakwenda na takwimu na uhalisia ... jiangalie wewe labda unaweza usiwepo kwenye uchaguzi wa 2020
 
Sasa mbona wengi hawatarudi ni ccm maana baba magu atawachinjia baharini hata hata kama wameshinda kura za maoni ,unategemea chairmen kweli ampitishe nape,bashe na wengineo weeee,labda sio yeye ,badirika fikra usiwaseme wapinzani tu,
 
Ndugu Mohamed Mchengerwa...Historia ya jimbo la rufiji huwa mbunge harudi mara mbili.....Maana wana kuwa na imani nae kubwa baadae wanakosa walicho tarajia..Ukitaka amini hilo...Mulize Dr Seif Rashid wazir wa Afya wa zamani
asante sana kwa kuwa na maono yenye tija + yanayoendelea sasa naona mtu mwingine akichukua jimbo.....
 
"TATHMINI MAJIMBONI"

Mpaka tulipo fika sisi kama wananchi ni hakika kua tunaweza kutathmini hali halisi ya Utendaji wa Wabunge kwmye Majimbo yetu na hata Bungeni .

Embu kwa pamoja tujaribu kuyapitia majimbo ya wabunge ambao wapo kwenye Possibility kubwa ya kutokushinda tena 2020.
Na ni sababu vipi zitawafanya wabunge hao kupoteza majimbo yao ? .
Lengo.
1.Kuwapa Alert Wabunge husika kua active.(bado wana kamda)

2.Kuaanda watu wenye nia ya kugombania Ubunge 2020 kuyafahamu majimbo dhaifu mapema.

Ahsanteni.
Bingwa wa matusi kutoka jimbo la Kawe
 
Back
Top Bottom