Wabunge wacharuka: Uwanja wa AFCON Arusha tumeibiwa...!

masopakyindi

Platinum Member
Joined
Jul 5, 2011
Posts
18,899
Reaction score
15,126

Haya, kula kwa urefu wa kamba sasa ni too much.

Wabunge wamelazimika kuhoji, gharama za kujenga uwanja wa AFCON Arusha zimepanda toka 187 billioni hadi 338 billioni.
Wamejiuliza mbona kitu hii haingii akilini?

Hivi nami najiuliza, hela ya ROAD FUND mbona inaliwa kijinga hivi?
 
Msigwa si yuko Dodoma anasimamia ujenzi wa Stadium ya Dodoma kwa hela iliyozidi bajeti inayohojiwa? Wabunge na wajumbe wa Kamati wafanye ziara tu pale Ndugai na Mtumba mji wa Magufuli wakajionee viwanja vya michezo vinavyojengwa.
 
View attachment 3704566

Haya, kula kwa urefu wa kamba sasa ni too much.

Wabunge wamelazimika kuhoji, gharama za kujenga uwanja wa AFCON Arusha zimepanda toka 187 billioni hadi 338 billioni.
Wamejiuliza mbona kitu hii haingii akilini?

Hivi nami najiuliza, hela ya ROAD FUND mbona inaliwa kijinga hivi?

Tunashangaa nini kama Uraisi nao umeibiwa, kura zimeibiwa. Uongozi wote na wabunge wote wametokana na wizi mtupu
 
View attachment 3704566

Haya, kula kwa urefu wa kamba sasa ni too much.

Wabunge wamelazimika kuhoji, gharama za kujenga uwanja wa AFCON Arusha zimepanda toka 187 billioni hadi 338 billioni.
Wamejiuliza mbona kitu hii haingii akilini?

Hivi nami najiuliza, hela ya ROAD FUND mbona inaliwa kijinga hivi?
Hakuna kitu watafanywa zaidi ya wananchi kuambiwa wawanange labda watajistukia 😔
 
View attachment 3704566

Haya, kula kwa urefu wa kamba sasa ni too much.

Wabunge wamelazimika kuhoji, gharama za kujenga uwanja wa AFCON Arusha zimepanda toka 187 billioni hadi 338 billioni.
Wamejiuliza mbona kitu hii haingii akilini?

Hivi nami najiuliza, hela ya ROAD FUND mbona inaliwa kijinga hivi?
Wabunge wanakumbuka shuka kumekucha ,Gambo alimkomalia BASHITE kuhusu upigaji long tyme ,DAB ni mpigaji mzuri sana.
 
View attachment 3704566

Haya, kula kwa urefu wa kamba sasa ni too much.

Wabunge wamelazimika kuhoji, gharama za kujenga uwanja wa AFCON Arusha zimepanda toka 187 billioni hadi 338 billioni.
Wamejiuliza mbona kitu hii haingii akilini?

Hivi nami najiuliza, hela ya ROAD FUND mbona inaliwa kijinga hivi?
Wapigaji wana mizizi mirefu sana, mfano kampuni ya Abdul ilipewa miradi wa ujenzi wa makao makuu ya TANESCO Dodoma, zimeongezwa bilioni 20 kinyume cha taratibu na hakuna anayethubutu kuhoji
 
Kwa magari wanayonunua SA sasa hivi ni hatari ukikuta scania ni 40 gari ndogo ananunuliwa hadi mtoto wa chakechea la kwake harafu Land Cruiser 250.
 
Back
Top Bottom