Wabunge 19 wa CHADEMA wagoma kuipigia kura ya ndio bajeti

Hii nchi bhana! Yaani watu kama Babu Tale, Alexender Mnyeti, Joseph Kashek 'msukuma', Deo Sanga 'Jah People', Livingstone Lusinde 'Kibajaj', Jesca Msambatavangu, na wengineo wengi!

Ndiyo wanao amua hatma ya maisha yetu eti!! So sad.
Kauli yako hii nusu initoe machozi, sincerely umeuchoma sana moyo wangu
 
Kauli yako hii nusu initoe machozi, sincerely umeuchoma sana moyo wangu
Ni ukweli mchungu! Wasomi wengi katika nchi masikini kama Tanzania, ni waoga! Hatujiamini! Kiasi cha kuruhusu wale wenzangu na mimi, kwa ujasiri na kujiamini kwao! Kufanikiwa kujipenyeza katika nafasi muhimu za kisiasa na kutuamulia hatma ya maidha yetu.

Huku wasomi tukibakia tu kubweka bweka mitandaoni, na humu jukwaani kupitia fake ID's. Siku tutakapokuwa na ujasiri, tukatanguliza maslahi ya Taifa mbele (Uzalendo wa kweli)! badala ya familia zetu, marafiki zetu, vyama vyetu vya siasa, nk! Naamini Taifa hili litapiga hatua kubwa sana kimaendeleo.
 
Hivi bado umoja party ipo. Ilikuja kwa kasi ila imeondoka kwa kasi zaidi.

Baada ya kupata mwitikio hasi huku mitandaoni imebidi wasitishe kwanza. CCM ilifanikiwa kuletea wananchi vyama mbadala huko nyuma, kwa sasa uwezo huo hawana tena kwani wameshapoteza ushawishi, na kizazi kimebadilika.
 
Upigaji wa kura kwa bajeti ya 2022/2023 unaendelea Bungeni ambapo wabunge wote wa CCM wamepiga kura ya ndio huku wa CHADEMA na ACT wakisema hawana maamuzi

Najiuliza ni kwanini hawaoneshi shukrani kwa Serikali ya CCM iliyowaweka na kuwalinda Bungeni?
Mmtegwa ili muulize swali hili huku nje..

CCM ina wabunge zaidi ya 370 kati ya 400. Hizi kura 19 au 20 zina impact gani ktk maamuzi unadhani..?

Hao wabunge Magumashi 19 na yule wa jimbo mmoja wako pale kwa purpose nyingine...

Na hilo la kutopigia kura ya NDIYO bajeti kuu ya serikali limefanyika strategically [kwa maelekezo] ili kuwapumbaza raia wajinga wasio na akili za kutafakari...

I think you understand what I mean, right?
 
Upigaji wa kura kwa bajeti ya 2022/2023 unaendelea Bungeni ambapo wabunge wote wa CCM wamepiga kura ya ndio huku wa CHADEMA na ACT wakisema hawana maamuzi

Najiuliza ni kwanini hawaoneshi shukrani kwa Serikali ya CCM iliyowaweka na kuwalinda Bungeni?
Wamewekwa kwa danganya toto.
Kadhalika hizo kura kwa bajeti nazo ni danganya toto.
 
Upigaji wa kura kwa bajeti ya 2022/2023 unaendelea Bungeni ambapo wabunge wote wa CCM wamepiga kura ya ndio huku wa CHADEMA na ACT wakisema hawana maamuzi

Najiuliza ni kwanini hawaoneshi shukrani kwa Serikali ya CCM iliyowaweka na kuwalinda Bungeni?
Kwahiyo idadi ya waliopiga kura imechakachuliwa, tumeambiwa ni wabinge wanne hivi hawakuwepo bungeni na Spika hakupiga kura, mbona hesabu ya hao 19 haipo? Uongo wa kuchakachua matokeo unalisaidia nini Bunge na taifa?
 
Bajeti ni nzuri na inapita bila shida yoyote.
Halima mdee ni mkombozi na shujaa ambae JMT haitakuja kumsahau
Unakumbuka alishapigwa ban kushiriki vikao bungeni kwa mwakazima? Unakumbuka alishahukumowa tukamchangia akatoka?
Wakati huo ulimuota msagaji? AMA nakosea?
 
Ukiangalia kwa mbali Mkakati uliousukwa ni wa kuwaingiza kwenye Chama chao walichokiunda kimkakati cha ACT wakiamini itakiimarisha na kupunguza nguvu ya CHADEMA.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom