Wabunge 10 wa CCM kesho wana ziara ya kuitembelea Clouds Media

Nadhani kuna fukuto..watu wameamua liwalo na liwe!

Wabunge ni watu wa kukaa nao na kuwashawishi kwa hoja.. Ikifika sehemu wanakupitishia mambo yako halafu unawaona kama wapiga kelele tu watachukia!
Ni kweli kabisa kwa kuwa wataona unawatumia kwa maslahi yako binafsi
Nalog off
 
Huo uzushi kwa moto ule mtu utatenguliwa na kufukuzwa uanachama very fast
 
Lengo nikuwapa pole clouds media kutokana na tukio lililowakuta LA kuvamiwa.

Wabunge hao ni

1:Hussein Bashe

2:Msukuma

3:Mlinga

4:Mpina

5:Ridhiwani

Wengine Wa 5 ni mawaziri lengo ni kuwapa pole clouds media kwa uvamizi huo.
Hiyo ndiyo shida ya watu walioguswa ktk maslahi yao sioni sababu ya wao eti kwenda kutoa pole Clouds kwani kuna msiba hapo Clouds au?

Wanaacha kufanya shughuli za maana ktk majimbo yao watu wa shida za kila aina huko Geita,Chalinze,Ulanga ambako shida sana,Nzega ..itobo shida tu unakimbilia Clouds na hao ndiyo Wabunge wetu na wanalipwa kwa Kodi zetu!

Halafu wanainchi kila siku tu nasema tunawawakilishi Bungeni wa kutatua kero zetu...tumeliwa kekundu

Narudia tena hakuna kituo chochote cha habari kilichovamiwa na vyombo vya ulinzi na usalama yawezekana watu walikuwa ktk kazi zao kama walinda Amani tatizo ni kutozoea kuona silaha Clouds ndani!!!

Wabunge acheni hizo propaganda zenu nendeni kawatumikieni wanainchi wenu majimboni
 
Ni jambo la kuogofya pale RC ana ambatana na genge lake la kihuni na kuvamia kituo cha televisheni kwenda kutimiza matakwa yao.
Ni mpumbavu pekee atakaelifumbia macho hilo suala.
Uyu Makonda angetakiwa awe ndani sasa hivi ila kwavile ametumwa kutapeli wauza mafauta ndio maana kakingiwa kifua.
Ndugu yangu huwezi kuita vyombo vyetu vya ulinzi na usalama ni genge la wahuni!

Vyombo vinavyokesha usiku na mchana kuhakikisha nchi yetu muda wote iko salama.

Acha kubeza hivi vyombo kisa kuwaona kupitia 'CCTV' wakiingia Clouds wakiwa na Silaha kitu ambacho ndiyo kitendea kazi chao muda wote.

Aliyekuambia nani kuwa ni marufuku kwa chombo chochote cha usalama kuingia ktk media??

Tunadakia tu mambo kisa Fulani kasema basi?

Na ndiyo mmepata pa kusema basi kila rangi ya herufu tutaiona!
 
Ngoja tuone kama ni kweli. ......

Watasutwa kama wale waliokuwa na mpango wa kwenda kumsalimia Mbunge Lema
 
Lengo nikuwapa pole clouds media kutokana na tukio lililowakuta LA kuvamiwa.

Wabunge hao ni

1:Hussein Bashe

2:Msukuma

3:Mlinga

4:Mpina

5:Ridhiwani

Wengine Wa 5 ni mawaziri lengo ni kuwapa pole clouds media kwa uvamizi huo.


Msiwasiwape pole tu, bali mchukuwe hatuwa ndiyo maana ya ubunge kutetea haki. Tanzania haiwezi kuongozwa na Makonda kwa Kuvunja sheria akiungwa mkono na Rais hiyo haiwezekani. Tanzania ni kubwa kushinda Makonda.
 
Ajali nyingi hutokea nchini na kuua watu, hata watu kuuwawa na majambazi kwa bunduki.

Sijawahi kusikia wabunge wakiongozana kwenda kutoa pole kwa wananchi. Hata shida nyingine haswaaaaa mmmmh

Nape kaamua haswa, bonge la chance watimize ila wameulwa ha ha haaaaa

Hii inaonyesha kuwa wanaguswa haswa ya maslahi yao ambayo yanayovunja sheria.

JPM oyeeeeee

Makonda oyeeeeeeee
Tulia wewe mbwiga watu wafanye kazi unachodandia kila thread nini? Wanaendaga lakini kwavile wanaenda kwenye chombo cha habari ndio maana habari unazisikia tulia tuli mpini uzame
 
Ajali nyingi hutokea nchini na kuua watu, hata watu kuuwawa na majambazi kwa bunduki.

Sijawahi kusikia wabunge wakiongozana kwenda kutoa pole kwa wananchi. Hata shida nyingine haswaaaaa mmmmh

Nape kaamua haswa, bonge la chance watimize ila wameulwa ha ha haaaaa

Hii inaonyesha kuwa wanaguswa haswa ya maslahi yao ambayo yanayovunja sheria.

JPM oyeeeeee

Makonda oyeeeeeeee

Wafunga gidamu za bosi utawajua fuu!
 
Ni jambo la kuogofya pale RC ana ambatana na genge lake la kihuni na kuvamia kituo cha televisheni kwenda kutimiza matakwa yao.
Ni mpumbavu pekee atakaelifumbia macho hilo suala.
Uyu Makonda angetakiwa awe ndani sasa hivi ila kwavile ametumwa kutapeli wauza mafauta ndio maana kakingiwa kifua.

Hiyo ni criminal. Makonda hana tofauti na wauza madawa ya kulevya wote ni wavunja sheria. Tofauti wauza madawa wanashikwa, yeye anakingiwa kifuwa na Rais mpaka lini? Huu ni uhalifu hausemeki. Nikidhani Rais Magufuli at Ataleta nabadiliko, Hakuna chochote hapa, bado Watanzania tunapambana na selective justice. If you are near the President you are untouchable. Hii haitaeta mabadiliko kamwe.
 
Yeah kwa kweli sasa wamezidi.

Hapo kuna watu wanali exploit hilo tukio kwa manufaa yao ya kisiasa tu.

Pole ya nini sasa? Kuna mtu kafa?

Heri hata wangeenda Ocean Road kuwapa pole wagonjwa wa saratani.
Mnalinganisha yasiyostahili kulinganishwa. Kinachotegemewa na yeyote mwenye akili ni kuwa dola ndiyo kimbilio la kila mtu kwaajili ya usalama wake kunapokuwa na hatari yoyote ua kiusalama. Na dola hiyo kwenye ngazi ya mkoa ipo chini ya mkuu wa mkoa.

Tukio hili lingefanywa na kibaka wa mtaani au mwingine awaye yeyote, lisingekuwa ni jambo la ajabu. Hili limefanywa na aliyetegemewa kuwa ni mlinzi wako. Inapotokea unayetarajia akupe ulinzi halafu yeye ndiye anageuka kuwa tishio la usalama wako, tena kwa kutumia vyombo ulivyotarajia atumie kukulinda, uhakika wa usalama wako upo kwa nani?

Ndiyo maana huu ni msiba mkubwa kwa Taifa, pengine kuliko wowote uliowahi kutokea huko nyuma.

Hapa isitazamwe tu kuwa watu wangapi wamejeruhiwa katika tukio lile au mali kiasi gani zimeharibiwa, bali upana wa akili unahitaji kutafakari tukio lile - mtu mwenye mamlaka na wajibu wa kulinda raia anageuka na kuwa tishio kwa raia. Je, wananchi wamtegemee nani kwaajili ya uhakika wa usalama wao? Mtoto akiwa hatarini hukimbilia kwa mama au baba yake lakini Baba na Mama wanapogeuka kuwa ndiyo hatari yenyewe, mtoto atakwenda wapi?
 
Lengo nikuwapa pole clouds media kutokana na tukio lililowakuta LA kuvamiwa.

Wabunge hao ni

1:Hussein Bashe

2:Msukuma

3:Mlinga

4:Mpina

5:Ridhiwani

Wengine Wa 5 ni mawaziri lengo ni kuwapa pole clouds media kwa uvamizi huo.

Some thing can't stay buried...
Bashite toa vyetiiiiii
 
Hilo jambo limekuwa exaggerated na limechukuliwa kisiasa kiufupi overrated sana

Aah kutoa pole eti kana kwamba jambo zito limefanyika wakati hakuna uharibifu uliofanyika wala hasara iliyotokea

Sitetei alichofanya makonda lakini hawa wanaodai wanaenda kutoa pole wana lao ,..clouds wanatumika tu ,


Awamu ya matukio na comedy hii
Penye uzia penyeza rupia
 
Back
Top Bottom