Wabunge 10 wa CCM kesho wana ziara ya kuitembelea Clouds Media

54776eb4614fad0e68fde588b3d44114.jpg

Swissme
 
Ajali nyingi hutokea nchini na kuua watu, hata watu kuuwawa na majambazi kwa bunduki.

Sijawahi kusikia wabunge wakiongozana kwenda kutoa pole kwa wananchi. Hata shida nyingine haswaaaaa mmmmh

Nape kaamua haswa, bonge la chance watimize ila wameulwa ha ha haaaaa

Hii inaonyesha kuwa wanaguswa haswa ya maslahi yao ambayo yanayovunja sheria.

JPM oyeeeeee

Makonda oyeeeeeeee
 
Hilo jambo limekuwa exaggerated na limechukuliwa kisiasa kiufupi overrated sana

Aah kutoa pole eti kana kwamba jambo zito limefanyika wakati hakuna uharibifu uliofanyika wala hasara iliyotokea

Sitetei alichofanya makonda lakini hawa wanaodai wanaenda kutoa pole wana lao ,..clouds wanatumika tu ,

Awamu ya matukio na comedy hii
 
Ni jambo la kuogofya pale RC ana ambatana na genge lake la kihuni na kuvamia kituo cha televisheni kwenda kutimiza matakwa yao.
Ni mpumbavu pekee atakaelifumbia macho hilo suala.
Uyu Makonda angetakiwa awe ndani sasa hivi ila kwavile ametumwa kutapeli wauza mafauta ndio maana kakingiwa kifua.
 
Hilo jambo limekuwa exaggerated na limechukuliwa kisiasa kiufupi overrated sana

Aah kutoa pole eti kana kwamba jambo zito limefanyika wakati hakuna uharibifu uliofanyika wala hasara iliyotokea

Sitetei alichofanya makonda lakini hawa wanaodai wanaenda kutoa pole wana lao ,..clouds wanatumika tu ,

Awamu ya matukio na comedy hii

Mambo ya kuvamia vyombo vya habari kwa mtutu yanatokea kwenyw nchi zinazopinduliwa,kwavle haujawai kuona au kupitia hayo matatizo ndio maana hauoni tatizo.
 
Back
Top Bottom