Wabunge 10 wa CCM kesho wana ziara ya kuitembelea Clouds Media

MAJIPU 10 YA MAGUFULI. YAENDE TU Hapo sawa ili wasaliti wa JPM wajidhihirishe halafu tuwatumbue kiukweli bila chenga. Maana mwanzo walikuwa wanafanya kisirisiri. Mfano Waziri Nape amekosa nidhamu ya maadili ya uongozi. Mkuu ameshatoa tamko kuwa mwacheni afanye kazi na wewe unaendelea na uchunguzi wakati mkuu ameshafunga chapter ni utovu wa nidhamu ni JIPU tena la usoni.
Tamko la mh. Lilikuwa in kwa watu wanao mzonga Makonda mitandaoni tu Na si kwa watumishi wa umma wanaotimiza majukumu yao kwa mujibu wa kanuni , sheria na mipaka ya utumishi. Watu wengi tulielewa hivyo, nadhani na Nape pia ni miongoni mwetu.
 
Kwasasa Makonda ni wa kuachwa tu, coz hata athibitike kufanya kosa kubwa, ukimsema unaambiwa wewe unapingana na vita dhidi ya dawa za kulevya
 
habari hii siyo kweli. Hakuna mbunge anayeweza kufanya hivyo. Pengine tusubiri tuone hiyo kesho.
 
Back
Top Bottom