Wabunge 10 wa CCM kesho wana ziara ya kuitembelea Clouds Media | Page 7 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wabunge 10 wa CCM kesho wana ziara ya kuitembelea Clouds Media

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by TangataUnyakeWasu, Mar 20, 2017.

 1. TangataUnyakeWasu

  TangataUnyakeWasu JF-Expert Member

  #1
  Mar 20, 2017
  Joined: Dec 18, 2016
  Messages: 1,152
  Likes Received: 1,451
  Trophy Points: 280
  Lengo nikuwapa pole clouds media kutokana na tukio lililowakuta LA kuvamiwa.

  Wabunge hao ni

  1:Hussein Bashe

  2:Msukuma

  3:Mlinga

  4:Mpina

  5:Ridhiwani

  Wengine Wa 5 ni mawaziri lengo ni kuwapa pole clouds media kwa uvamizi huo.
   
 2. Gronkjaer

  Gronkjaer JF-Expert Member

  #121
  Mar 21, 2017
  Joined: Apr 20, 2013
  Messages: 292
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 60
  Penye uzia penyeza rupia
   
 3. Crocodiletooth

  Crocodiletooth JF-Expert Member

  #122
  Mar 21, 2017
  Joined: Oct 28, 2012
  Messages: 9,566
  Likes Received: 3,376
  Trophy Points: 280
  (.......),NIMESEMA MIMI NDIYE RAIS YOTE MNAYOFANYA NI BUREEE...NIPO JUU YA KILA MAMLAKA HAKUNA WA KUNINYIMA USINGIZI,...NITAVUNJA BUNGE NIKICHUKIA AU MKIWA KIMBEREMBERE.../
   
 4. Andrew Mushi

  Andrew Mushi JF-Expert Member

  #123
  Mar 21, 2017
  Joined: Dec 13, 2016
  Messages: 557
  Likes Received: 493
  Trophy Points: 80
  Mkuu kuna tofauti kubwa kati ya jambazi na gaidi, kuiita ujambazi mbona hio ni kama una underestimate uhalisia!
   
 5. Kkimondoa

  Kkimondoa JF-Expert Member

  #124
  Mar 21, 2017
  Joined: May 31, 2014
  Messages: 3,632
  Likes Received: 3,369
  Trophy Points: 280
  Hii nchi ina wajinga wengi kuliko wenye utimamu na hao wajinga ndio wanao inyonga tanzania kwa hiari yao.
   
 6. Andrew Mushi

  Andrew Mushi JF-Expert Member

  #125
  Mar 21, 2017
  Joined: Dec 13, 2016
  Messages: 557
  Likes Received: 493
  Trophy Points: 80

  You seems like minded person with other co conspirators, determine and oh well just silly , your conscious say different thing and your fingers says other story, that suggest there are more sinister thinkings going on in your head based on a very weird reasons,

  I can tell by your writings, it defies logic, conscious and most importantly the facts,

  What Nape get to do, with terrorist act committed by well you know what..

  Makonda oyeeeeee,

  JPM oyeeeee,

  They appreciate your love and support, 100%
   
 7. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #126
  Mar 21, 2017
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,419
  Likes Received: 3,895
  Trophy Points: 280
  Hivi watanzania kuanzia raisi tumegoma kabisa kuzungumzia viwanda. Viwanda havijengwi watu tuko busy na mitandao, hata raisi hajazindua hata kiwanda kimoja licha ya kuahidi Tanzania ya viwanda
   
 8. iparamasa

  iparamasa JF-Expert Member

  #127
  Mar 21, 2017
  Joined: Nov 14, 2013
  Messages: 13,433
  Likes Received: 14,060
  Trophy Points: 280
  Nadhani ataenda kupiga watu kariakoo
   
 9. Midumare Ngatuni Iwato

  Midumare Ngatuni Iwato JF-Expert Member

  #128
  Mar 21, 2017
  Joined: Jul 13, 2016
  Messages: 794
  Likes Received: 882
  Trophy Points: 180
  Mke Wa Raisi wazamani wakenye Marehemu Mama Lucy kibaki alishawai kuvamia kituo cha Television kwa kosa la kituo hiko kumwandama na Mume wake na akafanya fujo kubwa sana....sasa nape anaposema kuwa Tansinia ya habari imenajisiwa mbona yeye alizui kwa nguvu bunge live..au pale akunajinsi..waache unafiki Mkubwa kina Nape..namshukuru sana Mwenyenzi Mungu Mkuu kwa kutupa Raisi Magufuli mwanaume mwenye Moyo mzito na mbavu zake Nene kama za simba..nadhani ni muda sasa wakusafisha CCM watoke wanafiki wote wote watuachia chama chetu ila tutawakata sana..Makonda pambana sana tena ongeza speed kubwa sana
   
 10. PingIdea

  PingIdea JF-Expert Member

  #129
  Mar 21, 2017
  Joined: Jan 24, 2015
  Messages: 363
  Likes Received: 148
  Trophy Points: 60
  Huko ni kulogwa kiwango cha PhD tena kulogwa na Chizi

  Unawezaje kushangilia upuuzi?
   
 11. PingIdea

  PingIdea JF-Expert Member

  #130
  Mar 21, 2017
  Joined: Jan 24, 2015
  Messages: 363
  Likes Received: 148
  Trophy Points: 60
  Wewe ndo unatumika kwa kutetea ujinga
   
 12. tanmoc

  tanmoc Member

  #131
  Mar 21, 2017
  Joined: Jul 23, 2016
  Messages: 50
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 25
  Malizia na wasukuma oyeee
   
 13. Rungu

  Rungu JF-Expert Member

  #132
  Mar 21, 2017
  Joined: Feb 23, 2007
  Messages: 3,872
  Likes Received: 992
  Trophy Points: 280
  Hiki "kizungu" umefundishwa na Lisu?
   
 14. b

  bato JF-Expert Member

  #133
  Mar 21, 2017
  Joined: Dec 20, 2012
  Messages: 2,386
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Haya majina,mengine yapo kwenye list ya watuhumiwa wa madawa ya kulevya,wengine ni watetezi wa matumizi ya madawa ya kulevya. Makonde(a) alithubutu kuwakabili kuwataja hadharani,tumeona matokeo yake. Aliuawa mwangosi hadharani,akiacha mke na watoto wadogo,aliuawa yule mwenyekiti wa cdm,kutoka kanda ya ziwa hadharani,kapotea Ben saanane,alipigwa Dr ulimboka,......list ni ndefu, kwa nini hili la mawingu? Uharibifu gani umetokea,hata inzi hakuguswa.Makonda kagusa maslahi ya watu.
   
 15. I

  Ichobela JF-Expert Member

  #134
  Mar 21, 2017
  Joined: Jan 7, 2012
  Messages: 249
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Kipi bora
  Wabunge na waziri wa wizara husika kwenda Clouds kujua ukweli au tukubaliane na mwenye nchi yake kuwa ni UDAKU?
   
 16. I

  Ichobela JF-Expert Member

  #135
  Mar 21, 2017
  Joined: Jan 7, 2012
  Messages: 249
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Utawala bora bado giza nene Tanzania.
   
 17. Kajirutaluka

  Kajirutaluka JF-Expert Member

  #136
  Mar 21, 2017
  Joined: Sep 22, 2016
  Messages: 1,087
  Likes Received: 830
  Trophy Points: 280
  Mkuu ameprovide the cause. He should have at at least scorned the boy
   
 18. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #137
  Mar 21, 2017
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 30,827
  Likes Received: 34,428
  Trophy Points: 280
  Unafikiri kibashite-bashite.
   
 19. d

  daud magigo JF-Expert Member

  #138
  Mar 21, 2017
  Joined: Sep 5, 2014
  Messages: 949
  Likes Received: 230
  Trophy Points: 60
  Utakataa kwamba hata kikao cha katiba cha Warioba cha kujadili katiba hapa Ubungo jambazi hili liliwavamia viongozi wetu kwa baraka maaiumu,Mwanza hawashituki hii tabia alijifunza kwa Mzee mmoja wa Kisesa ambaye leo ni marehemu.
   
 20. c

  chabusalu JF-Expert Member

  #139
  Mar 21, 2017
  Joined: Apr 29, 2016
  Messages: 5,539
  Likes Received: 3,070
  Trophy Points: 280
  Ni kweli. Kwa mtu yeyote anayefikiri sawa sawa hawezi kuona jambo hilo kuwa ni dogo. Kwa ujumla kitendo hicho na ikizingatiwa mkuu ameonekana kana kwamba hana tatizo na kilichofanywa, tafsiri yake ni kwamba taifa liko katika msiba mzito!
   
 21. kisu cha ngariba

  kisu cha ngariba JF-Expert Member

  #140
  Mar 21, 2017
  Joined: Jun 21, 2016
  Messages: 19,553
  Likes Received: 42,577
  Trophy Points: 280
  Mkuu usitake siku yangu ianze vibaya,nitakujibu vizuri baadae. Nimekuifadhi.
   
Loading...