Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 65,882
- 157,107
Amrudishe benJambazi Bashite atavamia wapi tena?
Amrudishe benJambazi Bashite atavamia wapi tena?
Wameona mbuyu umeoza shinani wanaanza kufunguka akiliCCM sasa wanaona hali imekuwa mbaya wanaanza kuhangaika.
Jamaa anawaponza.
Safari hii ni ikulu kufanya revolutionJambazi Bashite atavamia wapi tena?
Ni kweli kabisa kwa kuwa wataona unawatumia kwa maslahi yako binafsiNadhani kuna fukuto..watu wameamua liwalo na liwe!
Wabunge ni watu wa kukaa nao na kuwashawishi kwa hoja.. Ikifika sehemu wanakupitishia mambo yako halafu unawaona kama wapiga kelele tu watachukia!
Bado sana kiongozi, habari za miaka teleWe jamaa hujaacha kulog off?
Hiyo ndiyo shida ya watu walioguswa ktk maslahi yao sioni sababu ya wao eti kwenda kutoa pole Clouds kwani kuna msiba hapo Clouds au?Lengo nikuwapa pole clouds media kutokana na tukio lililowakuta LA kuvamiwa.
Wabunge hao ni
1:Hussein Bashe
2:Msukuma
3:Mlinga
4:Mpina
5:Ridhiwani
Wengine Wa 5 ni mawaziri lengo ni kuwapa pole clouds media kwa uvamizi huo.
Ndugu yangu huwezi kuita vyombo vyetu vya ulinzi na usalama ni genge la wahuni!Ni jambo la kuogofya pale RC ana ambatana na genge lake la kihuni na kuvamia kituo cha televisheni kwenda kutimiza matakwa yao.
Ni mpumbavu pekee atakaelifumbia macho hilo suala.
Uyu Makonda angetakiwa awe ndani sasa hivi ila kwavile ametumwa kutapeli wauza mafauta ndio maana kakingiwa kifua.
Lengo nikuwapa pole clouds media kutokana na tukio lililowakuta LA kuvamiwa.
Wabunge hao ni
1:Hussein Bashe
2:Msukuma
3:Mlinga
4:Mpina
5:Ridhiwani
Wengine Wa 5 ni mawaziri lengo ni kuwapa pole clouds media kwa uvamizi huo.
Tulia wewe mbwiga watu wafanye kazi unachodandia kila thread nini? Wanaendaga lakini kwavile wanaenda kwenye chombo cha habari ndio maana habari unazisikia tulia tuli mpini uzameAjali nyingi hutokea nchini na kuua watu, hata watu kuuwawa na majambazi kwa bunduki.
Sijawahi kusikia wabunge wakiongozana kwenda kutoa pole kwa wananchi. Hata shida nyingine haswaaaaa mmmmh
Nape kaamua haswa, bonge la chance watimize ila wameulwa ha ha haaaaa
Hii inaonyesha kuwa wanaguswa haswa ya maslahi yao ambayo yanayovunja sheria.
JPM oyeeeeee
Makonda oyeeeeeeee
Ajali nyingi hutokea nchini na kuua watu, hata watu kuuwawa na majambazi kwa bunduki.
Sijawahi kusikia wabunge wakiongozana kwenda kutoa pole kwa wananchi. Hata shida nyingine haswaaaaa mmmmh
Nape kaamua haswa, bonge la chance watimize ila wameulwa ha ha haaaaa
Hii inaonyesha kuwa wanaguswa haswa ya maslahi yao ambayo yanayovunja sheria.
JPM oyeeeeee
Makonda oyeeeeeeee
Ni jambo la kuogofya pale RC ana ambatana na genge lake la kihuni na kuvamia kituo cha televisheni kwenda kutimiza matakwa yao.
Ni mpumbavu pekee atakaelifumbia macho hilo suala.
Uyu Makonda angetakiwa awe ndani sasa hivi ila kwavile ametumwa kutapeli wauza mafauta ndio maana kakingiwa kifua.
Mnalinganisha yasiyostahili kulinganishwa. Kinachotegemewa na yeyote mwenye akili ni kuwa dola ndiyo kimbilio la kila mtu kwaajili ya usalama wake kunapokuwa na hatari yoyote ua kiusalama. Na dola hiyo kwenye ngazi ya mkoa ipo chini ya mkuu wa mkoa.Yeah kwa kweli sasa wamezidi.
Hapo kuna watu wanali exploit hilo tukio kwa manufaa yao ya kisiasa tu.
Pole ya nini sasa? Kuna mtu kafa?
Heri hata wangeenda Ocean Road kuwapa pole wagonjwa wa saratani.
Lengo nikuwapa pole clouds media kutokana na tukio lililowakuta LA kuvamiwa.
Wabunge hao ni
1:Hussein Bashe
2:Msukuma
3:Mlinga
4:Mpina
5:Ridhiwani
Wengine Wa 5 ni mawaziri lengo ni kuwapa pole clouds media kwa uvamizi huo.
Thubutu....ufipa ni sawa uwe mbeya alafu ulete style hizo Lazima watu wachapane!Next ni Ufipa
Penye uzia penyeza rupiaHilo jambo limekuwa exaggerated na limechukuliwa kisiasa kiufupi overrated sana
Aah kutoa pole eti kana kwamba jambo zito limefanyika wakati hakuna uharibifu uliofanyika wala hasara iliyotokea
Sitetei alichofanya makonda lakini hawa wanaodai wanaenda kutoa pole wana lao ,..clouds wanatumika tu ,
Awamu ya matukio na comedy hii