Wabunge 10 wa CCM kesho wana ziara ya kuitembelea Clouds Media | Page 5 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wabunge 10 wa CCM kesho wana ziara ya kuitembelea Clouds Media

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by TangataUnyakeWasu, Mar 20, 2017.

 1. TangataUnyakeWasu

  TangataUnyakeWasu JF-Expert Member

  #1
  Mar 20, 2017
  Joined: Dec 18, 2016
  Messages: 1,152
  Likes Received: 1,451
  Trophy Points: 280
  Lengo nikuwapa pole clouds media kutokana na tukio lililowakuta LA kuvamiwa.

  Wabunge hao ni

  1:Hussein Bashe

  2:Msukuma

  3:Mlinga

  4:Mpina

  5:Ridhiwani

  Wengine Wa 5 ni mawaziri lengo ni kuwapa pole clouds media kwa uvamizi huo.
   
 2. ISIS

  ISIS JF-Expert Member

  #81
  Mar 21, 2017
  Joined: Apr 20, 2016
  Messages: 56,643
  Likes Received: 358,417
  Trophy Points: 280
  Clouds amkeni kabla hamjafanywa chambo! Hapo ni maslahi ya wanasiasa tu! Yaliyopita yamepita songeni mbele na achaneni na ujinga huu! Wakifika muwatimue au msiwafungulie mlango....hao ni siasa tupu! Stay away as far as it can be! Mchezo wao ni lethal kwa wafanya biashara
   
 3. m

  mbeziboy JF-Expert Member

  #82
  Mar 21, 2017
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 988
  Likes Received: 705
  Trophy Points: 180
  Surely you know better than this! A line in this country has been crossed...one that hasnt been crossed in the 50+ years of our independence. Never before have armed security operatives dared to storm a media house! This is unheard of in a democracy....it was hitherto unheard of in Tanzania....and it must be condemned by all right thinking members of society. CMG and the entire media fraternity are deserving of our 'poles'
   
 4. mr mkiki

  mr mkiki JF-Expert Member

  #83
  Mar 21, 2017
  Joined: Sep 22, 2016
  Messages: 1,658
  Likes Received: 2,946
  Trophy Points: 280
  Teh teh
   
 5. mashoodjr

  mashoodjr JF-Expert Member

  #84
  Mar 21, 2017
  Joined: Feb 4, 2016
  Messages: 1,757
  Likes Received: 1,111
  Trophy Points: 280
  Mkuu huoni big picture kwanza ulianza kubisha sio kweli sasa unasema wamezidi, kuwa na msimamo kutetea ujinga haitakusaidia chochote. Nilifikiri kuishi marekani umepanuka kimawazo kumbe bado una usukuma tu ndani yako. Ingetokea kitu kama hicho marekani nafikiri kuna watu wangekua ndani sasa hivi.
   
 6. k

  kimokoi86 Member

  #85
  Mar 21, 2017
  Joined: Dec 23, 2016
  Messages: 96
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 25
  Wewe unatetea uharamia..? ni tasnia ya habari imevamiwa sio clouds peke yake
   
 7. M2mwembamba

  M2mwembamba JF-Expert Member

  #86
  Mar 21, 2017
  Joined: Feb 23, 2014
  Messages: 1,920
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Hii nayo mpya, movie iendelee
  Credid kwa gwajima
   
 8. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #87
  Mar 21, 2017
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 72,321
  Likes Received: 32,569
  Trophy Points: 280
  Nilibisha kitu gani kuwa si kweli?
   
 9. c

  curiousE JF-Expert Member

  #88
  Mar 21, 2017
  Joined: Jan 8, 2017
  Messages: 201
  Likes Received: 171
  Trophy Points: 60
  Kitu Kama hichi kinapofanywa na mtu anayeitwa kiongozi wa nchi then kuna watu wanashangilia inabidi tujiulize upeo wa wananchi!!!
   
 10. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #89
  Mar 21, 2017
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 67,318
  Likes Received: 72,632
  Trophy Points: 280
  Watanzania tutalipuka kwa furaha kama hawa wataamua kumpinga huyu DU na kauli zake dhidi ya mhuni na jambazi Bashite. Zitakuwa ni dalili za mwanzo kabisa ndani ya CCM kwamba wameshaanza kukosa imani na huyu dikteta uchwara. Na ule udikteta uchwara alioufanya wa kubadili katiba CCM wauangalie upya na ikiwezekana wafute mabadiliko yale ya katiba.

   
 11. J

  JF Member JF-Expert Member

  #90
  Mar 21, 2017
  Joined: Dec 14, 2014
  Messages: 1,358
  Likes Received: 811
  Trophy Points: 280
  Acha mkutumia neno kuvamia kama huna akili zako..mwenyewe

  Kwanza uellewe mtu alozoea kkwenda pale.. Pili alienda kuchukua cd yake.. Uvamizi ni upi?
  Hujui mkuu wakoa anatembea na hao walinzi sehem zote?
   
 12. M

  Mr.Mak JF-Expert Member

  #91
  Mar 21, 2017
  Joined: Feb 23, 2011
  Messages: 2,626
  Likes Received: 459
  Trophy Points: 180
  Mtaandika kila aina ya upuuzi kazi kwenu
   
 13. mashoodjr

  mashoodjr JF-Expert Member

  #92
  Mar 21, 2017
  Joined: Feb 4, 2016
  Messages: 1,757
  Likes Received: 1,111
  Trophy Points: 280
  Wakati clip haijatoka ulibisha.
   
 14. Billie

  Billie JF-Expert Member

  #93
  Mar 21, 2017
  Joined: Aug 13, 2011
  Messages: 4,702
  Likes Received: 1,662
  Trophy Points: 280
  wauza unga wamepigwa wanatafuta pa kujificha staring wa vita yao bado yupo hai imewauma kulaleki huu mwaka mmepata rais ninja na mtamkumbuka
   
 15. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #94
  Mar 21, 2017
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 72,321
  Likes Received: 32,569
  Trophy Points: 280
  Sikubisha.

  Nilidai information zaidi ili niweze kutoa maoni yangu.

  Big difference.
   
 16. totolito

  totolito JF-Expert Member

  #95
  Mar 21, 2017
  Joined: Mar 16, 2016
  Messages: 551
  Likes Received: 315
  Trophy Points: 80
  Umeona eee mwili contena akili kisoda sijui yukoje anapenda kujifanya hamnazo
   
 17. Burton86jm

  Burton86jm JF-Expert Member

  #96
  Mar 21, 2017
  Joined: Jul 28, 2011
  Messages: 570
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 45
  [​IMG]
   
 18. Friday Malafyale

  Friday Malafyale JF-Expert Member

  #97
  Mar 21, 2017
  Joined: Jan 18, 2017
  Messages: 1,178
  Likes Received: 1,398
  Trophy Points: 280
  We kumaaa naona leo umepumua sasa maana unavyotetea bashite looh na baba yenu alivosema hapangiwi mmevimba kichwa kabisaaa
   
 19. Bila bila

  Bila bila JF-Expert Member

  #98
  Mar 21, 2017
  Joined: Dec 20, 2016
  Messages: 2,242
  Likes Received: 3,160
  Trophy Points: 280
  Akili kama hizi wanazo watu maalum tu, na kwa bahati mbaya Mungu ameumba wachache.
   
 20. lusungo

  lusungo JF-Expert Member

  #99
  Mar 21, 2017
  Joined: Jan 4, 2014
  Messages: 17,584
  Likes Received: 7,838
  Trophy Points: 280
  Huyo mbwa wa stendi umepoteza muda wako bure kumjibu!! Mtu anaemiliki usaha kichwani ni kumpuuza!!
   
 21. Billie

  Billie JF-Expert Member

  #100
  Mar 21, 2017
  Joined: Aug 13, 2011
  Messages: 4,702
  Likes Received: 1,662
  Trophy Points: 280
  Matusi ya nini sasa au na wewe mtumia madawa ya kulevya?
   
Loading...