Bora hata ukojoe sakafuni.bt nailaumu serikali ya ccm ilo wanyma elimu.
Bora hata ukojoe sakafuni.bt nailaumu serikali ya ccm ilo wanyma elimu.
Nilistuka nilipoona neno "WABONGO SIO WASTAAR...."
Kumbe inatuhusu watu specific , ambao ni sisi wanaume!
But headin' ina combine Wabongo wa gender zote .
Nilicho notice mie hapa wamama haiwahusu , kwa muamala mmoja ni mtihani kwao to dischurge shotcall kwenye sink .
Wababa tunajifedhehesha sie wenyewe , na tujikanye kwa upumbavu type hii.
Akili na utashi haviko sawa tuNitty,
wakati mwingine uchafu kama huu sio uswazi tu...mlimani city ambako tunaamini wastaarabu/wauza sura kibao lakini unakuta mtu anatoka chooni unapishana nae,ukifika ndani kaacha gogo hajaflash...huo ni UNGESE!
Bora hata ukojoe sakafuni.bt nailaumu serikali ya ccm ilo wanyma elimu.
Aisey ! Yaani umemchukia Ng'ombe si basi chuki yako ikaishia kwa Ng'ombe ?
Wewe unachukia hadi Ngoma !
Kwakua tu imewambwa kwa ngozi ya yule Ng'ombe ?
Unachuki hadi na wanaocheza mdundo wa Ngoma !
Utajinyima kunenepa hivihivi .
..Mtu na akili zako kweli unafungua zipu ya Suruali na kutoa Limshedede lako halafu unakojoa juu ya Sink la kunawia badala ya kukojoa chooni!!!@@###
..Hii imetokea Uwanja wa Taifa jana katika mechi ya Yanga na Azam.
"Miafrika ndivyo Tulivyo" - Nyani Ngabu
huu uwanja haukutakiwa kujengwa sehemu zile maana wahudhuliaji wakubwa ni wakutoka uswahilini. Watu wa uswahilini hawanaga haya ustaarabu wao ni zero kabisa
Una uhakika gani kama ni wanaume na si wanawake?
Una uhakika gani kama ni wanaume na si wanawake?