Jamaa anakuwa kijeshi jeshi kutwavnzima, halafu anatarajia pafomansi kitandani, kama siyo wendawazimu ni nini! Jinga kabisa, subiri akutane na wa romantiki sasa, mfyuuuu...

Nilichomaanisha unakuwa confused kwa mambo ya kipumbavu sana

aisee!Hataki kuwa romantic huyoaisee!
Chap kwa haraka.

Nipo wa kanda ya kati hapa.Nikimpata humu romantic guy wa kanda ya ziwa naomba nimuambie in advance, 'yes I do.!!' 😂
Ulitumwa na nani uvamie machaliii wa Araaaa....Sasa kama mtu umejaribu kuwa romantic halafu majibu yake anakwambia usimletee hizo mambo za kwenye tamthilia za kifilipino .huyo mtu nitamsaidiaje kwa mfano.
Siku akipatikana atakakubali kuwa treated like a 🤴..I’llbe zea...😩😩
Hahahah we unadhani u romantiki ndio wadhifa wa kustawisha penzi.Hiyo ni ushamba zaidi, kuwa romantiki inaboresha mahusiano, ujeshi jeshi siyo ishu kabisa, na hiyo inaweza sababisha kumong'onyoka kwa penzi
Hizi muvi za kifilipino hakika zinawaharibu sana bana, sema tu hamjui.
Yaan nimeacha wote nimekuoa wewe, bado tu huridhiki kuwa nakupenda, nyie watu nyie loh
Cc Heaven Sent
Ila wabongo mjifunzeni kuwa romantic kwenye mahusiano/ndoa. Penzi linanoga ukiwa romantic bana.
Yaani sijajua sijui ni desturi au ni ushamba yaani unakuta mwanaume unarudi home unamkuta wife jikoni anapika we unaketi sebuleni unasubiri amalize Kupika alafu eti yeye ndo anaanzisha salamu.
Kwa walio romantic unakuta anamfuata wife jikoni makiss Kama yote alafu anamsaidia na kupika
Ila eti wewe unajikuta kidume no romantic moves kwenye ndoa.
Wengine hata kuambiana Nakupenda kwenye ndoa ni shida yaani mnaishi kijeshi jeshi..
Wengine hata kukumbatiana wife akirudi au hata kumtia moyo kwa maneno ya kimahaba hapana ni full ukomandoo!
Hata mkipita Town kumshika hata mke wako kimahaba huwezi.Yaani mkiingia Town kila mtu chocho zake ilimradi msionekane pamoja..
Dah!@Heaven Sent kumbe na wewe unapenda madikodiko na romanceEm tubebisheni huko na nyie bana khaa

Sasa kwa nini analeta vitu vya kifikirika wakati yeye mwenyewe kuvifanya haviwezi hata kidogo eti romantic mambo ya kifilipono unaleta bongoHuyo kuoa sio leo mkuu..ndo kwanza ako na 19 kama sio 20yr..bado Sana’a
Kijana punguza vingreza..kichwa chaniuma atii..
Maisha yanipeleke puta na wewe pia unipeleke puta!!hapana am sole![]()

kiingeereezaKaribu bibieNikimpata humu romantic guy wa kanda ya ziwa naomba nimuambie in advance, 'yes I do.!!'![]()
kukuumiza kivip yaan mana kwenye uhusiano kukosana lzm sasa utaachana na wangapiMwanzo kabla sijajua kuwa hutakiwi kuendekeza mapenzi sana nilikuwa nafugwa kinouma.ila sasa hiviukiniletea habari za kuniumiza my frend,nitakachokifanya ni kulia kwa uchungu ili kutoa nyongo na uchungu nikishafuta machozi...imeisha hiyo.yani ndo nishakutoa kwenye maisha yangu.kilio chenyewe chaweza kuwa ni cha dakika kumi au kumi na tano.
Nilimpenda mtu sijifi na ninakuwa really si pretend
Hiyo ni ndoa sio filamu ya maigizo.Ila wabongo mjifunzeni kuwa romantic kwenye mahusiano/ndoa. Penzi linanoga ukiwa romantic bana.
Yaani sijajua sijui ni desturi au ni ushamba yaani unakuta mwanaume unarudi home unamkuta wife jikoni anapika we unaketi sebuleni unasubiri amalize Kupika alafu eti yeye ndo anaanzisha salamu.
Kwa walio romantic unakuta anamfuata wife jikoni makiss Kama yote alafu anamsaidia na kupika
Ila eti wewe unajikuta kidume no romantic moves kwenye ndoa.
Wengine hata kuambiana Nakupenda kwenye ndoa ni shida yaani mnaishi kijeshi jeshi..
Wengine hata kukumbatiana wife akirudi au hata kumtia moyo kwa maneno ya kimahaba hapana ni full ukomandoo!
Hata mkipita Town kumshika hata mke wako kimahaba huwezi.Yaani mkiingia Town kila mtu chocho zake ilimradi msionekane pamoja..
Dah!@Heaven Sent kumbe na wewe unapenda madikodiko na romance![]()
Naomba nikuulize.... Umeoa??Mazoea ya kizidi na mke wanyumbani ndo mwanzo wadhalau na ndoa inaaza kupitia mitihani.....kiufupi usizoani na mwana mke wakibongo ni hatari