zagarinojo
JF-Expert Member
- Jul 26, 2020
- 2,622
- 2,855
- Thread starter
- #41
Dah!nigombeze taratibu basi but I don't like arguments with ladies banaUmeshatag ukaona ni ID mbili tofauti sasa unataka kujua nini kama sio upumbavu
Dah!nigombeze taratibu basi but I don't like arguments with ladies banaUmeshatag ukaona ni ID mbili tofauti sasa unataka kujua nini kama sio upumbavu
Eeh yamekukuta leo...uwe unatuliza akili kutafuta tofauti ya mamboDah!sasa kosa langu nini tena nilitaka kufahamu tu
Mahusiano yenyewe ya siku hizi mnaishi kwa wasiwasi utadhani mnachemsha maziwa.
Tuishi hivyo hivyo tu

Tatzo bongo watu hukuelimisha kwa critics inabidi nikubaliane na haliEeh yamekukuta leo...uwe unatuliza akili kutafuta tofauti ya mambo
Kwa hiyo hapo unanielimisha si ndiyoArguments?we jamaa unachanganya sana mambo
Sasa nani yuko kwenye arguments?
Huyo kuoa sio leo mkuu..ndo kwanza ako na 19 kama sio 20yr..bado Sana’aWe mleta uzi acha kuleta mambo ya kwenye movie za ufilipino embu na wewe uoe alafu muzae watoto 4 alafu ichi ulichokisema ukakifanye kwenye ndoa yako
When the JF members have all your InFos in their handsHuyo kuoa sio leo mkuu..ndo kwanza ako na 19 kama sio 20yr..bado Sana’a


Ha haa wabongo mna misamiati sanaMahusiano yenyewe ya siku hizi mnaishi kwa wasiwasi utadhani mnachemsha maziwa.
Tuishi hivyo hivyo tu
Kijana punguza vingreza..kichwa chaniuma atii..When the JF members have all your InFos in their hands
No way out![]()
Kingereza wapi hicho natoaga kwenye zile subtitles za movie wala sio vileKijana punguza vingreza..kichwa chaniuma atii..
Maisha yanipeleke puta na wewe pia unipeleke puta!!hapana am sole![]()



SureHuyo sio single mother, ni single parent....
Nautoa wapi mimi uzoefu mkuuSafi.leta uzoefu sasa
Mi huwa siangalii tamthilia lakini hata hivyo wabongo tumezidi ndoa/mahusiano kama vile unaishi pekee yako bana mbwembwe kidogoMkuu punguza tamthilia,, uhalisia haupo hivo.
Utanishukuru baadae



