Wabongo mjifunze kuwa Romantic basi

Wabongo mjifunze kuwa Romantic basi

Ila wabongo mjifunzeni kuwa romantic kwenye mahusiano/ndoa. Penzi linanoga ukiwa romantic bana.

Yaani sijajua sijui ni desturi au ni ushamba yaani unakuta mwanaume unarudi home unamkuta wife jikoni anapika we unaketi sebuleni unasubiri amalize Kupika alafu eti yeye ndo anaanzisha salamu.

Kwa walio romantic unakuta anamfuata wife jikoni makiss Kama yote alafu anamsaidia na kupika

Ila eti wewe unajikuta kidume no romantic moves kwenye ndoa.

Wengine hata kuambiana Nakupenda kwenye ndoa ni shida yaani mnaishi kijeshi jeshi..

Wengine hata kukumbatiana wife akirudi au hata kumtia moyo kwa maneno ya kimahaba hapana ni full ukomandoo!

Hata mkipita Town kumshika hata mke wako kimahaba huwezi.Yaani mkiingia Town kila mtu chocho zake ilimradi msionekane pamoja..
Mtu una madeni, kazini boss anakutishia amani, nyumbani ndugu wanakulaumu, mkeo ana gubu, uromantic utatoka wapi lazima husahau hata maana ya uromantic.
Halafu mabinti siku hizi wanasema yani hawahitaji hata uromantic wala foreplay wallet ikiwa imejaa yani inamaliza yote
 
Ndio hvyo mkuu,pesa huleta kila kitu.
Ukishakuwa na pesa wala hutongozi bali wanawake hujitongozesha wenyewe.
Utakutana na wanawake wengi automatically kwenye sehem unazopita kuanzia sehem za kazi,migahawani,kwenye sehemu za starehe,na ukikosa sehem hizo zote hata mtoto wa mwenye nyumba atajipendekeza aanze kuja ghetto bila kuitwa.
Kaka, aheri ukose mke ila sio hela! Maana hela italeta mke utake usitake tu ila mke akiwepo bila hela atakuzalishia stress utake usitake.

Hela kwanza halafu mambo mengine yafuate mzee hio ndio protocol inayofaa. Kupata mwanamke akupende bila hela ni mtihani wengi huwa wanafiki, akikuhurumia sana atakuwa na wewe na mwenzio mwenye hela. Mtakuwa mnapewa uchi kwa zamu.
 
Hata kama atakazwa na nunda mwingine, ila basi sehemu yangu nitakuwa nimefanya jamaa
Hahahah we unadhani u romantiki ndio wadhifa wa kustawisha penzi.

Utakuja kupigwa na butwaa siku ambayo utagundua mpenzi wako anakazwa na jamaa ambaye ni mbabe mbabe hivi na kauzu au mvuta bangi hivi muhuni tu. Ndipo utalia na kusaga meno.

Ishi na mkeo unavyoona sahihi kwako usihangaike na mambo ya u romantiki sijui blah blah
 
Back
Top Bottom