Wabongo mjifunze kuwa Romantic basi

Wabongo mjifunze kuwa Romantic basi

Nimeinua mikono mapemaaa maana huyo mkuu namheshimu sana nimeona kama ntamkwaza bila sababu
Dah!inaonekana ana timbwili timbwili
Ila sijasema mimi ni comment yangu
 
Wewe ni maarufu siku nyingi Joanah ila naomba unisamehe nimechabganya madesa hiyo sentensi ameisema Carleen na si wewe natengua kauli

Asante,nimesamehe
Manake nilijua kuna mtu alihack account yangu akaandika hayo uliyoandika
 
Nikimpata humu romantic guy wa kanda ya ziwa naomba nimuambie in advance, 'yes I do.!!'
Nipo hapa ila baby naomba uzingatie kitu kuwa kuna siku nakuwa nimepagawa kutokana na mishe zangu kukwama so uwe tayari kunielewa basi mpz
 
U romantic upo kwa watu walioshiba sisi wenye njaa tupo bize na kusaka matonge hadi tunasahau denda linaliwaje?
 
Ukimaliza kuangalia hiyo series ya kikorea uni tag.
 
Cc wa tosa ni romantic sana
17b895d633604f1b875870b515c88645.jpeg
 
Ila kwa kweli utakuwa ka shillingi unako kwasababu you're so confident....
Au uko TRA nini
Kijana kwani walio Tiaraei ndo wanaojiamini tu😅😅kuwa makini joo...mimi mchimba chumvi tu ..ila kujiamini ni lazima pindi ni wapi na fweza kwa wallet..hatakama ni shilingi mia niwe na uhakika kila kitu liko swa hapo nitakuwa romantic yenu hiyo mnayoisema else,,hakuna kitu nitaelewa aise
 
Back
Top Bottom