Wabongo mjifunze kuwa Romantic basi

Wabongo mjifunze kuwa Romantic basi

Hey you guys who is Joanah and who's Joannah I'm getting confused
Joanah
ED61E469-2764-430C-B2C0-A5B2F76C3B16.jpeg
 
Mdogo wangu kwani wanaume wameisha..ni lazima ni fall in love again tena kwa kishindo kikubwa..wanaume wazuri na watamu bado wapo hawajaisha
Ooh!basi upo vizuri kumbe upendo wako unabadilika kutokana na uhalisia wa mambo ulivyo..
If somebody breaks your heart you let it free for someone else
 
Una matumizi mabaya ya neno kuwa confused

We jamaa uko bored kinyama
Nifundishe nisemeje huwa sikatai bana
Alafu ladies are quite sharp in English than gentlemen sibishi..
 
We mleta uzi acha kuleta mambo ya kwenye movie za ufilipino embu na wewe uoe alafu muzae watoto 4 alafu ichi ulichokisema ukakifanye kwenye ndoa yako
 
Mazoea ya kizidi na mke wanyumbani ndo mwanzo wadhalau na ndoa inaaza kupitia mitihani.....kiufupi usizoani na mwana mke wakibongo ni hatari
Hii kitu ni kweli. Wanawake wa kiafrika ukiwaletea yale mahaba ya kilatino anaanza kukuona fala, atatafuta point akutibue kwa makusudi halafu aone namna utamfyatukia....

Kimsingi wanawake wa kibongo wengi wao hawajui tafasiri ya friendship ndani ya uhusiano, wengi wanajua ile haiba ya unoko....
 
Ndoa za zamani za wazee wetu washamba wasio romantic zilidumu sijajua kwa nn. Zamani ukikuta single mom Mara nyingi anakuwa alifiwa na mumewe.
Huyo sio single mother, ni single parent....
 
Ooh!basi upo vizuri kumbe upendo wako unabadilika kutokana na uhalisia wa mambo ulivyo..
If somebody breaks your heart you let it free for someone else
Mwanzo kabla sijajua kuwa hutakiwi kuendekeza mapenzi sana nilikuwa nafugwa kinouma.ila sasa hivi😅😅😅ukiniletea habari za kuniumiza my frend,nitakachokifanya ni kulia kwa uchungu ili kutoa nyongo na uchungu nikishafuta machozi...imeisha hiyo.yani ndo nishakutoa kwenye maisha yangu.kilio chenyewe chaweza kuwa ni cha dakika kumi au kumi na tano.

Nilimpenda mtu sijifi na ninakuwa really si pretend
 
Back
Top Bottom