Wabongo mjifunze kuwa Romantic basi

Wabongo mjifunze kuwa Romantic basi

Ulitumwa na nani uvamie machaliii wa Araaaa....

pigo za kifilipino ziache kwenya mamuvi yakina amzakhanun bana...
Unafikiri na basi ni chaliii ya araaas...kitu cha mji kasoro bahari..sema alivurugwaga tu 😂😂😂
 
Romantic ya bongo ni pesa tu.
usipokuwa na pesa anakuona kama mbuzi tu na ukimsogelea atakwambia unanuka tumbaku usimsogelee
Nimecheka kinoma ila ndio ukweli wa hapa town. Uwe na mipunga then ndio ujibebishe, sio unajibebisha bila hela. Utaumia!!!
 
Ndio hvyo mkuu nimeshuhudia watu wengi wanavyonyanyasika kwenye mapenzi kwa kukosa hela.
Licha ya kutokuwa romantic bali mtu hata nyumba yake anaiona chungu hataki kurudi nyumbani mapema kwa kuhofia kutukanwa.

Kaka, aheri ukose mke ila sio hela! Maana hela italeta mke utake usitake tu 🤣🤣🤣 ila mke akiwepo bila hela atakuzalishia stress utake usitake.

Hela kwanza halafu mambo mengine yafuate mzee hio ndio protocol inayofaa. Kupata mwanamke akupende bila hela ni mtihani wengi huwa wanafiki, akikuhurumia sana atakuwa na wewe na mwenzio mwenye hela. Mtakuwa mnapewa uchi kwa zamu.
 
Yaani tuumize vichwa kutafuta pesa kwa ajili ya familia Nimerudi nimechoka niache kumsalimia mwanangu na kumjulia hali eti nikufuate wewe jikoni nikushike kiuno! Pumbavvv
 
Mtoto mwenyewe si wa kwako sasa wakati unaenda kumjulia hali mwanao mama mtu ana kuzomea tu kimoyo moyo, hilooo halina nguvu za kiume
Yaani tuumize vichwa kutafuta pesa kwa ajili ya familia Nimerudi nimechoka niache kumsalimia mwanangu na kumjulia hali eti nikufuate wewe jikoni nikushike kiuno! Pumbavvv
 
Back
Top Bottom