zagarinojo
JF-Expert Member
- Jul 26, 2020
- 2,622
- 2,855
- Thread starter
- #121
Umesahau "kwio"Romantic hiyo vipi!!!hebu tuache tutafe fweza huko
Nitafte hela.nimuhonge.nimridhishe kitandan.na bado niwe romantik...huo muda sina..kwamba sina kaz zingne za kufanya au

😂😂😂😂umetisha mkuuUmesahau "kwio"
Alisikika jamaa m1
Kuna tofauti kati kukosana kawaida na kumuumiza mtu makusudi.kukuumiza kivip yaan mana kwenye uhusiano kukosana lzm sasa utaachana na wangapi
🤣🤣🤣🤣🤣kiingeereeza
Ila wabongo mjifunzeni kuwa romantic kwenye mahusiano/ndoa. Penzi linanoga ukiwa romantic bana.
Yaani sijajua sijui ni desturi au ni ushamba yaani unakuta mwanaume unarudi home unamkuta wife jikoni anapika we unaketi sebuleni unasubiri amalize Kupika alafu eti yeye ndo anaanzisha salamu.
Kwa walio romantic unakuta anamfuata wife jikoni makiss Kama yote alafu anamsaidia na kupika
Ila eti wewe unajikuta kidume no romantic moves kwenye ndoa.
Wengine hata kuambiana Nakupenda kwenye ndoa ni shida yaani mnaishi kijeshi jeshi..
Wengine hata kukumbatiana wife akirudi au hata kumtia moyo kwa maneno ya kimahaba hapana ni full ukomandoo!
Hata mkipita Town kumshika hata mke wako kimahaba huwezi.Yaani mkiingia Town kila mtu chocho zake ilimradi msionekane pamoja..
😂😂😂😂anachukua ujuzi mkuu😂😂umri ukifika asipate tabu😀😀😀Sasa kwa nini analeta vitu vya kifikirika wakati yeye mwenyewe kuvifanya haviwezi hata kidogo eti romantic mambo ya kifilipono unaleta bongo
Heh!yani kumbe kina Chakorii na nyie mnaumizwaga kwenye mapenzi dah!nani anadiriki kufanya HivyoKuna tofauti kati kukosana kawaida na kumuumiza mtu makusudi.
Saa kama umempenda mtu kwa dhati kabisa halafu anakufanyia matendo ya kuumiza makusudi kabisa utafanyaje kwa mfano mkuu!!

ila usisahau kutembea na vilainishi iko cku tigo yako itagongwa tu endelea kujisifu kwa kutembea na wake za watuNime gonga sana wake za watu kwaajili hiyo, wakati watu wako bize kitafuta pesa mimi nipo bize kuwagongea wake zao kilainitu hatari sana
upo sahihi ila kama nihivyo kweli umekuwa sasa mkuu.Kuna tofauti kati kukosana kawaida na kumuumiza mtu makusudi.
Saa kama umempenda mtu kwa dhati kabisa halafu anakufanyia matendo ya kuumiza makusudi kabisa utafanyaje kwa mfano mkuu!!
wewe bado mtoto.Kwa hiyo mkitafuta money there's no need to be romantic in a relationship
Romantic ya bongo ni pesa tu.Sasa kama mtu umejaribu kuwa romantic halafu majibu yake anakwambia usimletee hizo mambo za kwenye tamthilia za kifilipino .huyo mtu nitamsaidiaje kwa mfano.
Siku akipatikana atakakubali kuwa treated like a..I’llbe zea...
![]()
Tukiwa romantinki mnatupanda kichwani! Hamkawii kutuambia tuwavishe pediIla wabongo mjifunzeni kuwa romantic kwenye mahusiano/ndoa. Penzi linanoga ukiwa romantic bana.
Yaani sijajua sijui ni desturi au ni ushamba yaani unakuta mwanaume unarudi home unamkuta wife jikoni anapika we unaketi sebuleni unasubiri amalize Kupika alafu eti yeye ndo anaanzisha salamu.
Kwa walio romantic unakuta anamfuata wife jikoni makiss Kama yote alafu anamsaidia na kupika
Ila eti wewe unajikuta kidume no romantic moves kwenye ndoa.
Wengine hata kuambiana Nakupenda kwenye ndoa ni shida yaani mnaishi kijeshi jeshi..
Wengine hata kukumbatiana wife akirudi au hata kumtia moyo kwa maneno ya kimahaba hapana ni full ukomandoo!
Hata mkipita Town kumshika hata mke wako kimahaba huwezi.Yaani mkiingia Town kila mtu chocho zake ilimradi msionekane pamoja..
Uchumi wa kati kati nikutafuta pesa tu nasema pesa tuKwanini
Kumbe nyie ndo mmefikiria hivyoAchana Na Tamthilia za Kifilipino & Wakorea..!