Wabongo acheni kukariri maisha

Wabongo acheni kukariri maisha

Unapoishi na mwenza bila ndoa ,,basi wote mnahesabika kama wazinzi.

Hata ukifa usingizini ukiwa na huyo mwenza wako unahesabika kama umekufa kwenye uzinzi ..

Nilichojufunza kuwa vijana wengi wa hovyo wanaogopa ndoa kwa sababu kuu 2..
-- majukumu
-- commitement..

Hakuna kitu kijana wa hovyo anaogopa kama kuwa na majukumu..
Kwahyo sisi wenye familia hatuna majukumu, kisa tuu hakuna NDOA, akili yako ndio ilipoishia Kwa kua una minyororo Kwa kua mtumwa wa dini sikulaumu
 
Ujumbe wako n mzuri ila umeandika kihuni huni.

Kuna mambo yanaendelea huko makanisani na kwenye hizi dini ni aibu. Mtu wa kipato cha kawaida au cha chini utanyimwa kupewa huduma fulani kwa sababu fulani ila tajiri atapewa huduma hiyo hiyo bila kusita hata kama sababu ya kunyimwa ipo.
Haijalishi nmeandikaje, kikubwa umeelewa ndio lengo langu
 
Kwahyo sisi wenye familia hatuna majukumu, kisa tuu hakuna NDOA, akili yako ndio ilipoishia Kwa kua una minyororo Kwa kua mtumwa wa dini sikulaumu
Kama unaishi na mwenza wako na hutaki ndoa unaogopa majukumu.

Hapo ulipo unauwezo wa kumfukuza huyo mtoto wa watu muda wowote.,na hakuna wa kukuuliza sababu huna ndoa nae.
Lakini ukishapiga pingu ya maisha huwezi kufukuza mke kiholela.

Sheria zitakubana..

Pia hapo ulipo hutambuliki ukweni zaidi ya watu wawili watatu wanaokutambuwa.
Hata baba mkwe na mama mkwe kuja kwako pia haiwezekani...

Kama kidume oa basi,,uone cha mtema kuni.

Hapo ndy vijana wa hovyo mnapaogopa..
 
Kufunga ndoa mara nyingi ni kutafuta kutawaliwa na nguvu za nje kama makanisa, misikiti na serikali.

Sio Lazima kufunga Ndoa lakini kwenye ulimwengu wa kitapeli ndoa ni muhimu.

Sisi Watibeli hatufungishwi Ndoa.
Hakuna mwenye mamlaka Duniani wa kutufungisha ndoa wala kuivunja ndoa yetu.

Ila hatuingilii wale wanaofungishwa
 
Namimi SIFUNGI NDOA, maana SITAKI KUONA CHA MTEMA KUNI MAANA NDOA NI UTAPELI, hivi tunavyoishi ndio poa akileta za kuleta Kila mtu anashika njia yake.

Kwa kua umethibitisha mwenyewe kua Ukifunga NDOA nitaona cha MTEMA KUNI namimi sitaki stress siwezi kufunga ndoa, wewe umeshaingizwa mkenge endelea kukiona cha MTEMA KUNI
 
Shida Hawa waliofungishwa ndoa wanatupangia sana
 
Kama unaishi na mwenza wako na hutaki ndoa unaogopa majukumu.

Hapo ulipo unauwezo wa kumfukuza huyo mtoto wa watu muda wowote.,na hakuna wa kukuuliza sababu huna ndoa nae.
Lakini ukishapiga pingu ya maisha huwezi kufukuza mke kiholela.

Sheria zitakubana..

Pia hapo ulipo hutambuliki ukweni zaidi ya watu wawili watatu wanaokutambuwa.
Hata baba mkwe na mama mkwe kuja kwako pia haiwezekani...

Kama kidume oa basi,,uone cha mtema kuni.

Hapo ndy vijana wa hovyo mnapaogopa..
Kwasababu wewe ndio mamayake na babayake sawa, sitambuliki ukweli kutokana na maneno yako wewe baba yake
 
Kama unaishi na mwenza wako na hutaki ndoa unaogopa majukumu.

Hapo ulipo unauwezo wa kumfukuza huyo mtoto wa watu muda wowote.,na hakuna wa kukuuliza sababu huna ndoa nae.
Lakini ukishapiga pingu ya maisha huwezi kufukuza mke kiholela.

Sheria zitakubana..

Pia hapo ulipo hutambuliki ukweni zaidi ya watu wawili watatu wanaokutambuwa.
Hata baba mkwe na mama mkwe kuja kwako pia haiwezekani...

Kama kidume oa basi,,uone cha mtema kuni.

Hapo ndy vijana wa hovyo mnapaogopa..

Hakuna sheria inayokulazimisha kubaki ndoani hata moja.
Ukiamua kuvunja ndoa unavunja muda wowote na hakuna yeyote atafanya chochote zaidi ya kujaribu kukushauri tuu.

Hakuna kitu kinachoitwa pingu za maisha. Ni maneno ya uongo. Watu wanavunja ndoa hata mwezi haujaisha tangu wafanye harusi.

Ndoa ni makubaliano ya Hiyari ya Watu Wawili. Na inahusisha Majukumu ya wanandoa tuu bila kuhusisha Watu wa nje. Wengi wanaotaka ndoa zifungwe ni kutaka kujiingiza kwenye familia za Watu kwa kuomba misaada.

N
 
Namimi SIFUNGI NDOA, maana SITAKI KUONA CHA MTEMA KUNI MAANA NDOA NI UTAPELI, hivi tunavyoishi ndio poa akileta za kuleta Kila mtu anashika njia yake.

Kwa kua umethibitisha mwenyewe kua Ukifunga NDOA nitaona cha MTEMA KUNI namimi sitaki stress siwezi kufunga ndoa, wewe umeshaingizwa mkenge endelea kukiona cha MTEMA KUNI
Vijana wa hovyo mnaogopa
--commitment
--majukumu.

Hakuna cha utapeli wala chochote..
 
Akili za Hawa jamaa zinanichekeshaga sana, dini inawaendesha sana hawajui watu walishaishi, na familia zilishakuepo hata kabla ya dini kuwepo

Muda ndio utakaoamua. Mambo yote ya uongo yatazidi kuondoka na kupitwa na wakati na dunia itabaki kwenye Ukweli kama Zamani.

Mwanadamu ni mnyama anayejikosha tuu.

Wanaotaka kufunga ndoa wafanye hivyo ili waende sawasawa na mila, desturi na imani zao na kuwafurahisha wazazi na wazee wao ikiwa ndio hivyo. Lakini ujinga wao unajitokeza pale ambapo wanawapigia kelele wale wasiofanya kama wao ilhali ya kwao yenyewe yalishawashinda.

Angalia wengi wanaosema ndoa ndoano asilimia 90% wamefuata hizo taratibu. Afu angalia wanaoenjoy maisha ya ndoa asilimia 90% hawajafunga ndoa (hawajafuta taratibu).

Ambao hawajafunga ndoa kuachana ni dakika sifuri kwa sababu hawapo chini ya yeyote, na hakuna unafiki.
Lakini waliofunga ndoa ni kama watoto wadogo ambao kila kitu ni mpaka waombe ruhusa na mpaka wapewe ruhusa
 
Kosa halirekebishwi kwa kufanya kosa Mkuu, ni haki na uhuru wako kuishi utakavyo as far as huvunji sheria.

Ila hiyo haiondoi maana na msingi wa issue kama ndoa na kipaimara kwa waumini wa dhehebu husika

Ie we ishi utakavyo ila jua taratibu zipo tu, kuna siku utajikuta umenasa unahitaji huduma ya imani yako hapo utaona umuhimu wa kutii bila shuruti.
Usimtishe,huyu anajitambia. Apongezwe
 
Mimi naishi na mwanamke ambae HATUJAFUNGA NDOA, ila Sasa cha kushangaza ni watu huko kanisani mwanamke anapoenda kutwa kumshauri eti tufunge ndoa, majirani wale wenye ndoa kutwa kumshauri shauri tuu, Mimi naishiaga kuwaambia tuu NDOA SIFUNGI

ni kama ishu ya kipaimara/kubarikiwa Mimi tokea Niko darasa la saba nilishakimbia hayo mambo, na Leo hii wale waliobarikiwa 90% nnaowajua ni wavuta bangi,walevi na wamechoka mbaya (kipindi tukiwa shule ya secondary walinitabiria Mimi eti nitakua na maisha magumu kwakua sijabarikiwa/sijapata kipaimara, lakini kwasasa wao wamechoka sana Mimi Niko vzuri.

Hawa wanaonishauri Mimi nifunge ndoa unakuta mtu ana miezi SITA kwenye ndoa, wengine ndoa zimevinjika zimewashinda Mimi watanishauri Nini???

Nyie mnaoenda kanisani mnajiona sana Yani mnaona kama yesu sijui ni mjomba wenu au ndio mnamjua mungu sana! ACHENI KUKARIRI MAISHA

Mambo ya kufunga ndoa Kwa Sasa minaona kama ni JANJA JANJA TUU, kama nataka kuishi na mwanamke naishi nae sio lazima ndoa.

Eti utakuta mtu kwakua alikua haendi kanisani huko KKKT siku anataka kufunga ndoa mchungaji anamkataa anasema hamtambui kwakua sio mshirika! Halafu utakuta mtu anapaniki kabisa Kwa kukataliwa kufungishwa ndoa kanisani unapaniki Nini wewe ACHENI upumbavu
Kufunga Ndoa ni hatari sana lakini kufungishwa Ndoa tena na Mungu mwenyewe ndio kuna usalama!. Ana hoja asikilizwe!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom