Wabongo acheni kukariri maisha

Wabongo acheni kukariri maisha

Siyo kuogopa ila napenda.
Sasa kama unapenda kwa nini umeandika suala la changamoto?

Ukimuasa mtu aende kanisani kwa sababu ipo siku atapata changamoto na kuhitaji kanisa, maana yake unaenda kanisani kwa kuogopa kupata changamoto bila kuwa na msaada wa kanisa.

Kama unaenda kanisani kwa kupenda tu, suala la changamoto ni irrelevant, kwa sababu utaenda kanisani whether unategemea changamoto au hutegemei changamoto.

You are contradicting yourself.
 
Hawa watu wanachekesha sana, huku wameambiwa wasihukumu wenzao na yule asiye na dhambi ndiye awe wa kwanza kurusha jiwe, huku hawaishi kutupa mawe.

Mimi atheist, siamini dini wala Mungu.

Kuna mama mmoja mlokole alikuwa karibu sana nami, siku moja aliniambia, mwanangu, najua wewe si mtu wa dini na wala huamini Mungu, lakini maisha yako unavyoishi, unawafanya hao wanaosema wanaamini Mungu waonekane kama wanafiki, halafu wewe usiyeamini Mungu ndiye unaishi kama unaamini Mungu.

Nikaukiza, kwa nini? Akasema nimekuona wewe ni mtu wa msaada sana, una moyo wa upendo sana, na hao wanaojiita walokole ukiwaomba msaada hawakusaidii, wanakwambia tu "tutakuombea kwa Mungu".

Nikamtania nikamwambia "Mama mimi siwezi kukuombea kwa Mungu kwa sababu siamini Mungu yupo, hivyo inabidi niifanye kqzi ya Mungu mimi mwenyewe, nikusaidie mwenyewe tu".

Mara nyingine hao walokole wanakuwa wakatili sana katikankutojali feelings za watu, wanajiona wao wanamjua zaidi Mungu.
Dini ya ukweli ni matendo ya mtu mwenyewe kama hivyo, unavyonsaidia wenye uhitaji naona ni Bora zaidi kuliko kumpelekea mchungaji 10%
 
Sasa kama unapenda kwa nini umeandika suala la changamoto?

Ukimuasa mtu aende kanisani kwa sababu ipo siku atapata changamoto na kuhitaji kanisa, maana yake unaenda kanisani kwa kuogopa kupata changamoto bila kuwa na msaada wa kanisa.

Kama unaenda kanisani kwa kupenda tu, suala la changamoto ni irrelevant, kwa sababu utaenda kanisani whether unategemea changamoto au hutegemei changamoto.

You are contradicting yourse

Ndiyo maisha aliyoyachagua atajua mwenywe mhusika.
 
Ndiyo maisha aliyoyachagua atajua mwenywe mhusika.
Ndiyo maisha aliyochagua lakini habari ikishaletwa JF inakuwa open to discussion and questions.

Kama kweli ni maisha mliyochagua na mtajua wenyewe mbaki nayo huko huko msiyalete JF.

Ukishayaleta JF tu, umekaribisha discussion na maswali.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom