displayname
JF-Expert Member
- Feb 15, 2013
- 1,972
- 1,091
Wakataa ushahidinwa cheti ila hasinhapo ndoa unayo tayari.
Biashara Gani, maana Mimi sijazungumzia mambo ya biasharaEPUKA BIASHARA HII, IMEUA WENGI
Ndoa ni kujipa stress.Mimi naishi na mwanamke ambae HATUJAFUNGA NDOA, ila Sasa cha kushangaza ni watu huko kanisani mwanamke anapoenda kutwa kumshauri eti tufunge ndoa, majirani wale wenye ndoa kutwa kumshauri shauri tuu, Mimi naishiaga kuwaambia tuu NDOA SIFUNGI
ni kama ishu ya kipaimara/kubarikiwa Mimi tokea Niko darasa la saba nilishakimbia hayo mambo, na Leo hii wale waliobarikiwa 90% nnaowajua ni wavuta bangi,walevi na wamechoka mbaya (kipindi tukiwa shule ya secondary walinitabiria Mimi eti nitakua na maisha magumu kwakua sijabarikiwa/sijapata kipaimara, lakini kwasasa wao wamechoka sana Mimi Niko vzuri.
Hawa wanaonishauri Mimi nifunge ndoa unakuta mtu ana miezi SITA kwenye ndoa, wengine ndoa zimevinjika zimewashinda Mimi watanishauri Nini???
Nyie mnaoenda kanisani mnajiona sana Yani mnaona kama yesu sijui ni mjomba wenu au ndio mnamjua mungu sana! ACHENI KUKARIRI MAISHA
Mambo ya kufunga ndoa Kwa Sasa minaona kama ni JANJA JANJA TUU, kama nataka kuishi na mwanamke naishi nae sio lazima ndoa.
Eti utakuta mtu kwakua alikua haendi kanisani huko KKKT siku anataka kufunga ndoa mchungaji anamkataa anasema hamtambui kwakua sio mshirika! Halafu utakuta mtu anapaniki kabisa Kwa kukataliwa kufungishwa ndoa kanisaniunapaniki Nini wewe ACHENI upumbavu
MIMI SIENDAGI NDIOMkuu mwanamke wake ndio anaendaga church ye haendag church….au nimeelewa vibaya…umeweka uwingi hapo
Zaka ni nini mnataka mle pesa zetu hivi hivi?funga ndoa blaza toa na zaka
SiwaelewiAmka braza. Wanataka kukuibia.
Kuna mtu kazaa mara 3, watoto wote kila mmoja ana baba yake.
Siku za nyuma anachangisha kwamba anaenda kuolewa. Na kiasi kabisa,kaweka.
Badae,eti anaenda kwao kufanyiwa Kitchen party! Jamani! Hata kumuangalia tu! Mhuni.
Sasa ukiachana na hilo. Kwanza,huyu anaeoa,ana akili kweli? Acha wapigwe wengine hawajitambui. Yaani umemkuta ametumika sana. Second hand! Uzidiiiiii tena oludi modeli. Basi tuu
Hivi kwa nini makanisani watu wanafuatilia sana mambo ya watu, halafu ndio wanaongoza kusengenya wenzao, yani shida tupu, hata mkeo unakwenda nae kanisani mwambie akae mbali na wapendwa.Makanisani kuna unafiki sana mkuu wewe fanya kwa muda wako jambo lolote la kuharakisha haliwagi zuri. Kibaya ninachoona kama mpenzi wako hana msimamo kama wako unaweza mpoteza kwa ushauri wa hao wajinga, wataanza kumuingizia maneno ya kama anakithamini akichukue mazima sasa na mwanamke nae kipima kwa akili ndogo anajua humpendi ataanza kuona watu wengine na wapo watakao ahidi ndoa hivyo kupelekea kukukosesha tunda lako.
Kabla sijaoa nilijitahidi kuwa na kauli moja baina yangu na wife na tulijipa muda na Mungu akaweka mkono wake ila ya kulazimishwa au kuharakishwa hayawagi na baraka
Kuna jamaa yangu baada yakuoa Kwa ndoa tuu, sasahv analia, kabla ya ndoa mambo yalikua poaNdoa ni kujipa stress.
Ndoa ni utapeli.
Ndoa itakuharibia maisha yako.
Ndoa ilikuwa zamani sio hiki kizazi cha AI.
Ndoa ni ajira kwa mawanamke.
Kama walivyosema ikimbieni zinaa, basi ikimbie ndoa hivyo hivyo.
Yeye ndio anaenda, Mimi SIENDAGI mwaka WA 15 huuHivi kwa nini makanisani watu wanafuatilia sana mambo ya watu, halafu ndio wanaongoza kusengenya wenzao, yani shida tupu, hata mkeo unakwenda nae kanisani mwambie akae mbali na wapendwa.
Ndio nmefanya hvyoKama mwanamke unampenda nenda kwao ukatoe mahari achana na hizo janja janja za kwenda kanisani, ukitoa mahari pande zote za kikeni na kiume zikikubari hiyo ni ndoa kamili.
Ndio mana nlikuwa namwambia huyo bwana mkubwa na mimi nna mwanamke anasali KKKT ndugu yangu ikifika jumamosi inabid nijiandae na sound ya kukwepa kwenda huko alafu ana aminia mona kwa moja aisee mpaka nakuwa sielew ndio mana wachungaji ni rahis sana kutulia wanawake zetu aisee, ila atleast me naendaga mara moja moja 😂😂😂MIMI SIENDAGI NDIO
Basi hiyo imeisha,maana ndoa sio lazima awepo mchungaji au askofu....pande zote mbili za familia zikikubali basi hiyo ni ndoa ata MUNGU ameikubaliNdio nmefanya hvyo
Komaaa. Yaani uhangaikie mapene yako,wale kisengesenge? Kwamba kufunga ndoa ni elfu 10, mara sadaka mara nini. Ukiondoka kamati inakaa wanasema mjinga mwingine kaliwa.Siwaelewi
Mimi SIENDAGI kabisaNdio mana nlikuwa namwambia huyo bwana mkubwa na mimi nna mwanamke anasali KKKT ndugu yangu ikifika jumamosi inabid nijiandae na sound ya kukwepa kwenda huko alafu ana aminia mona kwa moja aisee mpaka nakuwa sielew ndio mana wachungaji ni rahis sana kutulia wanawake zetu aisee, ila atleast me naendaga mara moja moja![]()
Kwasasa imekua biasharaKomaaa. Yaani uhangaikie mapene yako,wale kisengesenge? Kwamba kufunga ndoa ni elfu 10, mara sadaka mara nini. Ukiondoka kamati inakaa wanasema mjinga mwingine kaliwa.
Badala ya ukae uangalie muvi unayoipenda,unaenda kupigiwa kelele eti unasali?! Nini wanasali nini! Hao hao ndo wanaotiana mimba,eti wana kwaya. Jopo la wazinzi tu
Kubali mawili. Uwe mwanamke,uendelee kwenda. Au uwe mwanaume,simamia unachokiamini.Ndio mana nlikuwa namwambia huyo bwana mkubwa na mimi nna mwanamke anasali KKKT ndugu yangu ikifika jumamosi inabid nijiandae na sound ya kukwepa kwenda huko alafu ana aminia mona kwa moja aisee mpaka nakuwa sielew ndio mana wachungaji ni rahis sana kutulia wanawake zetu aisee, ila atleast me naendaga mara moja moja 😂😂😂