sijui nini
JF-Expert Member
- Sep 29, 2010
- 2,553
- 1,293
Mkwawa aliongea na kuandika Kiarabu.
Mkwawa alipovamiwa na Wajerumani, Waarabu ndiyo walikuwa bega kwa bega kupigana nao.
Futeni na hiyo historia iliyotukuka.
Aisee nimeshangaa sana na maisha ya watu wa hapa Iringa,tumekuja hapa kikazi tuna kama siku tano sasa,yaani tumegundua wenyeji wa mji huu wa Iringa wameshikwa pabaya na waarabu,inakuwa kama wana waabudu waarabu halafu waarubu kibao mji huu,yaani mwarabu akiongea kitu kidogo mhehe anakimbia hasa.
Mwarabu akipita na gari utasikia jamaa wanabishana hhii gari ni ya Fm au sijui nani, yaani kwa ujumla wahehe hamna kitu, natamani wangeenda moshi waone jinsi wachaga walivyotimua wahindi,kinachoshangaza zaidi inakuwaje Iringa iwe na wanasiasa na viongozi maaraufu lakini watu wao wawe wajinga kiasi hiki????
[/COLOR][/SIZE]
ningekuwa mnyalukolo ningedai apology .samahani yangu
ehh et wenyeji wajinga?
kigezo gan umetumia kugeneralize watu wa iringa wajinga?
umejiuliza kwa nini watu wanawanyenyekea waarabu?ni watu gan ao?elimu zao?wanajishughulisha nanini?
wap hakuna wajinga?dar?moshi?
mkoa upi una werevu,wajanja.hakuan wajinga?
statement yako si ya kiungwana mjombaa na kwa mbali u smell uselfish.ubishoo.dharau na mbaya zaidi unachukulia mambo kijuu juu
hauna tofaut na yule mtu anayekutana na mtoto ombaomba afu anaanza kumtukan mtoto weeee mjinga sana....kwanini auend shule..kwa nini unalala majalalani?kwa nini umevaa nguo chafu?kwa nini aujala mchana.....MTU MWENYE AKILI NA HEKIMA NADHAN ATAANGALIA YALIYOPELEKEA mtotoUYO KUWA IVYO ALIVYO NA SIYO KUMUHUKUMU ....et wewe mtotokesho nikukute umekula na umenda shule na nguo safi.....
thk hard broo
sor 4any kwazo bt nt intended.
pc:violin:
Mkuu yaani kwa semina yako ya siku tano umetoa hitimisho ya research yako Duu...ok, kwa kifupi niijuavyo Iringa si kweli uliyoyasema hamna kitu ka hicho tena ungewajua wahehe kiundani nadhani usingeandika hayo ....mkuu
Aisee nimeshangaa sana na maisha ya watu wa hapa Iringa,tumekuja hapa kikazi tuna kama siku tano sasa,yaani tumegundua wenyeji wa mji huu wa Iringa wameshikwa pabaya na waarabu,inakuwa kama wana waabudu waarabu halafu waarubu kibao mji huu,yaani mwarabu akiongea kitu kidogo mhehe anakimbia hasa.
Mwarabu akipita na gari utasikia jamaa wanabishana hhii gari ni ya Fm au sijui nani, yaani kwa ujumla wahehe hamna kitu, natamani wangeenda moshi waone jinsi wachaga walivyotimua wahindi,kinachoshangaza zaidi inakuwaje Iringa iwe na wanasiasa na viongozi maaraufu lakini watu wao wawe wajinga kiasi hiki????
kuna mwenzio kaanzisha uzi kasema waarabu wanaabudiwa zanzibar, nyie watu hata hatuwaelewi mnataka nini? au ndio fitna zenu kwa waarabu mnazionyesha waziwazi?Aisee nimeshangaa sana na maisha ya watu wa hapa Iringa,tumekuja hapa kikazi tuna kama siku tano sasa,yaani tumegundua wenyeji wa mji huu wa Iringa wameshikwa pabaya na waarabu,inakuwa kama wana waabudu waarabu halafu waarubu kibao mji huu,yaani mwarabu akiongea kitu kidogo mhehe anakimbia hasa.
Mwarabu akipita na gari utasikia jamaa wanabishana hhii gari ni ya Fm au sijui nani, yaani kwa ujumla wahehe hamna kitu, natamani wangeenda moshi waone jinsi wachaga walivyotimua wahindi,kinachoshangaza zaidi inakuwaje Iringa iwe na wanasiasa na viongozi maaraufu lakini watu wao wawe wajinga kiasi hiki????
https://www.jamiiforums.com/habari-na-hoja-mchanganyiko/858387-zanzibar-na-waarabu.htmlAisee nimeshangaa sana na maisha ya watu wa hapa Iringa,tumekuja hapa kikazi tuna kama siku tano sasa,yaani tumegundua wenyeji wa mji huu wa Iringa wameshikwa pabaya na waarabu,inakuwa kama wana waabudu waarabu halafu waarubu kibao mji huu,yaani mwarabu akiongea kitu kidogo mhehe anakimbia hasa.
Mwarabu akipita na gari utasikia jamaa wanabishana hhii gari ni ya Fm au sijui nani, yaani kwa ujumla wahehe hamna kitu, natamani wangeenda moshi waone jinsi wachaga walivyotimua wahindi,kinachoshangaza zaidi inakuwaje Iringa iwe na wanasiasa na viongozi maaraufu lakini watu wao wawe wajinga kiasi hiki????
Moshi ( klm) ndio mmeshikwa pabaya kabisaaa! kugegeda tu hamuwezi mpaka mna hire abroad!
Waarabu ni wabaguzi vibaya na ni wakatili, ni watu wanaotakiwa kupigwa vita! Mahali wamejazana hakuna maendeleo ya maana, angalia tanga, morogoro, iringa na Tabora. Yaani ni watu zero kabisa. Wameshindwa kufurukuta huku arusha. Thubutuuu!Mkwawa aliongea na kuandika Kiarabu.
Mkwawa alipovamiwa na Wajerumani, Waarabu ndiyo walikuwa bega kwa bega kupigana nao.
Futeni na hiyo historia iliyotukuka.
Aisee nimeshangaa sana na maisha ya watu wa hapa Iringa,tumekuja hapa kikazi tuna kama siku tano sasa,yaani tumegundua wenyeji wa mji huu wa Iringa wameshikwa pabaya na waarabu,inakuwa kama wana waabudu waarabu halafu waarubu kibao mji huu,yaani mwarabu akiongea kitu kidogo mhehe anakimbia hasa.
Mwarabu akipita na gari utasikia jamaa wanabishana hhii gari ni ya Fm au sijui nani, yaani kwa ujumla wahehe hamna kitu, natamani wangeenda moshi waone jinsi wachaga walivyotimua wahindi,kinachoshangaza zaidi inakuwaje Iringa iwe na wanasiasa na viongozi maaraufu lakini watu wao wawe wajinga kiasi hiki????
ndo maana hata mbunge wao ni mkinga, hawa jamaa walikuwa wanawadharau wakinga miaka ya nyuma lakini siku hizi wamegeuka ndo walinzi wa maduka ya wakinga. Wanajiita TULIVAGAYASIDA maana yake hawana shida.
Waarabu ni wabaguzi vibaya na ni wakatili, ni watu wanaotakiwa kupigwa vita! Mahali wamejazana hakuna maendeleo ya maana, angalia tanga, morogoro, iringa na Tabora. Yaani ni watu zero kabisa. Wameshindwa kufurukuta huku arusha. Thubutuuu!