Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,190
- 128,264
Mtoa mada hakuta muwafukuze bali muache kunyenyekea hao waarabu.Iringa na moshi nianavyo mi hiyo mikoa haina tofauti ya kimaendeleo,mhehe na mchaga ni makabila tofauti ambayo yana tamadun tofaut,mhehe ni shujaa ktk nchi hii ,piri suala la iringa kuwa na waarab na raia wengine ni la kawaida,sasa mtoa mada alitaka wahehe wawafukuze waarab na wagirik na waburushi?
Kwa hiyo mnatuambia watu wa moshi ni wajanja sana sio...hahahahahaha ama kweli mkiambiwa watu wa moshi ni wakabila na wadini msibisheee mnajisuta wenyewe wazee wa.....
Aisee nimeshangaa sana na maisha ya watu wa hapa Iringa,tumekuja hapa kikazi tuna kama siku tano sasa,yaani tumegundua wenyeji wa mji huu wa Iringa wameshikwa pabaya na waarabu,inakuwa kama wana waabudu waarabu halafu waarubu kibao mji huu,yaani mwarabu akiongea kitu kidogo mhehe anakimbia hasa.
Mwarabu akipita na gari utasikia jamaa wanabishana hhii gari ni ya Fm au sijui nani, yaani kwa ujumla wahehe hamna kitu, natamani wangeenda moshi waone jinsi wachaga walivyotimua wahindi,kinachoshangaza zaidi inakuwaje Iringa iwe na wanasiasa na viongozi maaraufu lakini watu wao wawe wajinga kiasi hiki????
Salim abri na asas
Punguza jazba kijana, usije ukaenda kujinyonga kisa hii mada.
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Hao kina FM Abri na AS Abri si ni waarabu?
Ndugu yangu sina uhakika umetumia vigezo gani kuhitimisha hiyo research yako. Naomba utuombe radhi wahehe hasa katika hayo maneno yenye rangi nyekundu.
Mtoa mada hakuta muwafukuze bali muache kunyenyekea hao waarabu.
Hivi kujinyonga ni ushujaa??
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Aisee nimeshangaa sana na maisha ya watu wa hapa Iringa,tumekuja hapa kikazi tuna kama siku tano sasa,yaani tumegundua wenyeji wa mji huu wa Iringa wameshikwa pabaya na waarabu,inakuwa kama wana waabudu waarabu halafu waarubu kibao mji huu,yaani mwarabu akiongea kitu kidogo mhehe anakimbia hasa.
Mwarabu akipita na gari utasikia jamaa wanabishana hhii gari ni ya Fm au sijui nani, yaani kwa ujumla wahehe hamna kitu, natamani wangeenda moshi waone jinsi wachaga walivyotimua wahindi,kinachoshangaza zaidi inakuwaje Iringa iwe na wanasiasa na viongozi maaraufu lakini watu wao wawe wajinga kiasi hiki????
Aisee nimeshangaa sana na maisha ya watu wa hapa Iringa,tumekuja hapa kikazi tuna kama siku tano sasa,yaani tumegundua wenyeji wa mji huu wa Iringa wameshikwa pabaya na waarabu,inakuwa kama wana waabudu waarabu halafu waarubu kibao mji huu,yaani mwarabu akiongea kitu kidogo mhehe anakimbia hasa.
Mwarabu akipita na gari utasikia jamaa wanabishana hhii gari ni ya Fm au sijui nani, yaani kwa ujumla wahehe hamna kitu, natamani wangeenda moshi waone jinsi wachaga walivyotimua wahindi,kinachoshangaza zaidi inakuwaje Iringa iwe na wanasiasa na viongozi maaraufu lakini watu wao wawe wajinga kiasi hiki????
Dar-es- salam nani walio asisi kama sio waarabu -wao ndio waliona potential ya Daresalam mpaka leo ndion mji mkuu wa kibiashara Tanzania
Waarabu si wageni Tanzania na hawana haja ya kuomba mtu ruhusa ya kuishi hapa. wao ni kama wabantu wote walihamia hapa miaka mingi iliopita , hata wabantu pia hapa sio asili yao bali walihamia hapa. Na hii ni kawaida ya katika nchi zote duniani watu huhama na kujijenga pale wanapo pata maisha bora.
Eti ana jiita topthinker kumbe kilaza! Hivi kua mtanzania kunamananisha nini? Au rangi nyeusi ndio utanzania? Navojua mimi mtanzania anaweza kua mtu wa asili yeyote ili mradi awe amefata kanuni na sheria! Au wewe una hakika gani wewe ni mtanzania wa ASILI? Je kwa sababu ni mweusi? Labda babu yako ni mrundi au mbenin! Acha dhabi ya ubaguzi we kijana. Kuna waarabu iringa toka enzi ya enzi kabla hata halijawa taifa ya tanzania. Na wahehe ni watu SAFI sana ndio maana wapo poa kabisa na wahindi na waarabu because at the end of the day wote ni WATANZANIA pamoja na wewe! (au wewe point yako ilikua mambo ya dini ukaamua uzuge na waarabu) #justthinking
Aisee nimeshangaa sana na maisha ya watu wa hapa Iringa,tumekuja hapa kikazi tuna kama siku tano sasa,yaani tumegundua wenyeji wa mji huu wa Iringa wameshikwa pabaya na waarabu,inakuwa kama wana waabudu waarabu halafu waarubu kibao mji huu,yaani mwarabu akiongea kitu kidogo mhehe anakimbia hasa.
Mwarabu akipita na gari utasikia jamaa wanabishana hhii gari ni ya Fm au sijui nani, yaani kwa ujumla wahehe hamna kitu, natamani wangeenda moshi waone jinsi wachaga walivyotimua wahindi,kinachoshangaza zaidi inakuwaje Iringa iwe na wanasiasa na viongozi maaraufu lakini watu wao wawe wajinga kiasi hiki????
Mhehe amnyenyekee mwarabu?hujui kitu unasema,nenda tena ukafanye hiyo tafiti yako ndio urudi tena hapa!Aisee nimeshangaa sana na maisha ya watu wa hapa Iringa,tumekuja hapa kikazi tuna kama siku tano sasa,yaani tumegundua wenyeji wa mji huu wa Iringa wameshikwa pabaya na waarabu,inakuwa kama wana waabudu waarabu halafu waarubu kibao mji huu,yaani mwarabu akiongea kitu kidogo mhehe anakimbia hasa.
Mwarabu akipita na gari utasikia jamaa wanabishana hhii gari ni ya Fm au sijui nani, yaani kwa ujumla wahehe hamna kitu, natamani wangeenda moshi waone jinsi wachaga walivyotimua wahindi,kinachoshangaza zaidi inakuwaje Iringa iwe na wanasiasa na viongozi maaraufu lakini watu wao wawe wajinga kiasi hiki????
Ujinga wetu sisi wahehe ni nini mkuu?au kwa kusema hii gari ya mwarabu fulani?Aisee nimeshangaa sana na maisha ya watu wa hapa Iringa,tumekuja hapa kikazi tuna kama siku tano sasa,yaani tumegundua wenyeji wa mji huu wa Iringa wameshikwa pabaya na waarabu,inakuwa kama wana waabudu waarabu halafu waarubu kibao mji huu,yaani mwarabu akiongea kitu kidogo mhehe anakimbia hasa.
Mwarabu akipita na gari utasikia jamaa wanabishana hhii gari ni ya Fm au sijui nani, yaani kwa ujumla wahehe hamna kitu, natamani wangeenda moshi waone jinsi wachaga walivyotimua wahindi,kinachoshangaza zaidi inakuwaje Iringa iwe na wanasiasa na viongozi maaraufu lakini watu wao wawe wajinga kiasi hiki????
Dhahabu ya geita inachimbwa na nani? Mashamba makubwa ya kahawa na chai yanalimwa na nani? Ufugaji mkubwa na wakisasa unafanywa na nani? Kama ni matajiri wazawa unaowaita ndio wale wakina Alex Masawe? Kina Laswai? Na Felix Mrema? Babu Sambeki? Kama wote tungeamua kutafuta hela kwa njia mnazopitia nyie wenzetu sidhani kama tungekuwa na taifa lenye usalama. Unataka tutafute pesa kwa visu? Kama ni shule hata mkoa wa iringa ni wa pili kwa shule nyingi na wamesoma wengi sana, kama ni kukaa vitengo watu wametulia hawana madharau na ubaguzi na majigambo ya kipuuzi kwa kulewa bia kila saa, hata asubuhi unakaa bar! Kama ni kusaka hela wahehe wanazisaka kwa sana tu ndo maana idadi kubwa ya wanawake wa kichaga wanataka kuolewa na makabila mengine sababu yenu mnang'ang'ania kuwakimbia wake zenu mwaka mzima akae na baba mkwe, anakula mzigo unabaki kulea mimba ya babako kwa mkeo! Hapo nadhani ni utaratibu tu wa maisha kila mtu na style yake. Punguza majigambo na dharau kwa watanzania wenzio maana kila mkoa una historia yake na tamaduni zake. Mnakaa kuwasema wamakonde na watu wa lindi mnajua chanzo cha maisha yao kuwa vile? Na mbona wako poa tu na life yao? Na rais walitupatia? Mbona haufanyi tafakari ya kina?