Superpower
JF-Expert Member
- Oct 11, 2018
- 826
- 913
Kupitia maombi ya ajira za mda mfupi za sensa nimejifunza kitu. Walimu na watumishi wengi nadhani hamna kitu kipya kwenye vichwa vyenu zaidi ya hivyo mlivyo somea pia maisha yenu wengi ni magumu na bongo zenu zimekufa kabisa haziwezi kujifunza vitu vipya.
Mimi nilifikiri mda wa likizo itakuwa ni mda wa nyinyi kujifunza mbinu nyingine za kuishi inje ya mshahara sasa nashangaa walimu wengine above 45 nao wanaminyana kwenye foleni na vijana jobless wasaka mitaji ambao vichwa vyao wamejaza maarifa mengi kutokana na ugumu wa maisha hivyo nivyema mkabadilishana field kidogo wao wapate mitaji na nyie mpate experience nyingine.
Yaani mm nivile tu sijawa stable ila nikuwa vizuri kidogo tu ningewaachia ukarani wenu na uroho wenu. Niwatakie siku njema