Waalimu na watumishi msipobadilika mtakufa masikini

Superpower

JF-Expert Member
Oct 11, 2018
826
912
Kupitia maombi ya ajira za mda mfupi za sensa nimejifunza kitu. Walimu na watumishi wengi nadhani hamna kitu kipya kwenye vichwa vyenu zaidi ya hivyo mlivyo somea pia maisha yenu wengi ni magumu na bongo zenu zimekufa kabisa haziwezi kujifunza vitu vipya.

Mimi nilifikiri mda wa likizo itakuwa ni mda wa nyinyi kujifunza mbinu nyingine za kuishi inje ya mshahara sasa nashangaa walimu wengine above 45 nao wanaminyana kwenye foleni na vijana jobless wasaka mitaji ambao vichwa vyao wamejaza maarifa mengi kutokana na ugumu wa maisha hivyo nivyema mkabadilishana field kidogo wao wapate mitaji na nyie mpate experience nyingine.

Yaani mm nivile tu sijawa stable ila nikuwa vizuri kidogo tu ningewaachia ukarani wenu na uroho wenu. Niwatakie siku njema
 
Maisha magumu sana... imergine kama Marekani uchumi haujatulia wewe mtanzania utapona??

Kule Ulaya kazi na inflation imepanda bongo wewe ni nani??
 
Na wewe ni maskini tu wa mawazo kwa hiyo kutoa pesa nyingi ziende nje kwakununulia simu ya gharama ambayo haina Cha maana zaidi ya storage na camera nayo ni mawazo yenye tija.

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Matumizi ya simu ndogo kama hiyo inaonesha namna gani huna mambo mengi yanayo hitaji kusolviwa na simu.
Kwamfano huwezi oiga picha ckear ya payslip/risit ili umtumie mzabuni kumhakikishia umesha mtumia pesa ili akutumie mzigo(kwakuwa wewe sio mfanya biashara kubwa)
Matumizi ya simu ndogo kama hivyo yanaonesha namna unavyo bangaiza hata bando la kuingia hapa JF

Matumizi ya simu ndogo kama hiyo kuja kuwashambulia watumishi kuwa vichwa vyao vimegota mawazo ya kujikwamua kiuchumi ni jambo linalo kuonesha kuwa wewe ni masikini wa akili pia
Samahani kakini.
 
Nionyeshe hayo Mambo ambayo siwezi kufanya kwa tecno F1

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Wingi wa walimu sio kigezo cha kuwakashifu na kiwafedhehesha kama fursa hizo kila kada wameomba kilimo, watendaji na walimu labda utoe idara ya afya.

Cha msingi ni kujitambua na kujiongeza kama mfanyakazi na kuacha kuomba kila fursa zinapopatikana
Na nyie vijana sio kigezo cha fursa na kuanza kujitetea na kuonewa huruma
 
Lazima tu utakua umekosa nafasi ya sensa, walimu acha wapambane na wao watafute rizki
 
Wingi wa walimu sio kigezo cha kuwakashifu na kiwafedhehesha kama fursa hizo kila kada wameomba kilimo, watendaji na walimu labda utoe idara ya afya.
Cha msingi ni kujitambua na kujiongeza kama mfanyakazi na kuacha kuomba kila fursa zinapopatikana
Na nyie vijana sio kigezo cha fursa na kuanza kujitetea na kuonewa huruma
Hamna mtu ambae anahitaji hurumu ila tu. Mm natoa tu ushauri kwa jinsi mm nilivyokuwa naishi na mzazi wangu ambaye alikua mwalimu wa Shule baada ya Shule kuyumba ndo hizo ishu za nje na mshahara ziliplay part nikaenda shule.

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Basi bwana ndio hivyo....
Screenshot_20220723-220733_Chrome.jpg

Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom