Superpower
JF-Expert Member
- Oct 11, 2018
- 826
- 921
- Thread starter
- #61
Watumishi habari zenu? Mageresho yanasemaje au yameishia kwenye mikopo na vicoba
Ulitaka kila mtu awe mfanya biashara?acha tuendelee kuashika chaki ndio kusudi letu.Watumishi habari zenu? Mageresho yanasemaje au yameishia kwenye mikopo na vicoba
Daaah! 😊Tekno F1 nayo unakuja kuvimba humu na kuwabagaza walimu na unao waita watumishi? 😁😁😁😁😁