Kwahiyo unataka kuniambia Nini?Basi bwana ndio hivyo....[emoji1][emoji1][emoji3577][emoji3577]View attachment 2301637
Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
Fwaaalaaa 🤣🤣🤣🤣Uhuru umezidi[emoji38][emoji38]
Wengi wanakubeza ila ukweli ndio huo kuna baadhi ya kata mkoa wa mbeya, Arusha wamefanya mambo ya ajabu sana.Kupitia maombi ya ajira za mda mfupi za sensa nimejifunza kitu. Walimu na watumishi wengi nadhani hamna kitu kipya kwenye vichwa vyenu zaidi ya hivyo mlivyo somea pia maisha yenu wengi ni magumu na bongo zenu zimekufa kabisa haziwezi kujifunza vitu vipya. Mimi nilifikiri mda wa likizo itakuwa ni mda wa nyinyi kujifunza mbinu nyingine za kuishi inje ya mshahara sasa nashangaa walimu wengine above 45 nao wanaminyana kwenye foleni na vijana jobless wasaka mitaji ambao vichwa vyao wamejaza maarifa mengi kutokana na ugumu wa maisha hivyo nivyema mkabadilishana field kidogo wao wapate mitaji na nyie mpate experience nyingine. Yaani mm nivile tu sijawa stable ila nikuwa vizuri kidogo tu ningewaachia ukarani wenu na uroho wenu. Niwatakie siku njema
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Mnamsema dogo na simu yake.. lakini kiukweli mwenye akili ajitafakari kuajiriwa kusizuie mtu kuwa na kipato cha ziada..Kupitia maombi ya ajira za mda mfupi za sensa nimejifunza kitu. Walimu na watumishi wengi nadhani hamna kitu kipya kwenye vichwa vyenu zaidi ya hivyo mlivyo somea pia maisha yenu wengi ni magumu na bongo zenu zimekufa kabisa haziwezi kujifunza vitu vipya. Mimi nilifikiri mda wa likizo itakuwa ni mda wa nyinyi kujifunza mbinu nyingine za kuishi inje ya mshahara sasa nashangaa walimu wengine above 45 nao wanaminyana kwenye foleni na vijana jobless wasaka mitaji ambao vichwa vyao wamejaza maarifa mengi kutokana na ugumu wa maisha hivyo nivyema mkabadilishana field kidogo wao wapate mitaji na nyie mpate experience nyingine. Yaani mm nivile tu sijawa stable ila nikuwa vizuri kidogo tu ningewaachia ukarani wenu na uroho wenu. Niwatakie siku njema
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Ni kweli mkuu tatizo wanaona Kama tunajimwambafai ila ukweli ni kwamba walimu wengi walioomba hizi kazi sio wale wanaohangaika na fursa zilizo nje ya box. Mm kitaa nimejione vizuri kabisa Kuna walimu wakogo bize na kilimo sikuile ya usaili sikuwaona kabisa ila kunabadhi ukiwaona wanavyo comment vibaya kuhusu kilimo utazani Wana hela ila sikuile ya usaili niliwaona wanagombania kibarua Cha sensa na vijana.Wengi wanakubeza ila ukweli ndio huo kuna baadhi ya kata mkoa wa mbeya, Arusha wamefanya mambo ya ajabu sana.
Arusha kuna mpaka wale waliokuwa kwenye pannel ya interview nao wamejochomeka yaan wamewaweka Walimu wote kwenye matokeo na vijana wote wametemwa.
Mbeya kuna kata kama 6 hv kwa taarifa nilizonazo ambazo ni sahihi 100% walimu wamejipachika wote.
Walimu ifike muda mjaribu kuchange tunajua maslahi yenu ni madogo lakn mjitahid kufikiria nje ya box kdg sikutegemea walimu wanaofanyakaz kwenye wilaya ya mbarali kung'ang'ania kaz na vijana tena walikuwa wanawauliza maswali ya kipuuzi et "kwann hamtaki kujitolea".
Mwana na F1 yako hao wote wanaotema mapovu ni walimu na watumishi waliotuma maombi ya Sensa.
Hawanaga huruma kabisa na aibu mwaka 2012 tuligombana nao kwenye sensa pia kwenye uchaguzi 2015 wakat tunamaliza chuo tulipambana nao sana kwenye BVR alaf cha ajabu kuna mwalimu Dar kuanzia sensa ya 2012, BVR ya 2015 na Sensa hii zote yumo bila ata aibu.
Mkuu asante sana kwa kuwaelewasha vizuri na wananisema na simu yangu kesho nitawajibu vizuri kesho.Mnamsema dogo na simu yake.. lakini kiukweli mwenye akili ajitafakari kuajiriwa kusizuie mtu kuwa na kipato cha ziada..
Tungeanza na wewe kuwa makini kidogo kuandika vyema maana haukukurupushwa, hivyo ni walimu si waliamu.Kupitia maombi ya ajira za mda mfupi za sensa nimejifunza kitu. Walimu na watumishi wengi nadhani hamna kitu kipya kwenye vichwa vyenu zaidi ya hivyo mlivyo somea pia maisha yenu wengi ni magumu na bongo zenu zimekufa kabisa haziwezi kujifunza vitu vipya. Mimi nilifikiri mda wa likizo itakuwa ni mda wa nyinyi kujifunza mbinu nyingine za kuishi inje ya mshahara sasa nashangaa walimu wengine above 45 nao wanaminyana kwenye foleni na vijana jobless wasaka mitaji ambao vichwa vyao wamejaza maarifa mengi kutokana na ugumu wa maisha hivyo nivyema mkabadilishana field kidogo wao wapate mitaji na nyie mpate experience nyingine. Yaani mm nivile tu sijawa stable ila nikuwa vizuri kidogo tu ningewaachia ukarani wenu na uroho wenu. Niwatakie siku njema
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Kupitia maombi ya ajira za mda mfupi za sensa nimejifunza kitu. Walimu na watumishi wengi nadhani hamna kitu kipya kwenye vichwa vyenu zaidi ya hivyo mlivyo somea pia maisha yenu wengi ni magumu na bongo zenu zimekufa kabisa haziwezi kujifunza vitu vipya. Mimi nilifikiri mda wa likizo itakuwa ni mda wa nyinyi kujifunza mbinu nyingine za kuishi inje ya mshahara sasa nashangaa walimu wengine above 45 nao wanaminyana kwenye foleni na vijana jobless wasaka mitaji ambao vichwa vyao wamejaza maarifa mengi kutokana na ugumu wa maisha hivyo nivyema mkabadilishana field kidogo wao wapate mitaji na nyie mpate experience nyingine. Yaani mm nivile tu sijawa stable ila nikuwa vizuri kidogo tu ningewaachia ukarani wenu na uroho wenu. Niwatakie siku njema
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums nan hatak hela ndg maana naskia ni kama mlion hv
Kukupa tu ushauri mpaka niwe na viwanda kweli walimu ni matomaso aisee kwahiyo mpaka mo awashauri ndio mtashaurikaMakelele tu wewe una viwanda vingapi au tajiri namba ngapi humu nchini?
" hao walioomba labda hawana ishu kwanini wasiingize fedha?" Hapo ndio umaskini ndio unapojikita hivi kweli unakuaje na mshahara hafu hauna ishu nyingine ya ziada ya kufanya kweli kwa mentality hii walimu mnasafari ndefu.Tungeanza na wewe kuwa makini kidogo kuandika vyema maana haukukurupushwa, hivyo ni walimu si waliamu.
Tatizo kuchukua nafasi zenu vijana ama wao kufa masikini?
Inapokuja fursa ya kupata fedha hakuna kusema eti anao mshahara hvyo atumie muda uo kufanya mengine,huko ni kumpangia maana si walimu wote wameomba, ukute wengne wanafanya hlo unasema na hao walioomba labda hawana ishu kwanini wasiingize fedha?Bakhresa anatengeneza ice cream, kwanini usihoji kwamba awaachie awa wanaotengeneza local hizi na yeye ajikite kwenyw mengine???
Jamani nani kasema anataka huruma ?Ikiwa nyote mna sifa sawa za kuomba hizo ajira, kwa nini utake kupata nafasi kwa kuonewa huruma?
Vijana wenye nguvu zenu punguzeni kulialia, jifunzeni kupambana.
Basi kama hamtaki huruma pambaneni kwenye foleni na hao watumishi, muache kulialia.
Sijawapangia ni ushauri tuuuBasi kama hamtaki huruma pambaneni kwenye foleni na hao watumishi, muache kulialia.
Sifa mnazo na wao wanazo. Usimpangie huyo mtumishi nini cha kufanya kwenye kujiongezea kipato cha ziada.
Alaf mbaya zaid kwenye makaratasi yaliyotoka wameandika "HANA AJIRA" wakati tunawajua ni walimu wa muda mrefu na tunashinda nao vijiweni kila siku kuzungumzia simba na yanga[emoji23][emoji23].
Walimu mjitafakari upya maana mnatia aibu.
Sijawahi kuapply tangu nilivyofanya BVR 2015 Kipind nimemaliza chuo now nipo na biashara zang siwez kuacha kaz zang nikang'ang'anie laki 7 mwez mzma.Na wewe umekosa mchongo , kuna mzee mmoja ticha mstaafu rafiki yangu huko katavi kala shavu tayari