Waalimu na watumishi msipobadilika mtakufa masikini

Alaf mbaya zaid kwenye makaratasi yaliyotoka wameandika "HANA AJIRA" wakati tunawajua ni walimu wa muda mrefu na tunashinda nao vijiweni kila siku kuzungumzia simba na yanga[emoji23][emoji23].
Walimu mjitafakari upya maana mnatia aibu.
Yaani walimu wa tz hapana aisee sio kwa njaa hizi
 
Sijawahi kuapply tangu nilivyofanya BVR 2015 Kipind nimemaliza chuo now nipo na biashara zang siwez kuacha kaz zang nikang'ang'anie laki 7 mwez mzma.
Ila nmetoa ukweli maana nmeona vijana wanalalamika sana mtaan na ukweli wamechukua walimu ambao mpaka wengne ni majiran zang alaf wanadai kuwa "HAWANA AJIRA" tatizo hampendi kuambiwa ukweli

Basi nimeelewa mnacholalamika kumbe ilitakiwa waajiriwa wawaachie fursa wasiokua na ajira, halafu hiyo 700k ndio wanafanyia kazi ya sensa?
 
Kupitia maombi ya ajira za mda mfupi za sensa nimejifunza kitu. Walimu na watumishi wengi nadhani hamna kitu kipya kwenye vichwa vyenu zaidi ya hivyo mlivyo somea pia maisha yenu wengi ni magumu na bongo zenu zimekufa kabisa haziwezi kujifunza vitu vipya. Mimi nilifikiri mda wa likizo itakuwa ni mda wa nyinyi kujifunza mbinu nyingine za kuishi inje ya mshahara sasa nashangaa walimu wengine above 45 nao wanaminyana kwenye foleni na vijana jobless wasaka mitaji ambao vichwa vyao wamejaza maarifa mengi kutokana na ugumu wa maisha hivyo nivyema mkabadilishana field kidogo wao wapate mitaji na nyie mpate experience nyingine. Yaani mm nivile tu sijawa stable ila nikuwa vizuri kidogo tu ningewaachia ukarani wenu na uroho wenu. Niwatakie siku njema

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Unaweza kuwa unawasimanga watumishi hao kumbe hata weye una tabia za kugombea chakula na bia kwenye maharusi.Sasa hapo una tofauti gani nao?Watanzania wengi tunafanana tabia.Acha kuwasimanga wenzio ni mentality ya kimasikini hiyo.Acha!
 
Kwa hiyo walimu sio watumishi?
 
Hebu dogo acha kutukana wakunga na......huyo mwalimu ndo alikufundisha kushika kalamu,kupenga kamasi na kuacha kujinyea ovyo kindergarten.....siyo lazma uwe kalani ukikosa kaandae mashamba mvua za mwezi wa tisa zipo karibu
 
Laki5 utafungua biashara gani dogo wakat hata kuuza machungwa hujui....
 
Kwani lazima niuze machungwa ona Sasa yaani hamna hata idea nyingine kwahio mwalimu unataka kuniambia hiyo hela haita weza fanya chochote ila walimu daah
 
Mm sijawatukana nimewachana
 
Unaweza kuwa unawasimanga watumishi hao kumbe hata weye una tabia za kugombea chakula na bia kwenye maharusi.Sasa hapo una tofauti gani nao?Watanzania wengi tunafanana tabia.Acha kuwasimanga wenzio ni mentality ya kimasikini hiyo.Acha!
Hizo ni tabia za walimu aisee huwa wanagombea kila kitu Kama vile wanafunzi tu.
 
Mm sijawatukana nimewachana
Kuwachana. ..! ni lugha ya mtaani na sidhani kama huyo mwl unayemdhihaki ndiye aliyekufundisha hivyo....hebu kuwa na adabu kidogo mbele ya walezi wako laiti kama mamaako angelikuwa mmoja wa walimu hao ungelikuwa na laana sasa.....
 
Nyerere alikimbia ualimu, Magufuli alikimbia ualimu, majaliwa aliachana na ualimu, lowasa alikimbia ualimu, hawakutaka hata kuusikia huo ualimu wenyewe
 
Kuwachana. ..! ni lugha ya mtaani na sidhani kama huyo mwl unayemdhihaki ndiye aliyekufundisha hivyo....hebu kuwa na adabu kidogo mbele ya walezi wako laiti kama mamaako angelikuwa mmoja wa walimu hao ungelikuwa na laana sasa.....
Walimu walio nifundisha primary wengi wame stafu au 45+ hafu hawakuwa na hizi habari hawakuwa nazo. Sasa unaniambia Hawa vijana vijana hao ambao nimewaambia ukweli huku wakibaki wakichekaka
 
Kwani lazima niuze machungwa ona Sasa yaani hamna hata idea nyingine kwahio mwalimu unataka kuniambia hiyo hela haita weza fanya chochote ila walimu daah
Wewe dogo acha kulialia baba yako Ni mjumbe wa Kijiji mwambie akupitishie uani ...kadi za Chama tawala si zinalala kwenu...hii survive for fittest hakuna kuonea huruma...Tumekufundisha ukafaulu pambana ...ndio Darasani tunawaambia mtaani hakuna lelema!!!
 
Kupitia maombi ya ajira za mda mfupi za sensa nimejifunza kitu. Walimu na watumishi wengi nadhani hamna kitu kipya kwenye vichwa vyenu zaidi ya hivyo mlivyo somea pia maisha yenu wengi ni magumu na bongo zenu zimekufa kabisa haziwezi kujifunza vitu vipya. Mimi nilifikiri mda wa likizo itakuwa ni mda wa nyinyi kujifunza mbinu nyingine za kuishi inje ya mshahara sasa nashangaa walimu wengine above 45 nao wanaminyana kwenye foleni na vijana jobless wasaka mitaji ambao vichwa vyao wamejaza maarifa mengi kutokana na ugumu wa maisha hivyo nivyema mkabadilishana field kidogo wao wapate mitaji na nyie mpate experience nyingine. Yaani mm nivile tu sijawa stable ila nikuwa vizuri kidogo tu ningewaachia ukarani wenu na uroho wenu. Niwatakie siku njema

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Kisa wanataka ajira za sensa ndio kosa lao. Nani anatishekaga hela.? Waacheni kuwasakama watu. Wewe mbona ulienda kuomba hzo za sensa.? Si ungelala tu.🚮🚮🚮
 
Mleta mada ni pumbavuuuuu. Kwani kwanza ukifa tajiri unazikwa angani. Si wote futi sita down ya tumbo la Ardhi. Peleka uharo wako MaCHADEMA
 
Basi nimeelewa mnacholalamika kumbe ilitakiwa waajiriwa wawaachie fursa wasiokua na ajira, halafu hiyo 700k ndio wanafanyia kazi ya sensa?
Yaan ilitakiwa waajiriwa wasiapply hizo kazi wawaachie vijana ambao hawana ajira maana kwenye hao vijana 1000 basi 100 wanaweza wakazitumia pesa vizur na kupata mtaji wa kujiendeleza kwenye shughuli za kujikwamua kiuchumi.
Ila kitendo cha waajiriwa nao kuapply na mbaya zaid wao ndio wanaowafanyia interview yaan imekuwa kama danganya toto wanawasumbua vijana tu alaf wanajipachika majina yao alaf bado yale majina ya kutoka CHAMA TAWALA (UVCCM)daaah JOBLESS tanzania wana kazi sana.
 
Laki5 utafungua biashara gani dogo wakat hata kuuza machungwa hujui....
Kaa kimya kuna watu hyo laki 5 wakipata wanafanya za maana sana na sio wote watazitumia vibaya, kuna wengne wanaweza wakatumia kuinvest kwenye kilimo, kuna wengne walianzisha ujasiriamali so wangepata hyo wangefanya kuBoost biashara zao, na kuna wengne hyo hyo wangeweza kufungua biashara na ikaenda vizur tu so kama unaona laki 5 kwako ni ndogo kufanya biashara kuna wengne wanaona 5M ni ndogo kufanya biashara na wengne wanaona 10M ni ndogo so LIFE IS NOT THE SAME.
 
Back
Top Bottom