Waalimu kwa bashasha wanasubiri laptops zao hadi raha..

H.T.P

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
1,169
Reaction score
1,298
Jamani walimu kwa kipindi ambacho furaha yao imeongezeka ni hiki ambapo rais aliyewakumbuka na kuwaahidi laptops kashinda sasa ni kutimiza "hapa kazi tu"

Vijijini nao wanasubiri kwa hamu 50,000,000 kkila kitongoji

Mi niko kimya nasubiri mahakama ya Mafisadi.

Vipi we mwenzangu unasubiri nini?
 
Huyo msanii tu kama mtani wake aliyepita...ahadi za trillion 60 atazipata wapi...
 
Weka sauti ya raisi akiyaahidi hayo tusikie tuamini ulichoandika.
 
Hahahahahaha...umepanic ee ninazozote na nimesha toa hadi copy za cd...usiwe na haraka 2020 kuanzia mwezi wa sita niombee uzima nitakuwekea
 
Umuwekee yeye kipindi cha kampeni alikuwa wapi? Na kama hakusikia ahadi za Magufuli alimchagua kwa misingi ipi?
 
Million 50 kila kijiji hapa na uhakika wa million zangu 13 kwa sababu kijijini kwetu wasomi ni wachache alaf mimi nmesoma account lazima nilambe eskroo na mimi hakika lazima ni fanye kwel si danganyi najua wataniita tuu nikawasaidie hesabu
 
Million 50 kila kijiji hapa na uhakika wa million zangu 13 kwa sababu kijijini kwetu wasomi ni wachache alaf mimi nmesoma account lazima nilambe eskroo na mimi hakika lazima ni fanye kwel si danganyi najua wataniita tuu nikawasaidie hesabu[/w
QUOTE]
Hahahahahaha
 
Jamani walimu kwa kipindi ambacho furaha yao imeongezeka ni hiki ambapo rais aliyewakumbuka na kuwaahidi laptops kashinda sasa ni kutimiza "hapa kazi tu"

Vijijini nao wanasubiri kwa hamu 50,000 kila kitongoji

Mi niko kimya nasubiri mahakama ya Mafisadi.

Vipi we mwenzangu unasubiri nini?

Mkuu ni Mil. 50 kila kijiji na sio 50,000. Mimi niliahidiwa ya kwamba "Sitokuangusha" kwa hio nasubiri kutokuangushwa hapo. Mdog wangu yeye hana kazi na aliahidiwa kazi. kwa kweli ndio bado tunangojaga tu...
 
Jamani walimu kwa kipindi ambacho furaha yao imeongezeka ni hiki ambapo rais aliyewakumbuka na kuwaahidi laptops kashinda sasa ni kutimiza "hapa kazi tu"

Vijijini nao wanasubiri kwa hamu 50,000 kila kitongoji

Mi niko kimya nasubiri mahakama ya Mafisadi.

Vipi we mwenzangu unasubiri nini?
Mwaka huu kwenye ilani yetu hatukuahidi mahakama ya Kadhi? Maana ile ni ibayda sheikh. Au 'baraza' limekataza?
CC Pasco FaizaFoxy
 
Last edited by a moderator:
nasubiri kuona baraza dogo la mawaziri lenye mawaziri waadilifu
 
Million 50 kila kijiji hapa na uhakika wa million zangu 13 kwa sababu kijijini kwetu wasomi ni wachache alaf mimi nmesoma account lazima nilambe eskroo na mimi hakika lazima ni fanye kwel si danganyi najua wataniita tuu nikawasaidie hesabu

Hahahahaaaa mtamuua mzee wa watu!
Ataipata dawa yake,alidhani Ikulu ni kwenda kusimamia barabara.
 
Back
Top Bottom