Mr Q
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 22,416
- 51,468
Hahahahahaha...umepanic ee ninazozote na nimesha toa hadi copy za cd...usiwe na haraka 2020 kuanzia mwezi wa sita niombee uzima nitakuwekea
Sasa mkuu unataka kuleta ahadi kama za wsle viomgozi wa chama flani hapa nchini waliosema wata release ishahidi wa nani aliye sababisha watu kujeruhiwa na kuuawa pale Arusha
Mpaka leo kimya.
Mi nasubiri kuona sare za walimu sarawili au siketi ya kijani na shati la njano....