Waalimu kwa bashasha wanasubiri laptops zao hadi raha..

Waalimu kwa bashasha wanasubiri laptops zao hadi raha..

Mi naona akitekeleza ile ahadi aliyosisitiziwa na KIKWETE ya kutowaangusha STARTV tu basi nitaamini kweli ccm ni serikali sikivu kwa sababu jamaa wamewafanyia kazi haswa.
 
Hivi waalimu wako wangapi Tz hii.Tukijua tukapiga bei ya lap top moja tutajua bajeti ili akae akijua inamhusu
 
kabla wino wa kura haujaisha kwenye vidole tunaambiwa ahadi ya kusoma bure tulimnukuuPombe vibaya
 
UPAWA wame Changanyikiwa duh! Mambo ya ICJ yameishia wapi?
 
Jamani walimu kwa kipindi ambacho furaha yao imeongezeka ni hiki ambapo rais aliyewakumbuka na kuwaahidi laptops kashinda sasa ni kutimiza "hapa kazi tu"

Vijijini nao wanasubiri kwa hamu 50,000 kila kitongoji

Mi niko kimya nasubiri mahakama ya Mafisadi.

Vipi we mwenzangu unasubiri nini?
Mie nasubiri nini kitafanyika kwa maduka ya madawa kuzunguka hosp za serikali.
 
Mimi nasubiri Tanalec ianze kusindika ngozi pale Moshi ili tupate viatu bora kutoka kwenye hicho kiwanda.

Pale mabatini mwanza nitauza aisee, napeleka mpaka dodoo dodoma aisee halafu narudi na ngosi.
 
UPAWA wame Changanyikiwa duh! Mambo ya ICJ yameishia wapi?

walienda icc benisuda akawauliza walikufa wangapi kwenye uchaguzi wakasema watano alianguka na helkopta mbovu wakaambiwa hakuna jinai, wakaenda icj wakaambiwa wamwambie AG ndo anapaswa kupeleka shauri, wameambiwa waende TI naona wanajipanga.
 
mi nasubir meli mbili za kwenda bukoba na viwanda
 
Mi nasubiria nione "Tanzania ya Magufuli ni ya viwanda tuuu"!!
 
Million 50 kila kijiji hapa na uhakika wa million zangu 13 kwa sababu kijijini kwetu wasomi ni wachache alaf mimi nmesoma account lazima nilambe eskroo na mimi hakika lazima ni fanye kwel si danganyi najua wataniita tuu nikawasaidie hesabu

Ahaaahaaahaaahaaaaaaahaa.... Nimecheka balaha
 
General tyre hakyamama nina hamu nayo.......hii kiwanda hii.......nina mambo yangu mengi sana pale......
 
Hamna lolote.

Laptop za nini wakati shule hazina madawati, madirisha, mapaa, chaki, ubao, vyoo, umeme, maji, na mengineyo.

Ahadi za kijuha kweli hizo.

Nani anajua kuhusu laptop huko Lamadi au Dutwa?

Hivi kuna watu walioamini hizo ahadi za kijuha?

Alafu wewe ni Msukuma maana umegusa Dutwa nikajua we Chenge moja. Subirini viwanda.
 
Jamani walimu kwa kipindi ambacho furaha yao imeongezeka ni hiki ambapo rais aliyewakumbuka na kuwaahidi laptops kashinda sasa ni kutimiza "hapa kazi tu"

Vijijini nao wanasubiri kwa hamu 50,000 kila kitongoji

Mi niko kimya nasubiri mahakama ya Mafisadi.

Vipi we mwenzangu unasubiri nini?

Binafsi nashangazwa ninapo kutana na hoja kama hizi kwenye mitandao?????!!!
Hili suala la Laptop lilisha kanushwa mara kadhaa kuwa halijawahi kutamkwa na Dr. Magufuli ..ni watu MAKANJANJA wamelitengeneza na kutaka kuwaaminisha watanzania...

Najua walilikopi kule kenya ambako Uhuru ndie ali ahidi Laptop kwa watoto kitu ambacho hadi sasa hajafanikiwa kutekeleza

Acha kuwa KANJANJA... andika habari za kweli zilizo fanyiwa utafiti!!!
 
Unampa mwalimu laptop anayetembea kilomita 10 kwenda shule?
 
Binafsi nashangazwa ninapo kutana na hoja kama hizi kwenye mitandao?????!!!
Hili suala la Laptop lilisha kanushwa mara kadhaa kuwa halijawahi kutamkwa na Dr. Magufuli ..ni watu MAKANJANJA
wamelitengeneza na kutaka kuwaaminisha watanzania...

Najua walilikopi kule kenya ambako Uhuru ndie ali ahidi Laptop kwa watoto kitu ambacho hadi sasa hajafanikiwa kutekeleza

Acha kuwa KANJANJA... andika habari za kweli zilizo fanyiwa utafiti!!!
Acha kujifariji unadhani records zinadanganya ee
 
Back
Top Bottom