Waafrika waungana kuishambulia BBC mitandaoni. Kweli nimeamini dini ni kitu hatari zaidi ya bomu la nyuklia

Wewe ndio wakala wa mpinga kristo.

Yesu alisema kuweni makini watakuja manabii feki, kwahyo wewe una akili sana kuliko yeye?

Yule kenge tulishamuona muda mrefu, hakuna kitu pale katika manabii feki aliowaongelea yesu yule ndio alikuwa kiongozi
Hapo yesu itakuwa alikosea bana hakuna nabii wa uongo watu wamefanya miujuza tukashuhudia anakuaje nabii wa uongo?
 
Nimetazama documentary zote tatu. Nimetokwa machozi. Nafikiri hata lile tukio la kule Kilimanjaro lililouwa watu lichunguzwe.
Documentary zipi?
Zinazoonyesha nn mkuu?

Sina uhakika km umemuona huyo bibie mlalamikaji alipomshitaki mara ya kwanza akiwa hai!
Tafuta pia.

Naona mnatoa conclusion Kwa kusikiliza upande 1 na mshitakiwa akiwa hayupo Kwa Sasa!

2021 kafariki, 2024 mashotaka Kwa mara ya pili😅
 
Hapo yesu itakuwa alikosea bana hakuna nabii wa uongo watu wamefanya miujuza tukashuhudia anakuaje nabii wa uongo?
Leta tuone?

Yule mbwa kuna siku niligombana na mtu nikamwambia yule tapeli muda utasema.

mdhalimu yule na alikuwa Malaya wa kutupwa na kujificha mwamvuli wa dini.

Ukiwa moto kuwa moto ukiwa baridi baridi tukujue.
 
HABARI ZA TB JOSHUA NAZIONA KWENYE SURA MBILI.
1. TAARIFA HIZI ZIMEKUJA KUPOTEZEA TAARIFA ZA PAPA KURASIMISHA NDOA ZA MASHOGA KWENYE KANISA LAKE.
2. SASA TUCHUKULIE TUHUMA HIZI NI ZA KWELI, AFUFULIWE? ASHITAKIWE?
JE KWA NINI SASA NA SI KIPINDI ALIPOKUA HAI?
ETI MTU ANA KWENDA KANISANI ANABAKWA, ANARUDI NYUMBANI.
KESHO TENA ANAKWENDA ANATESWA, ANARUDI NYUMBANI
HALAFU NAKWENDA TENA ANANYANYASWA ANARUDI NYUMBANI!
SASA HAPA TATIZO LA NANI?NABII AU MUUMINI?

JE LENGO LA BBC NI KUTAKA WAAFRICA WAWAEPUKE MITUME NA MANABII?
JE NI KWELI WAFUASI WA MITUME NA MANABII NI MAZOMBIES? HAYANA FAHAMU, HAYANA AKILI?
HAPO KENYA TAPELI PAUL MACKENZIE, KASABABISHA VIFO VYA WATU 428 MBONA BBC HAIJAIPA KIUPAUMBELE ZILE HABARI?
 
Leta tuone?

Yule mbwa kuna siku niligombana na mtu nikamwambia yule tapeli muda utasema.

mdhalimu yule na alikuwa Malaya wa kutupwa na kujificha mwamvuli wa dini.

Ukiwa moto kuwa moto ukiwa baridi baridi tukujue.
Japo sipingi wala sikubali madai yako maana sina fact zake. Ila jamaa mwishoni alibaki na neena tu kibali kiliondoka.
 
Takribani ni siku nne sasa BBC inarusha makala za kuonyesha hujuma zilizofanywa na mhubiri TB Joshua.
TB Joshua ndiye chachu iliyozaa manabii karibu wote Afrika na nje ya Afrika kwa zama ya Leo.
Hivyo ukimgusa TB Joshua ni sawa na kuwagusa manabii na mitume wote wa Afrika.
Wafuasi wa mitume na manabii waijia juu BBC.
Wengine wakiahidi kuwa hawataamini tena habari yoyote itakayotolewa na BBC,
Wengine wanaitabiria anguko BBC.
Dini ni hatari zaidi ya bomu la nyuklia.
Katika vitu ambavyo mwanadamu anapaswa kuwa makini anapoongea ni pale atakapoongea jambo linalohusu dini l/njia au Imani.
Ukijiingiza kwenye information war ya identity crisis, kunakuwa na facts na wanaopinga facts kwa sababu yabidentity.

Kwenye saikolojia kuna kitu kinaitwa "cognitive dissonance". Hii hali hutokea pale mtu anapoonabukweli unapingana na imani yake, lakini anaendelea kushikilia imani yake na kupingana na ukweli.

Kwa mfano, mtu anatoka Mwenge Dar es salaam, anataka kwenda Kariakoo Dar es salaam. Lakini badala ya kuelekea kusini, anaelekea kaskazini, anapita Lugalo, anapita Kawe, anapita Tangi Bovu, anapita Africana, anapita Tegeta, anaanza kuona kama anakoenda siko, lakini anajipa moyo kwamba anaelekea upande sawa, soko la Kariakoo liko mnele kidogo tu hapo, after all, ameshasafirinumbali mrefu sana, lazima soko litakuwa karibu.

Kumbe anaelekea upande tofauti na kila anavyozidi kusafiri ndivyo anavyozidi kuliacha soko la Kariakoo mbali zaidi.

Watu wengi wanapinga ripoti za BBC kwanza bila hata kuangalia hizo video. Wanapinga kwa "identity war" tu. Ni kama mtu akimshambulia baba yako na kumuita mjinga, unaweza kupigana naye bila kujali kwamba alichosema ni kweli au la.

Hawa watu wengi wanaona baba yao TB Joshua kashambuliwa, wanaishambukia BBC. Identity war tu.

Ukifuatilia zile video, wale watu walivyoongea, walivyo wengi, walivyotoka nchi nyingi, mpaka mtoto wa TB Joshua alivyosema, jinsi TB Joshua alivyokuwa ana fake mirackes tangu zamani tunavyojua, jinsi alivyokuwa mtu wa kutafuta shortcuts mpaka akajenga ghorofa lililoanguka, jinsi alivyozuia waokoaji wasiokoe watu, jinsi wafuasi wake wa karibu walivyokubali madudu aliyoyafanya, jinsi mpaka serikali ya Nigeria ikivyokubali TB Joshua kajenga jumba kiholela.

Utaona kuwa only a fanatic fighting identity war with cognitive dissonance would defend TB Joshua.

This is identity war fueled by cognitibe dissonance.

TB Joshua tulimjua ni tapeli siku nyingi tu, kabla BBC hawajammulika.

BBC wamejazia nyama tu kwenye skeleton kwa expose yao.
 
Takribani ni siku nne sasa BBC inarusha makala za kuonyesha hujuma zilizofanywa na mhubiri TB Joshua.
TB Joshua ndiye chachu iliyozaa manabii karibu wote Afrika na nje ya Afrika kwa zama ya Leo.
Hivyo ukimgusa TB Joshua ni sawa na kuwagusa manabii na mitume wote wa Afrika.
Wafuasi wa mitume na manabii waijia juu BBC.
Wengine wakiahidi kuwa hawataamini tena habari yoyote itakayotolewa na BBC,
Wengine wanaitabiria anguko BBC.
Dini ni hatari zaidi ya bomu la nyuklia.
Katika vitu ambavyo mwanadamu anapaswa kuwa makini anapoongea ni pale atakapoongea jambo linalohusu dini l/njia au Imani.

"Wa Africa wapumbavu"
 
mzungu alikuja afrika akiwa na bible tu akakuta wazee wetu wana ardhi yenye madini tele

leo mzungu ana ardhi yenye madini tele sisi tuna bible.

Hii ngoma bado mbichi (in mc mboneke's voice)

Acha tuone itaishia wapi.
 
Alikuwa ndie Nabii mkuu wa Africa ndie kawapa upako manabii wengi waafrika.wa bongo anajulikana,
Nani aliyempa huo unabii mkuu na upako unatolewaje. Huduma za kinabii muwe nazo makini wadau Kuna ujanja mwingi . Mtu anamkaa asbh anajitangaza nabii biblia. Tulionywa tusiamini Kila roho
 
Labda kama ingekuwa imeanza sasshiv kweli ingekuwa maslahi.
Ila muda tu ila zikawa zinazimwa kwa nguvu ya pesa.

Mbio za sakafuni hizo muda ni mwalimu mzuri yule mbwa alikuwa hana miujiza yoyote zaidi ya utapeli na umalaya.

Yesu alisema manabii feki watatokea ndio hawa, kupinga hilo ni unampinga yesu.
Sasa huo unabii feki mpaka aje aseme Mwanamke wa Kizungu ndio Uamini? Hilo linadhihirisha umekamatwa kufikiria kwa uwezo wako na kudadavua unabii wake. (Una ukasuku) Yani mpaka unamuita Mbwa! Yebo

Kwanza wachana na Yesu ambaye hakuwepo pale Nigeria(Sic) manake kama angekuwepo(in spirit or physically, according to your state of mind) miujiza isingetokea. Au? That is another topic. Lakini miujiza ilitokea and Documented.

BBC ni mchonganyishi, BBC is predominantly controlled by white men. A white woman is part of a White Supremacy mindset they co-exist kwa kila kitu wanachokifanya.

According to my Friend ambaye ameandika extensively kuhusu White Women in Europe and America, nita mnukuu anasema

  • 'Mwanamke wa Kizungu anaweza kuwa kitu chochote, lakini hapaswi kukiuka kanuni ya msingi ambayo ni lazima azingatie overtly or tacitly, acceptance of white supremacy. She must be commited to whiteness, i.e she is biogenetically, politically, socioeconomically, and culturally white' mwisho wa kunukuu
Kwa msingi huo, na ukizingatia historia ya BBC na Uzungu wake, propaganda zake etc ndipo napopata nguvu ya kusema
...ni tabia iliyo ndani ya damu zao. Kila wakati akitokea kioo wa Mwafrika, wao huja na Character assasination

This is a trend ya wanawake wazungu kila mahali walipo Waafrika walio succesful.
 
Takribani ni siku nne sasa BBC inarusha makala za kuonyesha hujuma zilizofanywa na mhubiri TB Joshua.
TB Joshua ndiye chachu iliyozaa manabii karibu wote Afrika na nje ya Afrika kwa zama ya Leo.
Hivyo ukimgusa TB Joshua ni sawa na kuwagusa manabii na mitume wote wa Afrika.
Wafuasi wa mitume na manabii waijia juu BBC.
Wengine wakiahidi kuwa hawataamini tena habari yoyote itakayotolewa na BBC,
Wengine wanaitabiria anguko BBC.
Dini ni hatari zaidi ya bomu la nyuklia.
Katika vitu ambavyo mwanadamu anapaswa kuwa makini anapoongea ni pale atakapoongea jambo linalohusu dini l/njia au Imani.
BBC inajaribu kuwatoa watu gizani lazima washambuliwe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ndio wakala wa mpinga kristo.

Yesu alisema kuweni makini watakuja manabii feki, kwahyo wewe una akili sana kuliko yeye?

Yule kenge tulishamuona muda mrefu, hakuna kitu pale katika manabii feki aliowaongelea yesu yule ndio alikuwa kiongozi
Mkuu be very careful na himaya yangu.

Anyways, mbona hamkusema lolote kama mlikuwa mmeshamuona?

The allegations are unfounded and Racist in nature. BBC ni hovyo sana.
 
Mkuu be very careful na himaya yangu.

Anyways, mbona hamkusema lolote kama mlikuwa mmeshamuona?

The allegations are unfounded and Racist in nature. BBC ni hovyo sana.
UKWELI NI KWAMBA BBC INAFANYA KAZI NZURI KUFICHUA MALAYA WANAOTUMIA MWAMVULI WA DINI AU VAZI LA UTAKATIFU.

HUNA UTAKACHOSEMA STORI ZAKE ZILIKUWEPO MUDA ILA ALIKUWA AKINYAMAZISHA WATU NA SERIKALI HAIFANYI KITU.

BORA YULE MBWA MALAYA ALIVYOTOKA.
YESU ALISEMA KUWENI MAKINI NA MANABII FEKI NDIO LILE GAIDI.

WATU WANAKUFA HAKUNA UCHUNGUZI UNAOFANYIKA SABABU TU NI NABII.

FOOLISH
 
Sasa unafokafoka nini. Punguza kelele.

Leo mnajidai mnajali maisha ya watu wa Nigeria? Afrika? Since when?

Tulia.

Punguza ukasuku. Unapiga makelele kama HN Unafikiri ukiwa unatusi hivyo ndio unatoa point?

Utapigishwa deki tu kwa Wazungu wakimaliza kukutumia. Tulia.
 
Nani aliyempa huo unabii mkuu na upako unatolewaje. Huduma za kinabii muwe nazo makini wadau Kuna ujanja mwingi . Mtu anamkaa asbh anajitangaza nabii biblia. Tulionywa tusiamini Kila roho
Lusifa kupitia mawakala zake waganga
 
Back
Top Bottom