instanbul
JF-Expert Member
- Jun 26, 2016
- 11,385
- 14,209
Labda kama Kuna Kenya nyingine tofauti na hii niliyoishi. Kenya na Tz hazitofautiani sana kimaendeleo.Mtoto wa masikini Kenya anaenda kwenye shule bora za umma kuliko Tanzania, Kenya fursa za ajira nzuri tofauti ni nyingi ndani ya nchi hadi nje ya nchi kutuzidi,
Wafanya biashara ndogo ndogo wanafanya bishara zao katika mazingira mazuri kuliko Tz, muuza mboga barabarani wa Kenya ana unafuu mkubwa wa maisha ukilinganisha na wa Tanzania