Waafrika ndivyo tulivyo?

Will the suffering of Africans never end? It often seems not.

In fact, in the past decade the suffering has grown steadily worse. Africa is the only region of the world whose people ended up poorer at the end of the 1980s than they were at the beginning...

War continues to rake the continent, and it is a special kind of war - endless, back-and-forth factional fighting that tears apart civil society and leaves anarchy in its train. Rwanda and Somalia are the best-known examples. There are plenty of others: Liberia, where armed groups have raped, looted and slaughtered at will for more than four years; Sudan, where fighting between the Islamic government in the north and animist rebels in the south has cost an estimated 1.3 million lives; Angola, where government and rebels have been locked in off-and-on combat for years...

Hunger, disease, war. Africa's travails are so great it is tempting to write if off as a hopeless case, destined to plunge deeper and deeper into misery even as the rest of the world surges forward.

That would be a mistake. However daunting, none of Africa's troubles are insuperable. In fact, there are at least a few signs of hope.

One is the death of socialism. Almost without exception, African countries have ended the disastrous 30-year experiment with collectivized agriculture, central planning and closed economic borders.

From Tanzania to Nigeria, governments have privatized state companies, lifted price and trade controls and freed exchange rates. According to the World Bank, incomes have climbed steadily in the countries that stuck firmly to the path of economic reform...

Another hopeful sign is the spread of democracy. More than half of the 48 countries in sub-Saharan Africa have either held or promised to hold competitive elections.... Democracy, of course, is not a panacea. In some countries, it has aggravated ethnic tensions as parties form along tribal or regional lines. Some elected leaders have proven as venal and inept as their self-appointed predecessors. But in the long run, democracy offers far better odds of competent, accountable government than what came before.

Hope must be tempered by realism... Given all its handicaps, Africa seems likely to be the world's poorest, most violent region for a long time to come.

..........born to suffer ..................... Luck Dube (RIP)
 
Actually time is running out for Africa. Africa is blessed with natural resources and that has always been her curse throughout history. China is growing fast and needs what Africa has to offer. So the Chinese are coming to get it whether you like it or not. Not just China but other growing economies too. The second phase of scramble of Africa has already began. This time the colonizers are coming from far east.
 
Wasomaji:

Katika kitabu chake Ndugu Malima ameuliza maswali. Nimefanyia utafiti wa Maswali yake na nina majibu ya kutosha. Je nitapata wapi nafasi ya kupiga na mhadhara ?
 
POVERTY itself is the Public Enemy number ONE..

The fact that we are poor with people living on less than a dollar a day - below the poverty level....I deont care what lies underneath.. My take that's where the problem lies!
As Human we have physical needs such as eating, drinking and sleeping like animals, AKILI is what differ us from animals is that we know how to distinguish ggodness from evil with the awareness and spirituality for living.
I believe Povetry causes among other thing an attack to the ability of human's Akili causing imbalance and I might say thats' when the animal part dominate our priorities for physical needs..

The fact that poverty is not only poverty in economic income but also bad morality in living, poverty also means that our sons and daughters have no chance to go to school, people cannot participate in social services, health care, and social welfare unless physical needs are fulfilled. These social phenomena are leading to injustice in behavior and lack of basic human rights.

This stems from an unbalanced, shift our needs aimed to only eating, drinking sleeping, clothing for we can't walk naked and above all material well-being, ignoring all human values...ultimately producing a lack of vision and ideals so the only way out is to copy and apply western society, accept modern consumerism without questioning hence we are all human....which leads to us to NDIVYO TULIVYO - It's all about MONEY, deep shit - causing corruption, criminality, prostitution, spread of AIDS, and in the end, blocks national development itself.... Then again what's the better way poor people can distribute their wealth - Poverty.
Me, don Noooo!
 
China is growing fast and needs what Africa has to offer. So the Chinese are coming to get it whether you like it or not. Not just China but other growing economies too. The second phase of scramble of Africa has already began. This time the colonizers are coming from far east.

mayo weee.........
wanakuja wengine tena?
uhuru utapatikanaje zamu hii? au hatutouhitaji?
 
Hii rangi yetu nyeusi haina shida kabisa. Vichwa vyetu ndo vinashida, sio rangi zetu.
Na dini walizotuletea hatuwezi sema ndo zimesababisha tufukarike zaidi. Hebu fikiria kipindi kile wanatuletea ukristo na uislamu sis tungewawahi na kuwapelekea imani zetu/dini zetu. Wangefukarika? Wangesema imani mpya ndo sababu?
Na sio kuwa wazungu, waarabu, wachina na wahindi wanatubania tusiendelee. Kama ni wabaniaji mbona wamalaysia, wasingapore majuzjuz hapa tunaambiwa walikuwa choka mbaya kama sis lakin leo tunaambiwa wako juu? Kwanin wao wasibaniwe?
Lakini ni kweli kuwa wote hao wanazitaka rasilimali zetu. Wanataka madini, mazao ya miti, mafuta na nk. Lakini hii ilitakiwa iwe advantage kwa afrika na si vinginevyo.

Miaka na miaka tunaendelea kufukarika kwa sababu;

1. hatutilii mkazo elimu. Hii ni elimu ya kawaida katika fani kama uhasibu, uhandisi na nk. Tunaweka hela kidogo huko na hata zikitumika vibaya hatujali. Ngozi kuwa nyeusi inasababishaje hili? Au wazungu na wachina wanatushurutisha tufanye hiv?
2. watu wengi barani afrika wanaishi vijijini. Hatuwezi kusema tumeendelea kama hawa jamaa hawajaendelea. Lazima watu wa vijijini wapewe mafunzo na nyenzo za kuyakabili mazingira yao. Elimu ya watu wazima iliyoboreshwa tuianzishe tena. Humo tufundushane namna gain tunaweza kuitumia ardhi ya sehemu husika na maliasili ingine iliyopo pale kuyafanya maisha yetu yawe bora zaid
3. Wavivu na tunapenda matanuzi. Hatuna bidii ya kutosha makazini kwetu. Hii ni kuanzia mijini mpaka vijijini. Watu ni wavivu tunatia aibu. Inadibi tuelimishane kuwa kazi ni uti wa mgongo wa uchumi wetu. Ngozi kuwa nyeusi inasababishaje hili? Au wazungu na wachina wanatushurutisha tufanye hiv?
4. wabinafsi wakubwa. Hii inapelekea kila mwenye nafasi katika afrika kuanzia kitongojini mpaka juu kabisa kuiba, kujimilikisha mali za umma, rushwa, upendeleo katika misingi ya dini, kabila. Ngozi kuwa nyeusi inasababishaje hili? Au wazungu na wachina wanatushurutisha tufanye hiv?
5. tunapata viongozi ambao ama uchumi unakuwa sio agenda yao kuu waingiapo madarakani au hawana njia nzuri za kutuongoza kiuchumi. Ngozi kuwa nyeusi inasababishaje hili? Au wazungu na wachina wanatushurutisha tufanye hiv?
6. tuanzishe viwanda tunavyoweza kuvioperate. Na visiwe mizigo. Tunaweza anza na vinavyotumia rasilimali zetu wenyewe
7. tunalima, tunauza mafuta na madini au tunafanya shughuli zingine za kuingiza kipato. Hela ikipatikana vipaumbele vinakuwa magari ya kifahali na vitu vingine sampuli hiyo. Ngozi kuwa nyeusi inasababishaje hili? Au wazungu na wachina wanatushurutisha tufanye hiv?

kuanzia wachini mpaka wa juu tunajua cha kufanya lakin hatufanyi. tunatizamana na kupiga soga.
 
Mwakatojiofu,
Mkuu mimi naamini kabisa kwamba dini sio sababu ya umaskini wetu kwani Maleysia, China, India na wengine wote walizipokea dini hizi kama sisi...Ukweli ni kwamba NDIVYO TULIVYO na ikiwa tatizo lipo ktk vichwa vyetu bila shaka vichwa ndio rangi yetu.. Hata wanyama kama mbwa wameumbwa kwa maumbile tofauti, rangi tofauti na wana react tofauti ktk baadhi ya maswala.. Mara nyingi mbwa wa aina moja huwa na kipaji fulani sawa na pia mapungufu fulani sawa tofauti na mbwa wengine..

Tatizo ni UMASKINI wenyewe..Njaa mkuu wangu njaa inatufanya tunashindwa kabisa kutumia akili, hivyo swala la msingi ktk maisha yetu ni kupata shibe kwanza. Na bahati mbaya serikali zetu zimeshindwa kutafuta mbinu ya kwanza nayo ni kufuta Umaskini..

Umaskini ndio unatufanya tunakosa elimu bora, umaskini ndio sababu ya afya mbaya na maradhi yote yatokanayo na Umaskini kiasi kwamba swala la maendeleo haliwezi kuwa priority ya kila mmoja wetu. Ukiweza kufuta Umaskini utafuta machafu yote yatokanayo..Hata kupigana na maradhi kama HIV tunaambiwa sote tuvae mipira wakati wa shuruba, lakini strategy ya Tanzania na nchi maskini kupigana na Umaskini wanaamini wanaostahiri kuvaa condom ni kundi la wale maskini tu, sio viongozi au matajiri..ndio maana ukitazama mipango ya serikali inahusu zaidi kupunguza Umaskini sio kuuondoa na wametazama zaidi maskini wenyewe wakati nyege za Utajiri ni sawa na nyege za ngono, hazina Tajiri wala maskini na ndio maana unaona misaada haziwafikii walengwa..Fedha hiyo ya misaada ni mfano wa toto zuri la kike/kiume lenye Ukimwi.
Mkuu haiwezekani nchi isiyokuwa maskini iwe na wananchi maskini bila sababu inayotokana na uongozi wake. Vipaji tulivyopewa tumeshindwa kuvitumia tukijaribu kumfundisha mbwa Chiwawa kuwinda sungura kwa sababu tu Mbwa Greyhound wanaonekana wenye afya nzuri na kupendeza. Nikiwa na maana vipaumbele vyetu ktk maendeleo ni vitu vya kuiga..tumeshindwa kujenga uwezo wetu ktk kuzalisha bila kutazama watu na mazingira yetu badala yake tumeiga hata mbinu za kiuchumi kama vile tulivyoiga dini za wakoloni. Hata kama kuna Ukweli ktk dini hizi malipo yake ni mbinguni ukisha kufa ...what about now while living! - Ohhh Mungu akipenda..damn!.

Ukitaka kujua Ukweli wa nadharia yangu wewe wachukue watu 10 wenye njaa ktk mazingira ya ukame kisha weka sinia la Pilau, halafu watazame jinsi watakavyoweka mashambulizi yao..Ile dhana ya kufikiria shibe inaondoa kabisa ustaarabu hata kama kuna chakula kingi cha kutosha watu wote..

Umaskini ndio umetupa hulka ya kujali matumbo yetu, hata ukienda panda daladala huwezi kuwezi kuojna ustaarabu wa kupanga mstari..watu watagombea hata kama kuna daladala nyingine nyuma yake. Na hulka hii haiwezi kuondolewa kwa kutumia sheria au lugha isipokuwa ni kuiwezesha nchi kuzalisha sawa au zaidi ya mahitaji yao...
Umaskini unatufanya tuwe ombaomba ndani ya nchi yetu na ulazima au haki hubadilika kuwa msaada. Kumwandikisha shule mwanao inakuwa ni jambo la kuomba, tiba hospital ni swala la kuomba, huduma maofisini ni swala la kuomba, ajira ni swala la kuomba hivyo ktk mlolongo wa uchafu huo wa Umaskini ndipo inapotulazimisha kutoa rushwa..Usipotoa rushwa huwezi kupata huduma muhimu hata kama ni haki yako..
 
Ningependa kuwauliza swali moja. Hivi kabla ya wakoloni kuja? miji au vijiji vilivyokuwepo Tanzania vilikuwa na wastani wa population ya watu wangapi?
 
"Nevertheless, attitudes to the West are strongly ambivalent, expressing both admiration of the Western achievements and hatred of its hypocrisies and Eurocentric relations; this ambivalence is matched by Western attitudes and feeling toward Africa and Black people in general. The Indian poet [Rabindranath] Tagore traced the source of this ambivalence to the civilization of the West - the upholding of dignity and of human relationship had no place in the administration of its colonies. Tagore's explanation was reduced to a brilliant single Shavian sentence by [Jawaharlal] Nehru when asked what he thought of Western civilization. 'It would,' he replied, 'be a good idea.' To understand contemporary attitudes in postcolonial Africa and the West it is useful, indeed necessary, to keep in mind this love-hate relationship between the formerly colonized people and the colonizers; the former believe there has been no proper recognition of, nor retribution for, the injury of colonialism; while the latter feel let down because Africa has not lived up to the expectations of European liberal values; and, of course, Western racialists - an ancient and self-perpetuating breed - see all their own prejudices about Black people justified by the selective headlines provided for them by the myopia of a media society which traps them in non-thinking stereotypes such as presenting Africa as 'a basket-case continent.'" - Colin Legum on 'Africa Since Independence' published in 1999.
 
Zakumi,
Mkuu uliza swali hii habari ya Population mbona unatupa kazi wakati unajua wazi hatutunzi kumbukumbu zetu..NJAA mkuu njaa utafikiria lini nje ya tumbo huo wakati upo kweli?..Lakini naweza sema tulikuwa wengi tu kuliko nchi jirani na baadhi nchi za Ulaya..
 
Nataka kujenga premises kuhusu mazingira, population na maendeleo.
 
Ningependa kuwauliza swali moja. Hivi kabla ya wakoloni kuja? miji au vijiji vilivyokuwepo Tanzania vilikuwa na wastani wa population ya watu wangapi?

Sasa hii huwezi kupata data zilizo reliable mkuu. Kama mikataba tulikuwa hatujui inamaanisha nini kwa sababu tulikuwa hatujui kusoma sembuse namba na mahesabu...
 
Sasa hii huwezi kupata data zilizo reliable mkuu. Kama mikataba tulikuwa hatujui inamaanisha nini kwa sababu tulikuwa hatujui kusoma sembuse namba na mahesabu...

Wewe nyani wewe hivi hujaona watu wanaojua kuhesabu japo hawajui kusoma na kuandika au unavyotuona tulivyo ndivyo ulivyo?

Alafu kuna jamii nyingi tu za Afrika zilikuwa zinajua hayo yote na zilikuwa mpaka na vyuo vikuu kabla ya ukoloni - hebu cheki hii historia ya vyuo hivyo: A Historical Accounting of African Universities: Beyond Afropessimism | The Zeleza Post
 
Comparnero,
Hapo ndipo napochoka mimi.. ikiwa tulikuwa na vyuo kabla hata ya nchi nyingi za Ulaya ilikuwaje wakatuacha?.. Je sii Ndivyo Tulivyo hata tukifundishwa vipi hatuwezi kuelimika au yawezekana Elimu tunayoipata ndiyo yenye matatizo kwetu.
 
Wewe nyani wewe hivi hujaona watu wanaojua kuhesabu japo hawajui kusoma na kuandika au unavyotuona tulivyo ndivyo ulivyo?

Alafu kuna jamii nyingi tu za Afrika zilikuwa zinajua hayo yote na zilikuwa mpaka na vyuo vikuu kabla ya ukoloni - hebu cheki hii historia ya vyuo hivyo: A Historical Accounting of African Universities: Beyond Afropessimism | The Zeleza Post

Hebu acha kunichekesha bana...sasa kama zilikuwepo jamii nyingi zilizokuwa zinajua yote hayo ilikuwaje zikawepo zilizo sign bogus treaties? Wewe umekunywa hadi umelewa kool aid ya pan africanism na afrocentricism propaganda. Hii propaganda ilitungwa na kuenezwa ktk jitihada za ku boost self esteem ya mwafrika.

Hivyo vyuo enzi hizo walikuwa wanasoma madudu gani? Organic Chemistry? Na ma intellectual wake walikuwa akina nani?
 
Last edited:
Mababu zetu wamekasirika. Na mabibi pia. Tumeacha wosia wao. Ati tunajiita wastaarabu. Kumbe tu malimbukeni.Tumekumbatia tamaduni ngeni. Na dini mpya. Hata siasa tunaiga. Ujamaa tumeuweka kando. Sasa tumesahau tulikotoka. Tena hatufahamu tuendako. Hatujui tu nani.

Hivyo giza limetanda. Mvua zimegoma kunya. Njaa nayo inatawala. Umaskini umegeuka ufukara. Maradhi nayo yamekithiri. Vifo vyazidi kuongezeka. Twafa tukiwa majumbani. Na barabarani twafa. Hata mahospitalini twafa. Twalia na kulia. Yana mwisho haya. Mwisho ndio huu.

Jamani tusiache mbachao. Msala huo unapita. Turejee imani asilia. Twendeni sasa tukatambike. Pale Mbuyuni Msasani. Na kule milimani. Tuukubali ukweli huu. Sisi viumbe tuliolaaniwa. Tukatambike tuitoe laana. Hiyo aliyoizungumzia Fanon. Tunene na wahenga. Tusikilize yao maarifa:

Nguo ya kuazima! Kamwe haisitiri m.a.t.a.k.o! Huu wetu uvivu! Nyumba ya njaa!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom