Waafrika ndivyo tulivyo?

Waafrika ndivyo tulivyo?

And the Lord said unto me: Prophesy; and I prophesied, saying: Behold the people of Canaan, which are numerous, shall go forth in battle array against the people of Shum, and shall slay them that they shall utterly be destroyed; and the people of Canaan shall divide themselves in the land, and the land shall be barren and unfruitful, and none other people shall dwell there but the people of Canaan; For behold, the Lord shall curse the land with much heat, and the barrenness thereof shall go forth forever; and there was a blackness came upon all the children of Canaan, that they were despised among all people.
 
Kwa kutoa wazo la kuwa tukatambike umedhiirisha kuwa "Waafrika ndivyo tulivyo". Go figure!!
 
Companero; Swala si dini, ni kusimamia, kuelewa na kujua kwa dhati tunayoyaamini.Pili kuhusu changes tunatakiwa kubadilika individualy the way we think, decide, focus etc.The changes within you may spark and initiate the fire of changes to people around you.

Tusilazimishe kuwa Tz wote wabadilike it needs external force, vita say!
 
Ndivyo tulivyo kutambika au alivyotoa wazo?

Kutambika ndio kutaondoa haya matatizo? Kwa nini tusitafute suluhisho la kudumu?
Hivyo giza limetanda. Mvua zimegoma kunya. Njaa nayo inatawala. Umaskini umegeuka ufukara. Maradhi nayo yamekithiri. Vifo vyazidi kuongezeka. Twafa tukiwa majumbani. Na barabarani twafa. Hata mahospitalini twafa. Twalia na kulia. Yana mwisho haya. Mwisho ndio huu.
 
nadhani hatujaelewana ulivyomuuliza lile swali na mimi nilivyokuuliza.Tuko pamoja siamini matambiko ila naheshimu mtazamo wake.

Ndiyo maan nimemelweza tunatakiwa kubadilika personaly then we shoul reach out
 
hao mababu wenye hizo imani kali kiasi kwamba ukitambika yanatimia wapo????
 
Kwa kutoa wazo la kuwa tukatambike umedhiirisha kuwa "Waafrika ndivyo tulivyo". Go figure!!
Mkuu umeniwahi tu,nilitaka kumwambia kuwa hiyo habari ya mababu na mabibi kukasirika ndo hasa kinachozidi kupigia mstari hiyo ndivyo tulivyo
 
Mkuu Companero,a reasonable "tambiko" ni kuinvest katika quality education.Thats it,nje ya hapo kuwa tunaficha vichwa mchangani kama mbuni.
 
Mababu zetu wamekasirika. Na mabibi pia. Tumeacha wosia wao. Ati tunajiita wastaarabu. Kumbe tu malimbukeni.Tumekumbatia tamaduni ngeni. Na dini mpya. Hata siasa tunaiga. Ujamaa tumeuweka kando. Sasa tumesahau tulikotoka. Tena hatufahamu tuendako. Hatujui tu nani.

Hivyo giza limetanda. Mvua zimegoma kunya. Njaa nayo inatawala. Umaskini umegeuka ufukara. Maradhi nayo yamekithiri. Vifo vyazidi kuongezeka. Twafa tukiwa majumbani. Na barabarani twafa. Hata mahospitalini twafa. Twalia na kulia. Yana mwisho haya. Mwisho ndio huu.

Jamani tusiache mbachao. Msala huo unapita. Turejee imani asilia. Twendeni sasa tukatambike. Pale Mbuyuni Msasani. Na kule milimani. Tuukubali ukweli huu. Sisi viumbe tuliolaaniwa. Tukatambike tuitoe laana. Hiyo aliyoizungumzia Fanon. Tunene na wahenga. Tusikilize yao maarifa:

Nguo ya kuazima! Kamwe haisitiri m.a.t.a.k.o! Huu wetu uvivu! Nyumba ya njaa!
wewe vipi?
si ulisema unaachana na siasa za bongo unarud kubeba boksi?
 
mwaya companero ngoja tukatambike kama hivo vitu vipo kweli tuchome mbuzi tule tunywe damu tuombee heri nchi yetu inakoelekea siko ,
Rais fisadi wabunge usiseme aaaaghhhhhh
 
Mababu zetu wamekasirika. Na mabibi pia. Tumeacha wosia wao. Ati tunajiita wastaarabu. Kumbe tu malimbukeni.Tumekumbatia tamaduni ngeni. Na dini mpya. Hata siasa tunaiga. Ujamaa tumeuweka kando. Sasa tumesahau tulikotoka. Tena hatufahamu tuendako. Hatujui tu nani.

Hivyo giza limetanda. Mvua zimegoma kunya. Njaa nayo inatawala. Umaskini umegeuka ufukara. Maradhi nayo yamekithiri. Vifo vyazidi kuongezeka. Twafa tukiwa majumbani. Na barabarani twafa. Hata mahospitalini twafa. Twalia na kulia. Yana mwisho haya. Mwisho ndio huu.

Jamani tusiache mbachao. Msala huo unapita. Turejee imani asilia. Twendeni sasa tukatambike. Pale Mbuyuni Msasani. Na kule milimani. Tuukubali ukweli huu. Sisi viumbe tuliolaaniwa. Tukatambike tuitoe laana. Hiyo aliyoizungumzia Fanon. Tunene na wahenga. Tusikilize yao maarifa:

Nguo ya kuazima! Kamwe haisitiri m.a.t.a.k.o! Huu wetu uvivu! Nyumba ya njaa!

watoto wapelekwe shule ya awali msingi secondari na vyuo waelimike

wazazi wao waanze kusevu hela hata kama kidogo sana ni bora kuliko sifuri na pia kupanga maisha sio kwenda ulabuni kila wakipata kidogo...
 
Mababu zetu wamekasirika. Na mabibi pia. Tumeacha wosia wao. Ati tunajiita wastaarabu. Kumbe tu malimbukeni.Tumekumbatia tamaduni ngeni. Na dini mpya. Hata siasa tunaiga. Ujamaa tumeuweka kando. Sasa tumesahau tulikotoka. Tena hatufahamu tuendako. Hatujui tu nani.

Hivyo giza limetanda. Mvua zimegoma kunya. Njaa nayo inatawala. Umaskini umegeuka ufukara. Maradhi nayo yamekithiri. Vifo vyazidi kuongezeka. Twafa tukiwa majumbani. Na barabarani twafa. Hata mahospitalini twafa. Twalia na kulia. Yana mwisho haya. Mwisho ndio huu.

Jamani tusiache mbachao. Msala huo unapita. Turejee imani asilia. Twendeni sasa tukatambike. Pale Mbuyuni Msasani. Na kule milimani. Tuukubali ukweli huu. Sisi viumbe tuliolaaniwa. Tukatambike tuitoe laana. Hiyo aliyoizungumzia Fanon. Tunene na wahenga. Tusikilize yao maarifa:

Nguo ya kuazima! Kamwe haisitiri m.a.t.a.k.o! Huu wetu uvivu! Nyumba ya njaa!

Tambiko si suluhisho. Mababu na Mabibi unaotaka tukawatabikie, walisha kufa. Wao wenyewe hawakuwa na uwezo wa kzuia kifo ndo maana walisha kufa, kwani wangelikuwa na uwezo wasinge kufa wangelikuwa hai mpaka leo. Mambo mengine hayanasabaub ya kutambika kwani chanzo cha matatizo youte kipo wazi. VIONGOZI WABOVU, na tunawafahamu, tunaishi nao na wengine ni ndugu/marafiki zetu. Sasa tukaombe mizimu itusaidie nini?

- Kufahamu chanzo cha matatizo yetu?
- Kuwafahamu hao watu?
- Kuwaadhibu hao watu?
- Kutowachagua tena hao watu?
- Kutokubali tena uongo na ahadi zao n.k.?

Ushauri wangu: kwa sababu tatizo tunalijua, hatuna sababu ya kutabika bali ni kutowapa hao watu nafasi tena ya kutuongoza kwa kutowapigia kura. Ukitabika, utachinja kuanzia mbuzi,kondoo,kuku,bata na kila utakacho weza na mwisho itafikia kutoa kafara binadamu wengine na tatizo litabaki palepale.
 
Twendeni tukatambike ile huyu Babu yetu Nyerere na wenzake kina Mkwawa, Isike na Kinjeketile watusikie:

Tambiko si suluhisho. Mababu na Mabibi unaotaka tukawatabikie, walisha kufa. Wao wenyewe hawakuwa na uwezo wa kzuia kifo ndo maana walisha kufa, kwani wangelikuwa na uwezo wasinge kufa wangelikuwa hai mpaka leo. Mambo mengine hayanasabaub ya kutambika kwani chanzo cha matatizo youte kipo wazi. VIONGOZI WABOVU, na tunawafahamu, tunaishi nao na wengine ni ndugu/marafiki zetu. Sasa tukaombe mizimu itusaidie nini?

- Kufahamu chanzo cha matatizo yetu?
- Kuwafahamu hao watu?
- Kuwaadhibu hao watu?
- Kutowachagua tena hao watu?
- Kutokubali tena uongo na ahadi zao n.k.?

Ushauri wangu: kwa sababu tatizo tunalijua, hatuna sababu ya kutabika bali ni kutowapa hao watu nafasi tena ya kutuongoza kwa kutowapigia kura. Ukitabika, utachinja kuanzia mbuzi,kondoo,kuku,bata na kila utakacho weza na mwisho itafikia kutoa kafara binadamu wengine na tatizo litabaki palepale.

Hii inadhihirisha kuwa na wewe umeshanasa kwenye kasumba ya utamaduni bugizi - wamekupa dini na siasa zao wao wakachukua ardhi na utu wako!
 
Nimenasa kwa kusema tambiko si suluhisho la matatizo yetu? Wewe ni mtu wa limanjaro nini? Haya katambike na maliza mizimu yote unayoijua tuone kama hawa viongozi wasiofaa wanao tusababishia matatizo wataondoka.
 
Mkuu Companero,a reasonable "tambiko" ni kuinvest katika quality education.Thats it,nje ya hapo kuwa tunaficha vichwa mchangani kama mbuni.

'reasonable' kwa mujibu wa nani? hizi elimu bugizi hizi!
 
Nimenasa kwa kusema tambiko si suluhisho la matatizo yetu? Wewe ni mtu wa limanjaro nini? Haya katambike na maliza mizimu yote unayoijua tuone kama hawa viongozi wasiofaa wanao tusababishia matatizo wataondoka.

Ndio tatizo hilo la kutoijua jamii yako, matokeo yake ni kutojitambua na kukosa mwelekeo- kama upo Dar tembelea barabara ya Ally Bin Said utaona Mbuyu wa Tambiko la Wabantu. Nchi hii haiwezi kujinusuru bila kuondoa kasumba za kikoloni - kasome mada ya Toba ya Mkapa kuhusu matokeo hasi ya Ubinafsishaji na Ugenisishaji!
 
Back
Top Bottom