Nyani,
Hao wanaongelea kitu tofauti kabisa. Labda kama wamejenga mwaka huu lakini mpaka 2007 nilipokuwa TZ hakukuwa na hizo ridges. Nafikiri kilichopo bongo ni vile vyuma ambavyo kwa kiasi fulani vinafanya kazi karibu na hiyo lakini si kwa ufanisi mkubwa.
Hizo ridges unazozisema wewe mara nyingi zinakuwa kwenye outer lanes au kwenye barabara kubwa unapokaribia roundabouts. Gari linatikisika utafikiri limepata pancha.
Problem ta Tz ndiyo hiyo. Sijui nani kasema kuku ndiyo chakula kule. Hata videmu, ukiwapa lophole kuagiza msosi, utasikia nataka chips kuku....!
Makuku huku unapata kwa Euro 1 na ukivizia supermarket ambazo wateja si wengi kuelekea weekend, utanunua hata wa cent 75.
Kuna jamaa siku hizi nasikia wameanzisha farms za kunenepesha animals tz. Nadhani hawa watasaidia sana kupunguza bei. Hawa ni ex-Zimbabwe wazungu. Wananunua wanyama kwa wamasai, wasukuma na wagogo na kuwafungua, kuwapa foods za nguvu. Then in two months, former owner akiambiwa huyu ndiye yule Ng'ombe wako, hakuna aliyekubali mpaka sasa!
Hawa wataondoa hii kuku and nyama fever in Tanzania!
Mtanzania, tunaongelea hizo hizo ridges. Si zinakuwa kama bunch of stripes fulani ambazo ziko parallel? Jamani zipo. Mimi nimeziacha huko wiki tatu zilizopita. Zimejaa kibao Morogoro road.
Kama alivyosema JMushi ni kweli. Unakuta zinatangulia kabla ya tuta kubwa ili kukupunguzisha speed. Bongo bado hawajaweka pembeni ya barabara, lakini zimewekwa zikikatisha barabara.
Hata hapa Marekani, baadhi ya airport zipo za kucross barabara. Sina uhakika lakini nafikiri O'hare airport zipo.
Umegusia issue ya kuku ukanikumbusha kisa cha mshkaji mmoja ambaye ameishi ughaibuni kwa muda mrefu, familia yake ilimpiga mzinga wa hela flani ndefu na jamaa alikua hajakaa fresh, sasa katika kupangua hicho kirungu akasema "maisha yangu ni magumu sana huku, kila siku nashindia chips kuku", kauli ambayo watu wa familia yake waliiona ni kama nyodo! Hayo mang'ombe na makuku ya kunenepeshwa sio ya kuyakimbilia, machakula yana chemicals kibao, bei zitashuka lakini vibinti vyenu va miaka 6 vitakuwa na chuchu za kuvalia sidiria!
QM true story aisee hii ilikuwa miaka ya 90's huko ilikuwa siyo mistari perse ila ni zile pums ndogo ndogo sana zipo mostly wakati unakaribia kuingia airport au kutoka (sijui zinaitwaje kwa kweli)....you know what i am talking about sijui kama kila airport zipo.
Mpaka sasa sijawahi kukutana na mtu alizaliwa Muhimbili...what ze hell? Ina maana niko peke yangu tu...
Ni kama kusema ulizaliwa pumwani hospital Nairobi.. not very classy u knoe... pole aiseee
Wabongo wa Asia hasa Kuala Lumpur mara nyingi ukiwakuta katika mitaa ya Bangsar hupenda kujitambilisha kuwa wanatoka USA...
Wabongo bwana kiboko kule kwenye viunga vya japan wanajiita wanugu ili wawakombe watoto wa kijepuWabongo wa Asia hasa Kuala Lumpur mara nyingi ukiwakuta katika mitaa ya Bangsar hupenda kujitambilisha kuwa wanatoka USA...
NB:Invisible wakati wa Idd sikuona mbwembwe hizi......
Huu ndo ushambenga..
Au sio wewe ulosema kule jamvi la Udini kuwa X-mass ni sherehe ya kipagani? Au chuki yako ipo kwa wapagani vilevile?
Huu ndo ushambenga..
Au sio wewe ulosema kule jamvi la Udini kuwa X-mass ni sherehe ya kipagani? Au chuki yako ipo kwa wapagani vilevile?
HamjakoseaHuyu YoYo ana matatizo huyu.
Hamjakosea
Umesema nina matatizo,unajua matatizo gani uliyoyasema ninayo?Matatizo gani ulonayo? Mind sharing with us?
Huu ndo ushambenga..
Au sio wewe ulosema kule jamvi la Udini kuwa X-mass ni sherehe ya kipagani? Au chuki yako ipo kwa wapagani vilevile?
Tupo pamoja.....xmas zilikuwa sherehe za wapagani,hata bible mambo mengi wametoa kwa hao wapagani....dini is sooooo fake......real realllly stupid idea!