Waafrika ndivyo tulivyo?

Waafrika ndivyo tulivyo?

Ukweli,

If I read you correct, then you are stating to us that "our lower IQ" points is the cause of "ndivyo tulivyo"!

In what terms or criteria of the lower IQ makes us to be "ndivyo tulivyo"? is it on our thinking, life style, hard working, desire to be successful, class room or what?

Low average IQ of the population plays a major role in the political process, commerce, achievements in life, etc. It is easier for politicians to manipulate a population of low average IQ. Africans politicians for example, know this fact very well and use it to their advantage to manipulate and exploit the population. It would be almost impossible for politicians in other parts of the world to get away with what Africans politicians get away with.

Low average IQ also limits the achievements made by society. Modern life in particular rewards higher IQ societies. With low average IQ you are limited in terms of your abilities to tame your environment because your innovation and invention abilities are limited. For example, you will face famine while surrounded by the world's biggest lakes and sitting on top of arable land as it the case in Africa. Australia for instance gets less rain per year than Africa but you never hear them talking about a famine or starvation. Why? Perhaps Australians are innovative enough largely because of their higher IQ to avoid such problems.

So the implications of the low average IQ are vast. If you look closely to most Africa's ills you will find out that they are simply a manifestation of the low average IQ among the population.
 
Chief,
Hahahaaaa...unajua hii topic Raj anaiweza kweli..si umemuona karudi kwa jina jingine..

Nimemuona 🙂 Double T sounds suspiciously like him. I wish Real Bongolander wa Darhotwire angekuja hapa. Yule jamaa ni kiboko wa RP. RP akishusha points, unasema, Mama yangu, sijui Real atatokea wapi hapa. Real naye aki-counter attack, unabaki unashangaa hivi huyu jamaa anatoa points wapi??

Real, wherever you are, please join the discussion!!!
 
The truth,
For example, you will face famine while surrounded by the world's biggest lakes and sitting on top of arable land as it the case in Africa. Australia for instance gets less rain per year than Africa but you never hear them talking about a famine or starvation. Why? Perhaps Australians are innovative enough largely because of their higher IQ to avoid such problems.
Now, you kinda step on my toes!.. IQ my a.....
On Australia, you concluded 'cause of their high IQ...when did you measure their IQ.
Besides I think most of European disease are manifestation of low IQ 'cause are man made.. biofood they eat, toxic they breath and can be avoided rather than African ills which are caused mostly by nature....

Wanabodi,
Jamani tafadhalini tusianze kuingia kule ambako hakuhitaji kwenda na moja ya IQ ndogo ni kufanya judgement kama hizi. Unaposema mzungu ana higher IQ, tayari ni dhahiri wewe mwenyewe huna IQ kulingana na vipimo vya IQ. Matatizo ya Africa yanatokana na maamuzi ya watu wachache sana toka ktk population nzima toka enzi za mkoloni. Ni maamuzi hayo mabaya iwe yalikuwa ya mzungu ama Mwafrika ndiyo yamesababisha hali tuliyokuwa nayo na sii swala la IQ ya wananchi wake. Tena leo ukipingana na maamuzi hayo utaitwa Gaidi (Terrorist) ni lugha ambayo Europe Politicians got away easly.
Hivyo swala hapa ni sababu zipi zinatufanya tusiweze kufuatilia yale tunayoyaona mabaya kwetu ili kupata suluhisho. Tunayatambua mapungufu, yett tunaendelea kuishi ktk hali ambayo ni mbaya kutokana na maamuzi ya watu wachache ambao hawadhuliki kutokana na nafasi zao kiutawala.
Hao wazungu wana vitu kama Scientific and Industrial Research centres ambazo kama alivyosema Mwanakijiji amekuwa akisisitiza sana toka huko nyuma. Australia bila shaka hawana mvua kuliko sisi lakini pia ni low average IQ kwa mtu yeyote kufikiria kuwa Australia wangetegemea mvua kuzalisha mazao yao ktk mazingira ya jangwa.
Kisha swala la kilimo huko Australia halitolewi maamuzi na society nzima kiasi kwamba ukatoa hukumu kuwa wote wana high IQ, wala sii wazungu pekee wapo watu wa kila rangi na nationality ambao wamechangia sana ktk kilimo cha nchi hiyo ikiwa ni pamoja na jumuiya kama vile - Commonwealth Scientific and Industrial Research Organisation (CSIRO), ambao pia wana matatizo inapofikia maswala ya Biofood product ambazo zimegundulika sana kuwa ni chanzo cha maradhi mengi ikiwa ni pamoja na cancer, kisukari, ubongo kuvimba na kadhalika...
Truth, siku hizi mkuu kilimo ni biashara kubwa - Agribusiness, maamuzi ya uzalsihaji wake yanaweza pikwa na watu wachache sana kwa sababu leo hii mbegu ama mbolea zinatengenezwa na kuuzwa na kundi la watu ambao wakiacha kuwauzia mbegu hakuna kitu kinachoota ktk shamba ama mazingira yako...Tazama Zimbabwe.
 
Mheshimiwa,kama mwanzisha mada,so what's your conclusion(s)?Ni kweli Waafrika...You meant Watanzania ndivyo tulivyo au?Naona hilo la Low IQ limekugusa,but hivi tafsiri nyepesi ya mnaosema ndivyo tulivyo ni ipi kama sio hiyo AKILI DUNI,uwezo duni wa kufikiri au kuamua,etc.Tatizo lenu ni kujenga hoja bila kungalia upande wa pili wa shilingi...kama akili na maamuzi duni basi hata Bush na Neocons wenzake wamethibitisha uduni wao kwenye vitu hivyo wawili in their 8 yrs of power.Akija Raj Patel hapa mtamwita mbaguzi ilhali ninyi wenyewe mnaji-undervalue.Yaleyale na Nigger kuwa tusi likisemwa na mtu mweupe ilhali nigga ni "sahihi" kwenye "utamaduni" wa watu wa hip-hop et al.
 
Nawaambieni hapa kaukweli wote tunakajua lakini kwa sababu ya heshima na majivuno hatutaki kukakubali.

Kila siku nashangaa watu wanaotoa mafanikio ya watu weusi kuwataja watu walioko ulaya na marekani....
 
Mlalahoi,
Yawezekana mimi natofautiana na watu wengine ktk mapana ya kulitazama swala hili la NDIVYO TULIVYO.
Tatizo hapa sio kufikiria na kufikia maamuzi bali ni Utekelezaji wa fikra hizo. Mathlan, tunaelewa fika kuwa CCM inatupeleka pabaya (FIKRA) na pengine MAAMUZI yetu yanaonyesha wazi kuwa hatupendi kuendelea kuishi ktk mazingira hayo lakini inapofikia UTEKELEZAJI wake tutaendelea kuwachagua CCM kwa visingizio fulani, tunakuwa wagumu sana kutenda yale tuliyoyakubali. NDIVYO TULIVYO kwangu mimi ni uvivu fulani wa kutohakikisha solution ya mapungufu yetu inapatikana. Tumeiona toka wakati wa mkoloni - utumwa, Mwalimu, na hadi sasa bado tatizo kubwa ni utekelezaji wa maazimio yanayoweza kutukomboa sisi ktk lindi hili la Umaskini...
Nitarudia kusema kwamba sio kweli waafrika ama Watanzania hatufahamu kuwa Maleria inatokana na mbu na sio kweli kwamba hatujafikia maamuzi ya kupambana na maradhi haya lakini tumefanya nini kupambana na maradhi haya?...Hakuna, Hakuna sawa kabisa na mfanoi wa Nyani Ngabu ktk usafi ambapo usafi huwa kwenye sahani ya kulia chakula na sio mazingira yake. Ktk swala la mbu tunatafuta madawa ya kuponya maleria, na nyavu za kuzuia mbu kutuuma usiku kitandani hali hiyo sio solution at all. Wakati huo huo wenzetu NDIVYO WALIVYO ktk kutekeleza fikra na maamuzi yao waliyoyafikia kwa faida yao hata kama impact yake ni negative ama positive kwetu sisi.

Fundi mchundo,
Nilichoandika mwanzo,
Bubu ataka kusema,
Maelezo yako mazuri sana lakini kidogo unakosea kuitazama hiyo shilingi.
Umezungumzia swala la Waamerika weusi, hapa mkuu unaondoa Uraia wao na kuichukua rangi yao - meaning weusi. Hivyo unajaribu kuipanua hoja ama Mada ya Nnyani Ngabu kuwa ni swala la rangi sio tena Waafrika - I mean Watanzania ndivyo tulivyo.
Sasa ukisha vuka mipaka ya ramani na kuwa rangi hii inatuweka ktk nafasi ngumu zaidi kwani tutazungumzia tofauti kati ya minority na wapi wameendelea zaidi ya wenzao. Tofauti kama hizo tunaweza zipata hata ndani ya Watanzania, Mchagga anaweza sema hivyo hivyo lakini haiondowi ukweli kuwa sisi Wadanganyika pamoja na Wachagga Ndivyo tulivyo.

Maelezo yako.
Naomba tusilete usanii ambao tunaoutumia katika suala la uzawa. Nyani Nguba aliposema hivi hakumaanisha wahindi waishio Afrika au makaburu pengine hata wale waarabu wa kaskazini kwetu hawakuwemo kwenye ramani yake. Kinachozungumziwa hapa ni Mwafrika Mmatumbi. Ndio maana wale wengine walio wazi katika kutetea hoja hii waliingiza neno Nyani!
Nadhani mkuu wangu hukunielewa kabisa kwani maelezo yako hapo juu ni sawa kabisa na maelezo yangu. Tunawazungumzia ndivyo tulivyo sisi Matumbi sio swala la rangi ama mataifa pamoja na kwamba linaweza kuchukuliwa kwa marefu hayo. Ndicho nilichosisitiza kwa Bubu ataka kusema kuwa tuendelee kuzungumzia swala hili ktk mapana ya Mtanzania kama mada yenyewe inavyojieleza badala ya kwenda nje. Ndivyo tulivyo inaweza pia tafsirika kwa mtazamo kama huo ambao huwezi kuyatatua matatizo yako bila kutazama ama kusingizia nguvu za nje.
Binafsi naamini kabisa kuwa tunaweza zikwamisha hizo nguvu za nje ikiwa kweli sisi ni SIVYO TULIVYO. Ndivyo tulivyo ni pamoja na matumizi ya tamaduni, mila na imani zetu ktk maisha yetu ya kila siku. Labda kwa kiswahili safi Waislaam wanasema hivi:- Muislaam ni yule anayefanya Ibada na kufuata mafundisho na hadithi za mtume, sio jina wala fikra tupu.
 
Katika Watanzania, kuna Wabantu, Wakush, Waarabu na wahindi(asia).

Nimeleta haya makundi ili kuhakikisha kuwa tunajizungumzia kama Taifa la Watanzania na si rangi.

Nitatupa ndoana kwenye suala la uchafu. Nyani kaleta mambo ya uchafu Kipawa kwenye Mama ntilie na kudai hivyo ndivyo walivyo. Wengine mnasema tunajidhalilisha na uafrika wetu.

Sasa ukienda Uhindini na hata sehemu za waarabu wengi(including Wapemba) iwe ni Kariakoo, Ilala, Upanga, Temeke, Kinondoni au katikati ya mji, wenzetu hawa Wahindi na waarabu wanaishi katika mazingira machafu na ni kwa kiwango kikubwa wengi wao ni wachafu bila kujali kiwango cha elimu au uwezo kimali. Je hawa nao "ndivyo walivyo"?
Je hawa si Watanzania na ni Waafrika? Je mnataka kuniambia Uafrika ni rangi na si Sehemu ya mtu kuzaliwa?
 
Rev. Kishoka,

Naona na wewe mkuu unaanza kupoteza mwelekeo. Ikiwa tunazungumzia Watanzania imekuwaje useme wahindi na waarabu ktk maeneo (bold) ambayo yanaitengeneza Tanzania. Je, wao sio Watanzania?... NDIVYO TULIVYO ina maana sisi wote Watanzana bila kujali rangi, kabila, jinsia ama dini.
Naona sasa issue imehama toka Watanzania na kuwa swala la wahindi waarabu, wazungu na kadhalika. MKichwa cha mada hakisemi hivyo!
 
Good obseravtion Bob!
 
Kuna nchi zingine Afrika kama Rwanda na Burundi, Ghana, Zambia nn nyinginezo ambazo haziko racially diverse kama Tanzania. Nchi hizi kimaendeleo na kiutamaduni zinafana fanana na bongo. Unaelezeaje maendeleo yao?
 
Mkandara,

Ni nani Mtanzania? Mtanzania ni mtu yeyote yule bila kujali rangi ambaye ni raia wa Tanzania, awe kwa kuzaliwa au kuchukua uraia.

Nimeleta ya Wahindi na Waarabu kuwakumbusha kila mtu kuwa nao hawa ni Watanzania ili kuondokana na upotofu kuwa Watanzania ni ngozi nyeusi ya Kibantu pekee!
 
Naona na wewe mkuu unaanza kupoteza mwelekeo. Ikiwa tunazungumzia Watanzania imekuwaje useme wahindi na waarabu ktk maeneo (bold) ambayo yanaitengeneza Tanzania. Je, wao sio Watanzania?... NDIVYO TULIVYO ina maana sisi wote Watanzana bila kujali rangi, kabila, jinsia ama dini.
Naona sasa issue imehama toka Watanzania na kuwa swala la wahindi waarabu, wazungu na kadhalika. MKichwa cha mada hakisemi hivyo!

Pamoja na kuchukizwa na hili, suala la rangi haliepukiki katika mada hii. Tunaposema Afrika Kusini imeendelea hatuzungumzii Soweto, tunazungumzia Sandton City na sehemu kama hizo. Maendeleo hayo tunayoyaona yamekuja wakati wa utawala wa makaburu. Mji wa Johanesburg wa wakati wa apartheid si wa siku hizi. Wenye dhana hii wanasema kuwa uchafu, ujambazi unaosumbua Afrika ya Kusini sasa hivi ni kutokana na ngozi nyeusi kushika hatamu. Hili halikwepeki. Dr. Watson, ambaye wengi wa wanaosupport dhana hii wanakubaliana naye, alisema:

Dr Watson told The Sunday Times that he was "inherently gloomy about the prospect of Africa" because "all our social policies are based on the fact that their intelligence is the same as ours – whereas all the testing says not really". He said there was a natural desire that all human beings should be equal but "people who have to deal with black employees find this not true".

Ni dhahiri hakumainisha Afrika ya Botha au Ian Smith bali ya wakina Nyerere, Nkrumah, Mugabe n.k!

Wengi wetu tunapo'construct' uafrika tunatumia kigezo cha rangi. Wahindi, weupe hawamo katika hesabu zetu. Vile vile tunapozungumzia wazungu, hatuzungumzii wakina Trevor Phillips bali ni wakina Tony Blair. Ndiyo hali halisi.

Mtetezi mkubwa wa dhana hii amesema yafuatayo:
Kuna nchi zingine Afrika kama Rwanda na Burundi, Ghana, Zambia nn nyinginezo ambazo haziko racially diverse kama Tanzania. Nchi hizi kimaendeleo na kiutamaduni zinafana fanana na bongo. Unaelezeaje maendeleo yao?

Ana maana gani? Mbona hakuzungumzia Botswana? Kuna mwingine aliingiza mpaka Haiti kwenye majadiliano.

Tupende, tusipende Mkuu hii mada inazungumzia uweza wa mtu mweusi na si wengine.
 
All he does in his book is whine about white people...he doesn't offer any solutions or anything...to him the problem is white people

Oh so how did Europe underdevelop South Africa..?
How did Europe underdevelop Ethiopia?...they were never colonized. How did Europe underdevelop Liberia?

Nyani Ngabu:

Nadhani humtendehi Walter Rodney haki. Thesis yake ni How Europe underdeveloped Africa. Na hapo hatakiwi kueleza solutions.
 
Nyani Ngabu:

Nadhani humtendehi Walter Rodney haki. Thesis yake ni How Europe underdeveloped Africa. Na hapo hatakiwi kueleza solutions.

So how and even why did Africans let Europeans underdevelop them? Why didn't Africans go to Europe and underdevelop Europeans?
 
So how and even why did Africans let Europeans underdevelop them? Why didn't Africans go to Europe and underdevelop Europeans?

Sio Ulaya yote iliyohusika na kukandamiza maendeleo ya Africa. Na vile vile wakati wa uvamizi wa nchi za Ulaya barani Africa, sio jamii zote za Africa zilikuwa na maendeleo sawa.

Hivyo kipindi ambacho baadhi ya nchi za Ulaya kama vile Uingereza zinakuja Africa, kulikuwa na watu Ulaya waishi katika vibanda vya nyasi na kulikuwa na waafrica wanaishi mitini hiyo ni fact.

Na katika kipindi hicho cha ujio wao, kulikuwa na jamii za kiAfrika zilizokuwa zimeendelea katika mambo ya textile, fasihi na utamaduni. Ingawaje hizo jamii zilikuwa sio nyingi lakini zilikuwepo.

Inawezekana katika vitabu vya historia hujaona kabila lako au jamii yako haijafanya chochote. Lakini hiyo haina maana kuwa jamii zingine zilikuwa zimelala.
 
The truth,

Now, you kinda step on my toes!.. IQ my a.....
On Australia, you concluded 'cause of their high IQ...when did you measure their IQ.

I personally did not collect the IQ data on Australia (98 points average) but other researchers have. See the books below...

1) IQ and the Wealth of Nations by Richard Lynn (Author), Tatu Vanhanen (Author)
http://www.amazon.com/IQ-Wealth-Nations-Richard-Lynn/dp/027597510X

2) IQ and Global Inequality by Richard Lynn and Tatu Vanhanen (Author)
http://www.amazon.com/Global-Inequality-Richard-Lynn-Vanhanen/dp/1593680252
 
So how and even why did Africans let Europeans underdevelop them? Why didn't Africans go to Europe and underdevelop Europeans?

Ni kawaida katika jamii yetu kumsikia mzazi akimwambia mtoto wake wa kiume " asilie lie kama mwanamke!" au ajikaze kama mwanaume. Maneno haya yanamaanisha kuwa :
a) kulia lia ni aibu na wanaofanya hivyo, hususan wanawake wanastahili dharau. Kwa maneno mengine ni inferior kwa wanaume.
b) kwamba yeye kama mwanaume amebarikiwa kwa uvumilivu kwa hiyo asikubali hata moja kuruhusu vitabia vitakavyoweza kuwafanya watu wakamfananisha na wanawake.

Maneno kama haya na mengine yamechangia kuwafanya wanawake wetu kujiona kuwa wao sio bora. Hii hali tunaiona kila mahali. Wengi wao wamekuwa tegemezi na wanakubali kudhalilishwa na vijanaume ambao hawana kitu chochote cha kujisifia isipokuwa uume wao! Hata uwaambie nini hawatakubali kuwa wao wako sawa na wanaume na wanastahili heshima zote.

Dhambi nyingine katika jamii yetu ni ya kumuita mtoto mjinga! hapa mara nyingi tunatumia maneno kama " liangalie lina akili kama mama yake". Ni mara chache ujinga kuonekana kuwa umerithiwa kutoka kwa wanaume. Na mtoto unayemuita mjinga kila siku usishangae kama hapo baadaye maisha yakamshinda. Self-fulfillling prophesy.

Na sisi, watu weusi, kwa miaka mingi maneno kama haya yametumiwa kutuzungumzia. Watu wazima wameitwa boi na kuvalishwa kaputula nusu kipande mithali kama mtoto mdogo wa kizungu. Michezo ya kuigiza ya 'black face huko marekani ilikazia ile hisia ya mtu mweusi kama mtu apendae ucheshi tuu na ulaghai mdogo mdogo. Hata pale walipotunga hadithi zilizowekwa katika bara letu, ni mzungu aliyewekwa ili kumkomboa ( Sir Henry wa Allan Quatermain na Umslopagaz) au kupigana na wanyama na makabila maovu ya watu weusi( TinTin, Tarzan n.k.) Hata wale waliopigana kufa na kupona dhidi ya utumwa kama wakina david Livingstone hawakumuona mwaafrika kama equal. La hasha, wao nao waliwahesabu kama watoto wadogo wanaostahili kulindwa na kuhifadhiwa.

Miaka zaidi ya mia nne ya uongo huu umetufanya hata sisi wenyewe tuanze kukubali ukweli wake. kila tukiangalia ushahidi tunaowekewa mbele yetu ( miaka 40 baada ya uhuru bado tu maskini, vita vya kikabila, ubadhilifu n.k) tunakubali mioyoni yetu kuwa pengine kweli tumelaaniwa na tunahitaji mtu mweupe atuongoze kutoka haya matatizo yetu.

Tunasahau mchango wetu tulioutoa katika hayo maendeleo ya nchi za ulaya si tu kama watumwa bali intellectually kama vile maktaba ya Alexandria, Timbuktu n.k. ambako wao walikuwa wanakuja kujisomea. Tunasahau kuwa utawala wa Misri ulishirikiana sana na watu weusi kutoka nubia. Hadi sasa kuna piramids nyingi Sudan kuliko Misri. Tunasahau kuwa Hispania ilipata maendeleo makubwa baada ya kutawaliwa na moors kutoka Afrika ya kaskazini.

Although the Moors came to be associated with Muslims, the name Moor pre-dates Islam. It derives from the small Numidian Kingdom of Maure of the third century BC in what is now Morocco.[1] Yet the origins of the word Moor remain unclear (see the Etymology section above).[2] The name came to be applied to people of the entire region. "They were called Maurisi by the Greeks," wrote Strabo, "and Mauri by the Romans."[3] During that age, the Maure or Moors were trading partners of Carthage, the independent city state founded by Phoenicians. During the second Punic war between Carthage and Rome, two Moorish Numidian kings took different sides, Syphax with Carthage, Masinissa with the Romans, decisively so at Zama. Thereafter, the Moors entered into treaties with Rome. Under King Jugurtha collateral violence against merchants brought war. Juba, a later king, was a friend of Rome. Eventually, the region was incorporated into the Roman Empire as the provinces of Mauretania Tingitana and Mauretania Caesariensis; the area around Carthage already being the province of Africa. Roman rule was beneficial and effective enough so that these provinces became fully integrated into the empire. During the Christian era, two prominent African churchmen were Tertullian and St. Augustine. After the fall of Rome, the Germanic kingdom of the Vandals ruled much of the area; a century later they were displaced by Byzantine incursions. Neither Vandal nor Byzantine exercised an effective rule, the interior being under Moorish Berber control.[4] The Berbers resisted for over 50 years Arab armies from the east. Especially memorable was that led by Kahina the Berber prophetess of the Awras, during 690-701. Yet by the 92nd lunar year after the Hijra, the Arab Muslims had prevailed across North Africa.[5] (The words Islam and Muslims appeared only after Muhammad became a prophet around 600 AD.)

In 711 AD, the now Islamic Moors conquered Visigothics, mainly Christian Hispania. Under their leader, an African Berber general named Tariq ibn-Ziyad, they brought most of the Iberian Peninsula under Islamic rule in an eight-year campaign. They moved northeast across the Pyrenees Mountains but were defeated by the Frank, Charles Martel, at the Battle of Poitier in 732 AD. The Moorish state fell into civil conflict in the 750s. The Moors ruled in the Iberian peninsula, except for areas in the northwest (such as Asturias, where they were defeated at the battle of Covadonga) and the largely Basque regions in the Pyrenees, and in North Africa for several decades. Though the number of "Moors" remained small, many native inhabitants converted to Islam. According to Ronald Segal, author of Islam's Black Slaves[6], some 5.6 million of Iberia's 7 million inhabitants were Muslim by 1200 AD, virtually all of them native inhabitants. The persecution and forced conversion to Catholicism of the Muslim population during the time of the Catholic reconquista in the second part of the 15th century, causing a mass exodus, are considered the main reasons why their number shrank to one-third by 1600.
Tunawasahau wajukuu wa watu weusi kama Alexander Pushkin wa Urusi anayehesabika kuwa ndiye baba wa ushairi wa urusi.

Alexander Sergeyevich Pushkin (Russian: Алекса́ндр Серге́евич Пу́шкин, pronounced [ɐlʲɪˈksandr sʲɪˈrgʲevʲɪtɕ ˈpuʂkʲɪn], listen (help·info)) (June 6 [O.S. May 26] 1799 – February 10 [O.S. January 29] 1837) was a Russian Romantic author who is considered to be the greatest Russian poet[1][2][3][4] and the founder of modern Russian literature.[5][6] Pushkin pioneered the use of vernacular speech in his poems and plays, creating a style of storytelling-mixing drama, romance, and satire-associated with Russian literature ever since and greatly influencing later Russian writers.

Born in Moscow, Pushkin published his first poem at the age of fifteen, and was widely recognized by the literary establishment by the time of his graduation from the Imperial Lyceum in Tsarskoe Selo. Pushkin gradually became committed to social reform and emerged as a spokesman for literary radicals; in the early 1820s he clashed with the government, which sent him into exile in southern Russia. While under the strict surveillance of government censors and unable to travel or publish at will, he wrote his most famous play, the drama Boris Godunov, but could not publish it until years later. His novel in verse, Eugene Onegin, was published serially from 1825 to 1832.

Pushkin's father Sergei Lvovich Pushkin descended from a distinguished family of the Russian nobility which traced its ancestry back to the 12th century. Pushkin's mother Nadezhda Ossipovna Gannibal descended through her paternal grandmother from German and Scandinavian nobility.[7][8] Her paternal grandfather, i.e. Pushkin's great-grandfather, was Abram Petrovich Gannibal a page raised by Peter the Great, and who traces his origin to Africa. One theory is that he came from northern Ethiopia which then was known as Abyssinia now existing as modern day Eritrea, in the banks of the Mareb River in a town called Logon. More recent research, however, indicates that he originated in what today is the Sultanate of Logone-Birni south of Lake Chad in Cameroon. After education in France as a military engineer, Gannibal became governor of Reval and eventually General-en-Chef for the building of sea forts and canals in Russia.

Tunasahau yote haya na kushangilia pale wenzetu wanapotupiwa ndizi kwenye viwanja vya mpira ulaya kwa maana sisi sote si nyani tu!!!!

Mkuu Nyani, hatukuwa hivi siku zote. Na hatutakuwa hivi siku zote.

Amandla!
 
Back
Top Bottom