Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,101
- 136,750
What's your point with this article?
What's your point with this article?
That there are Africans defying the mischaracterized labeling.That the saying is a gross generalization.
Wakati wengine wanang'ang'ania urais mpaka wako miaka 84, kuna wengine wana give up 11 years before the mandatory term limit, na successors wana set tradition ya kuondoka madarakani 18 months before time.
That Africa is a vast continent with diverse peoples, and deserves better than being lumped together under "Waafrika ndivyo tulivyo" kwa sababu huwezi kusema kitu chochote juu yao, zaidi ya kwamba ni waafrika, ambacho kitakuwa kweli kwa wote.
I can understand Waafrika wa aina hii au ile ndivyo walivyo, wasiosoma, au wezi, au burgeoisie, au Wasandawe (hardly).
Lakini a whole continent? Waafrika ndivyo tulivyo? I can never understand that.
That and just that.
Watswana wamenifurahisha sana kwa dozi yao ya kukomaa kisiasa wanayoitoa.
Hii sio sifa ya kusifia, nashangaa muandishi amekwenda mbaaaaaliii wakati TZ pia hatuna viongozi wanaong'ang'ania madaraka. Mkapa pamoja na kuwa anavuna mapesa kibao kwa dili za ufisadi aliachia ngazi mwenyewe. Mbona sisi hutusifiii?
huu msemo wa "Waafrika ndivyo tulivyo"....is just an expression of oneself(subjective).......and in this case Nyani is as he is......au sio..
"Waafrika ndivyo tulivyo" can be positively or negatively............kwa case yetu Waafrika tumekuwa overwhelmed on the negative side..............
Mkapa aliachia power miaka 11 kabla ya term limit. Aliachia power miezi 18 kabla ya term limit?
AG Mwanyika ana integrity ya kuji sue kwa mess up ya Richmond.
........makelele tu, "ile ndivyo tulivyo" imekaa ki-stereotype, kujikatia tamaa na kujidharau.....sijawahi kuwa mshabiki wa "ndivyo tulivyo" kama chachu ya kutatua matatizo yetu.
Hilo li Nyani Ngabu kazi kupamba wahindi na wazungu lina wafanya kana wao ni perfect kuliko perfect yenyewe!! mimi nasema hivi sivyo tulivyo, na kama ndivyo walivyo basi ni wao pekeyao na sio ku-blanket kila mtu kana vile wanajua mindset ya kila mwafrika hapa dunia!!!! shame on you Nyani Ngabu.
tatizo lako upo predictable sana!! kabla hii thread haijafiki mbali, role model wa NN gabacholi, The Truth atakuja hapa kukandia juu ya waafrika ndivyo walivyo......sita shangaa kama IQs zitaiingizwa kwamba waafrika wana low IQ ili kuthibitisha point yake!!
li nyani ngabu, litachekacheka na kumpa thank you!!! shame on you nyani ngabu.......
Bwahahahahahahahaaaa....you got issues
that's right! lakini siwezi kukuachia wewe na "masters" wako mnakuja hapa na kuongea mambo ya hovyo juu ya waafrika wooooote......pasina kuwepo emperical researched evidences!!!
una judge watu kwa habari za magazeti, viongozi wachache ambao wapo corrupt toka kwa hao hao unao waona wewe wa maana...............ovyo kabisa!!. kama ndivyo ulivyo peke yako na sio kila mtu. ebo
Alright Nyani, if this can be of help to justify "Ndivyo Tulivyo" - after all, Kikwete mwenyewe kasema: " Ni kazi ya Mungu."
sasa utasemaje hapo!
**Its Been years before Countries like US could implement and Display such a high standard of Democracy,yet they expect it to happen overnight in Kenya??
You have put it very aptly mkuu mwenzangu.If they can't govern basi let the British come back and we start this thing all over again!!!
Swali linakuja...Je shida n'sisi au ni viongozi wetu?
Yes it was meant to be! What are you gonna do about it...
How about if the leader that the people elected ananyimwa haki yake as in the Kenyan case?...You can't blame the people here...ama?