Waafrika ndivyo tulivyo?

Waafrika ndivyo tulivyo?

0mankw8.jpg
 
Uwezo wa kung'amua (IQ) hujifunzwa na hufundishwa. Lazima mtakubali kwamba angezaliwa mtoto na mara akatengwa kwenye chumba hadi akawa kijana na kisha akapewa test ya IQ, angeonekana kuwa na IQ kidogo sana.

Wote tunazaliwa na uwezo wa kuwa na IQ kubwa. Mazingira tuanyokutana nayo yanatuwezesha aidha kuuhitaji huo uwezo wa kung'amua na hivyo kuukuza, au kutouhitaji na hivyo kutoukuza sana.

Jokufu Kiwete anasema nimedanganya ninavyosema ushahidi mwingi unaelekea kuonyesha kwamba ni mazingira, na sio asilia, ndiyo kitu kinachangia zaidi kwenye IQ ya mtu. Kisa cha kusema nimedanganya kinaelekea ni kwamba sikuleta ushahidi. Mimi nilidhani wasomi wenzangu mlioko hapa mmeshawahi kukutana na huu mdahalo wa siku nyingi wa NATURE VERSUS NURTURE IN IQ DEVELOPMENT. Kwani Jokofu Kiwete hujaona ushahidi unaotolewa huko?

Nimetakiwa nitoe ushahidi toka kwenye uzoefu wangu. Nimeangalia, kwa karibu, umbio wa kuelewa concept za Mahesabu, wa wanafunzi wa UDSM, Carleton University na University of Zimbabwe. Kwa maoni yangu, walionyesha uwezo wa kung'amua vitu kwa haraka na kwa wa hali ya juu sana ni wale wa University of Zimbabwe.

IQ Test yoyote ni product ya mazingira ya wanayoitayarisha. Tunaweza kutengeneza IQ tests nzuri ambazo ukiwapa watoto wa Kariakoo wataonekana kuwa na IQ kubwa, lakini ukiwapa watoto wa Boston wataonekana mbumbumbu.

Mwisho, natoa onyo: Hakuna kitu kibaya zaidi ya inferiority complex. Inafisha jumuiya. Wale ambao mnajisikia inferior, basi leleeni hiyo complex kikwenu, msieneze huo ugonjwa kwa wengine.

Miaka ya 80, niliona kwenye graduate schools nyingi Marekani na Canada weusi waliokuweko karibu wote walikuwa wametoka Afrika. Weusi wa Marekani na Canada tangu udogo wamekuwa wakiambiwa kila siku wao hawawezi, na mwisho wakaamini hivyo. Hatutaki kumalizwa kwa namna hiyo hiyo.
 

...thats right! CONFUSSION is the name of the game!

...the best way forward ni kuweka 'vigunzi' masikioni na kusonga mbele! Kujikomboa kifikra ndio suluhisho pekee kwa waafrika weusi kukabiliana na maisha ya kila siku. Mfano; walowahi/wanaoishi ughaibuni, mara ngapi mshakumbana na 'vituko' kama

-upo ndani ya Bus, seat ya pembeni tupu, lakini 'mzungu' ana hiari asimame kuliko kukaa nawe?
-unatembea mtaani usiku unakumbana na mw'mke wa kizungu, anaamua kuvuka barabara kukukimbia, au anaukamata vizuri mkoba wake!
-minong'ono ya maneno kama 'you people stinks', 'you people lives in a jungle full of lions', 'you people are full of diseases', etc etc...

...these guys are simply BULLIES, kwa akili zao wanaona njia nyepesi ya kumtawala mtu mweusi 'kifikra' ni kumdhalilisha, na pindipo ukikubali kudhalilika ndipo utapoishia kujiona mtu duni usiofaa kwa lolote ila kwenye 'banda Zoo', kwa mfano ule ule wa White Supremacy over African counterparts during Slave trade, ambako waliweza kuwanunua watumwa toka kwa 'baadhi ya' machifu wa kiafrika hata kwa thamani ya paka 'nyau'.

..."there are two types of people who will disappoint you; Those who are afraid to try, and those who are afraid that you will succeed"!. Wazungu 'wanajua' afrika ni sawa na bara lilolala, ...ukiufikiria msemo wa "alalaye usimwamshe, ukimwamshe utalala wewe..." waweza elewa nafikiria nini!

 
Mchongoma unayoyasema hapa ni kweli na kweli tupu. na sidhani kwamba kuna mtu ana inferiority complex, na wazungu, tungekuwa hivyo wengi tusingepiga hata hatua moja katika maisha yetu.

swali langu linabaki pale pale, hawa wazungu wanaotusema all this kind of shits, ni sisi tunawapa mwanya wa kufanya hivyo kwa madudu tunayoyafanya. Huwezi kumwambia mwanao kwamba mimi nilisoma nina PhD ya uchumi wakati huo huo huna uwezo wa kumlipia private akajiunge na Form one (lets ni mzima wa afya nk ya kufanya kazi))! Lazima atafikiria kwamba usomi wako una kasoro, ingawa kweli ulisoma na jirani wanajua kwamba wewe ulikuwa kipanga darasani!! kwa hiyo swala hapa siyo kusoma mpaka ukapata PhD, swala ni je, kutokana na hiyo Phd, umemsaidia vipi huyo mtoto wako akapate hiyo alimu ya Form one? Je jirani yako Nyani au Masanja akisema huyu bwana ni lofa na hana akili, itakuwaje asome mpaka PhD lakini ashindwe kumwendeleza mtoto wake? Kwa hiyo wewe kutoka ndani na kuhamaki kwamba mbona hata wengine wamesoma lakini hawana uwezo wa kusomesha watoto utakuwa unakosea. SWALA NI WEWE SIYO MAJIRANI AU MASANJA KAFANYA NINI. I hope umenielewa kwa mfano huu mdogo.

Africa lazima tuendeleze mapambano ya kifikra, lakini as always a man is more likely to be defined by his character au achievement than his colour or anything. Leo mimi kijijini kwetu wananiona msomi kwa sababu nina kazi na naweza kutake responsibility za kifamilia (I have used my education to change the lives of some of my people), tofauti na ndugu zangu wengine walio maliza sekondari wakashindwa kuendelea na sasa wapo kijijini, hawawezi kusema mbele ya wananchi kwamba walisoma kwa sababu they are not any better, maana wananchi wanajua (any human) aliyesoma lazima apige hatua kimaisha. sasa sisi Waafrica hatuwezi kusema kwamba tuna akili na tuko sawa na kila mtu wakati hawa watu tukisoma nao hata huko ulaya tunawazidi harafu ikija kwenye substantive use of that education tunapigwa bao tena kubwa.

AM anasema mazingira yanatushape. I agree, personally Iam from a very very humble family. True. Lakini against all odds I struggled to reach where Iam (Iam doing relatively better kulinganisha na watanzania tulio wengi-though I still need to work hard) and yet I know kuna watoto wa wakubwa wamekulia Masaki na Oybay ( we call them proper families) wakiwa na kila kitu, kila kitu.... lakini leo some of them ni wavuta bangi na wamechoka mbaya, je hawa walikosa nini? So kwangu mimi hata haya mazingira inategemea unayatumia vipi. Wachina leo wanatengeneza disney huko Beijing nk, walikulia mazingira yepi? Germany baada ya Hitler it was an outcast watu walianza moja, haya mazingira waliyatengeneza.

Hata sisi Africa, kila mtu hana budi kujitengenezea mazingira yake. Infact from my experience katka nchi yangu watu wanaotoka kwenye familia maskini wengi ndo hata wakienda huko majuu wanasucceed sana kuliko wale walioletewa visa nyumbani na wazee wao.

Otherwise I agree, we should never entertain inferiority complex, but reality should be faced and tackled! And thats what we need as Africans kuface ukweli ni upi! TUACHE VISINGIZIO. Ndo maana ukiwa bar kama huna hela ya round huwezi kupiga kelele!
 
Uwezo wa kung'amua (IQ) hujifunzwa na hufundishwa. Lazima mtakubali kwamba angezaliwa mtoto na mara akatengwa kwenye chumba hadi akawa kijana na kisha akapewa test ya IQ, angeonekana kuwa na IQ kidogo sana.

Wote tunazaliwa na uwezo wa kuwa na IQ kubwa. Mazingira tuanyokutana nayo yanatuwezesha aidha kuuhitaji huo uwezo wa kung'amua na hivyo kuukuza, au kutouhitaji na hivyo kutoukuza sana.

Jokufu Kiwete anasema nimedanganya ninavyosema ushahidi mwingi unaelekea kuonyesha kwamba ni mazingira, na sio asilia, ndiyo kitu kinachangia zaidi kwenye IQ ya mtu. Kisa cha kusema nimedanganya kinaelekea ni kwamba sikuleta ushahidi. Mimi nilidhani wasomi wenzangu mlioko hapa mmeshawahi kukutana na huu mdahalo wa siku nyingi wa NATURE VERSUS NURTURE IN IQ DEVELOPMENT. Kwani Jokofu Kiwete hujaona ushahidi unaotolewa huko?

Nimetakiwa nitoe ushahidi toka kwenye uzoefu wangu. Nimeangalia, kwa karibu, umbio wa kuelewa concept za Mahesabu, wa wanafunzi wa UDSM, Carleton University na University of Zimbabwe. Kwa maoni yangu, walionyesha uwezo wa kung'amua vitu kwa haraka na kwa wa hali ya juu sana ni wale wa University of Zimbabwe.

IQ Test yoyote ni product ya mazingira ya wanayoitayarisha. Tunaweza kutengeneza IQ tests nzuri ambazo ukiwapa watoto wa Kariakoo wataonekana kuwa na IQ kubwa, lakini ukiwapa watoto wa Boston wataonekana mbumbumbu.

Mwisho, natoa onyo: Hakuna kitu kibaya zaidi ya inferiority complex. Inafisha jumuiya. Wale ambao mnajisikia inferior, basi leleeni hiyo complex kikwenu, msieneze huo ugonjwa kwa wengine.

Miaka ya 80, niliona kwenye graduate schools nyingi Marekani na Canada weusi waliokuweko karibu wote walikuwa wametoka Afrika. Weusi wa Marekani na Canada tangu udogo wamekuwa wakiambiwa kila siku wao hawawezi, na mwisho wakaamini hivyo. Hatutaki kumalizwa kwa namna hiyo hiyo.

Kwa maoni yangu mi nadhani hoja hapa ni ingenuity na si IQ. Mambo ya IQ yanahusiana mno na mambo ya darasani ambayo kuna ushahidi wa kuridhisha kuwa hakuna race iliyo zaidi ya nyenzake ktk hilo. Sasa unaweza ukakuta mtu mwenye IQ kubwa na vile vile ni ingenious. Kuwa ingenious siyo lazima uwe na IQ kubwa (tukifuata mbinu za kitaaluma zinazotumika kupimia) na mtu huyu anaweza akafeli vibaya ktk hizo test za kupima IQ. Oxford Advanced Learner's dictionary ina define ingenuity hivi: "the talent for solving problems in a clever original way" In Africa we have a bunch of problems. Do we have the talent to solve them in a clever original way or we look for the west to come and solve them for us?
 
Nyongeza: pia, ni maoni yangu kuwa watu wanachanganya maana ya maneno intelligence na ingenuity. Kutoka Oxford Advanced Learner's dictionary, intelligence is : "the power of learning, understanding and reasoning: mental ability" Sasa ona hizo definition zinavyotofautiana. Mkiniambia kuwa intelligence supplements ingenuity, I will agree.
 
...Oxford Advanced Learner's dictionary ina define ingenuity hivi: "the talent for solving problems in a clever original way" In Africa we have a bunch of problems. Do we have the talent to solve them in a clever original way or we look for the west to come and solve them for us?

...wakuu maneno yenu yapo juu ya msitari, nadhani in a 'nutshell' naweza sema ili tuendelee tunahitaji kupiga vita mambo matatu ikiwemo Ujinga.

Intelligence is a property of mind that encompasses many related abilities, such as the capacities to reason, to plan, to solve problems, to think abstractly, to comprehend ideas, to use language, and to learn.

One common criterion for diagnosis of mental retardation is a tested intelligence quotient (IQ) of 70 or below and deficits in adaptive functioning.

People with mental retardation may be described as having developmental disabilities, global developmental delay, or learning difficulties.

...Thaks God sisi sio mataahira, ndio kusema 'hatutumii' expertise na skills za kutatua shida kwenye mazingira yetu, ila kwa madogo madogo tu almuradi mkono uende kinywani, au? (inanikumbusha msemo kwamba; 'uwezo wa mtu mweusi ku plan hauzidi mwaka mmoja)

Ability (Uwezo wa) may be:

-aptitude
-ability to pay
-Intelligence
-physical ability
-skill
-expertise

...kwangu mimi hata haya mazingira inategemea unayatumia vipi. Wachina leo wanatengeneza disney huko Beijing nk, walikulia mazingira yepi? Germany baada ya Hitler it was an outcast watu walianza moja, haya mazingira waliyatengeneza.

Hata sisi Africa, kila mtu hana budi kujitengenezea mazingira yake. Infact from my experience katka nchi yangu watu wanaotoka kwenye familia maskini wengi ndo hata wakienda huko majuu wanasucceed sana kuliko wale walioletewa visa nyumbani na wazee wao.
!

...Naam, sasa swali la kujiuliza ni kwanini success iwe ugenini, isiwe nyumbani Tanzania?

Kwa mtizamo wangu', naamini hapo ndipo utapoona kuna 'ujinga' unaochangia kumkwamisha mwafrika na maendeleo yake, kutokana na 'ujinga' wa mwafrika huyo kukubali ujinga wake kwamba hata iweje, yeye si lolote si chochote ila ni tegemezi kwa wahisani, iwe wa kizungu, waarabu, nk katika kufanikisha maendeleo ya mambo yake.

One of the most serious and long standing issues within African American communities is poverty. Poverty itself is a hardship as it is related to marital stress and dissolution, health problems, low educational attainment, deficits in psychological functioning, and crime.[13] In 2004, 24.7% of African American families lived below the poverty level. The poverty rate remained unchanged in 2005 at 24.9 percent. Still, nearly one out of every four African Americans lives in poverty, which is 9.2 million people.

The poverty rate for Britain's minority ethnic groups stands at 40%, double the 20% found amongst white British people, according to new research published in 2007 (30 April) by the Joseph Rowntree Foundation (JRF). Minority ethnic groups are also being overlooked for jobs and are being paid lower wages, despite improvements in education and qualifications. The research highlights the differences between minority ethnic groups with 45% of Black Africans and 30% of Indians and Black Caribbeans living in poverty

...swali linajirudia, hali hii ('apart from being overlooked') yasabaishwa na nini, DNA zetu watu weusi? au IQ zetu 'tunavyozitumia' kwa mujibu wa mazingira yetu, au ndio tukubali tu Afrika ndivyo tulivyo, 'tunahitaji wake up call', ...maana hata bara lenyewe limekaa kama alama ya kuuliza ?
 
Mchongoma now you are talking! Sasa twambie tatizo liko wapi? Kwa hiyo ni kwamba, kwanza tukubali ujinga wetu, harafu tutumie hizo raslimali zetu tuanze kujinasua kwenye hii mitego. Unapoona Kiongozi anasaini kama ule mkataba wa Buzwagi (no pun intended , nadhani uliuona) we unadhani hawa wazungu ambao na wao ni vibarua wanatumwa kusaini wakirudi huko kwao wanatufikiria vipi? na ukichukulia mkataba umesainiwa kwa na waziri na baraka za RAIS zikiwepo? Hata mikataba ya akina Mangungo ilikuwa nafuu. Does it mean kwamba hawa viongozi na mawaziri hawaelewi consequence za hiyo mikataba? does it mean the language is too complicated? so ndo maana unakuta kwenye makampuni makubwa kama haya hata mainterns wanatumwa kudeal na sisi. Sasa swali linakuja? Je hatuyaoni tunayoyafanya au hatuyaelewi? au hatujui madhara yake? so how do you again justify kwamba you are not mjinga ila unaonewa na watu wanaokuchukia kwa sababu ya raslimali zako?
 
Mchongoma now you are talking! Sasa twambie tatizo liko wapi? Kwa hiyo ni kwamba, kwanza tukubali ujinga wetu,...

...Masanja ukweli unauma bwana, lazima 'kutanua kifua' kidogo. Kuhusu tatizo, kwa mtizamo wangu unaanzia hapa...

Dr Julius Nyerere, was also one of those rare political philosophers who was actually able to test out his theories on an entire nation.

In 1967 he released the Arusha Declaration (named after the northern Tanzanian town where it was announced) which outlined his plans to try an turn Tanzania into a socialist and self-supporting state. He then quickly set about applying his ideas.

However Nyerere's 'African socialism' proved disastrous in the rural areas where his policy of "ujama", community-based farming collectives, met with resistance from farmers and led to a subsequent decline in production.

Ten years later, taking stock, President Nyerere issued a remarkably honest booklet which gave as much prominence to the failures as well as the successes.

"There is a time for planting and a time for harvesting", he wrote. "For us it is still a time for planting".

...hiyo sentensi ya mwisho ("For us it is still a time for planting") ndio inayoniuma zaidi, kwasababu hao tunaowapigia kura kwa matagemeo ya kutukomboa ndio hao kila miaka mitano wanavyotumaliza zaidi. Angalia mahojiano ya Rais na FT

FT: Chinese money comes with fewer strings attached to it?

JK: They discuss no strings. There, the people, they don't discuss anything.

You can't beat the British, you've got to sit with them for hours. They talk about this, they talk about that, yes.

FT: The Chinese are easier to do business with?

JK: Yes. You know this is the other thing, you're negotiating all these problems for several years, they will talk about that, about a newspaper, they will talk about an underage boy in prison (for example).

He's 17 and he raped a nine-year-old, and they ask: "Why do you lock him up?" And so I say, what do you do, this is a rape case, and they want to discuss, I spend so many hours discussing whatever it is this boy.

FT: This was with (Britain's) Department of International Development (DFID)?

JK: No, no, it's not DFID. It's somebody else. I asked the Minister of Home Affairs, please give me information, is there something like this? He said, well yes, they gang raped a girl. So what do they want us to do? Release him? So that he can go and rape another one?

FT: Is this not a great example of the donors making you more accountable to them than to your own people?

JK: …These are challenges of development.

http://www.ft.com/cms/s/0/d8a07e28-72a3-11dc-b7ff-0000779fd2ac.html

...No offence; ukisoma mahojiano hapo juu btw FT na Rais wetu 'Mpendwa Mheshimiwa JK', ambaye kwa ushindi wa kishindo watanzania tumemchagua, hawa wazungu wanapata picha gani na hayo majibu yake?

...Africans will only reap what they sow, Rais wa nchi ndio taswira ya wananchi walomchagua, IQ zilizotokana na DNA zetu au vipi!?
 
What a shame, hadi interviewer anasema huo siyo mfano mzuri.... ni kinyaa tupu!! Na sidhani kama hapo alikuwa anaonyesha upendeleo wowote, bali alitamka ukweli tu toka moyoni mwake baada ya kushindwa kuumeza utumbo huo.

Hata hivyo tusife moyo ndugu zangu, kwa kuwa karne hii tumerahisishiwa mawasiliano, itabidi wote tulio na moyo wa kupambana tu link up kinamna fulani, najua tunaandika sana tu hapa jamvini, mimi naona sasa hii haitoshi, inabidi sasa tuanze communication za ana kwa ana.

SteveD.
 
Mchongoma now you are talking! Sasa twambie tatizo liko wapi? Kwa hiyo ni kwamba, kwanza tukubali ujinga wetu, harafu tutumie hizo raslimali zetu tuanze kujinasua kwenye hii mitego. Unapoona Kiongozi anasaini kama ule mkataba wa Buzwagi (no pun intended , nadhani uliuona) we unadhani hawa wazungu ambao na wao ni vibarua wanatumwa kusaini wakirudi huko kwao wanatufikiria vipi? na ukichukulia mkataba umesainiwa kwa na waziri na baraka za RAIS zikiwepo? Hata mikataba ya akina Mangungo ilikuwa nafuu. Does it mean kwamba hawa viongozi na mawaziri hawaelewi consequence za hiyo mikataba? does it mean the language is too complicated? so ndo maana unakuta kwenye makampuni makubwa kama haya hata mainterns wanatumwa kudeal na sisi. Sasa swali linakuja? Je hatuyaoni tunayoyafanya au hatuyaelewi? au hatujui madhara yake? so how do you again justify kwamba you are not mjinga ila unaonewa na watu wanaokuchukia kwa sababu ya raslimali zako?

thats the point!!we need to prove ourelves!!we need to stand out and do something of the situation!!

otherwise wajukuu zetu watajiuliza hawa mababu zetu (kikwete,lowasa...,karamagi ) vipiii??mbona wakatuacha kwenye hali ngumu hivii??mbona walitutumbukiza kwenye mashimo makubwa hivi??hivi walikuwa wazima kweli hawa??

wakimaliza kuwalaumu kina kikwete watajiuliza hivi kina pangupakavu,masanja na mchongoma...,walikuwa wapi??wakiruhusu viongozi wa aina hii wawaongoze weeeeeeeee hadi mwisho???

here is my front..,i argue these so called leaders to front on education..,quality education..,

check this example..,you go to NYSE(New York Stock Exchange) with zero or very very low knowledge on stock markets.although you might go in with a lot of money at the end of the day what will be the outcome...??

you have guessed it right!!!!


thats what we have now in AFRICA..,IN TANZANIA!!we are in the stock market with NO or very LOW knowledge about it!!and we are loosing everything!!even what we went in with!!no matter how valuable we went in with!!

ITS the 21st century!!the so called science and technology century...,and why the HELL are we in it without those things??

tunabaki tunashangaa tu watu wakifanya vya maana na nchi zao.

why the HELL are we preparing with battles of 100 years ago while we are facing lots of battles ahead??

those cars..,fancy parliamentary buildings,trips to Europe for useless meetings,presidential planes....,they are all weapons of 100years ago!!no one goes to war with them!!what are we doing?

nations are equipping with super scientific projects so that they can survive the century..,what do we do??we return home students supposedly to do those scientific projects(referring to tanzanian who were in Ukraine )

in expense of what???a trip for our president to round the globe as if he were Christopher Columbus in the 15th century??what is this??

and he seems comfortable about it..,denying his own countrymen(supposed to help build the country and eliminate poverty) rights to education just for the sake of him touring around the globe.

no wonder we only have less than 1000 qualified doctors and even fewer medical specialists..,no wonder opening of a department store is attended by the whole cabinet together with the president.no wonder a single football stadium becomes talk of the 2 presidential terms,no wonder government buildings are being built at the cost 10 times higher!!and we buy a radar although we don't have even 10 planes we are proud to say we own!!
no wonder our leaders work so hard (to cheat)in a short time so that they get a Dr. denomination so that they look smart,truth be told that their Ph D's are fake..,and they didn't even successfully complete masters!!
No wonder

WE NEED education..,
at least the one that is resembling to what everyone has so that we fight a fair battle towards being like them or even better!!

we need to eliminate that pyramid shape in our education system.what the hell are going to do with 1000 doctors in 38 million sick prone people???develop like roman empire??are we kidding??

its a shame that Tanzania youths are now denied chances to receive education and our politicians are enjoying what was supposed to be their research funds in buying useless fancy cars!!

i am sure when TZ has 50000 doctors per 40 million,20,000 engineers,20,000 qualified accountants,enough teachers to supply every school till we have spare teacher to export to "by then still sleeping nations in programs resembling peace corps",and a ratio of 1 desk,one book to one students the whole country.and so many other positive things in education.Its when we will start to feel the real feeling of development..,

by then we would be fighting a war we are capable of.same way as going to NYSE with full knowledge of economics and stock markets.

otherwise we will be waiting till that very courageous grandson of ours starts questioning and do something about that!!


am sure when ours so called leaders knows everything about this..,importance of education and the need to do something real positive about it.

am so sad to say that,they are so obsessed with accumulating those stupid bank accounts of them at the expense of our poor country.they are eager to throw their best minds at stealing from as but seat back and relax during making real contribution to our development.

what do we need then??to end this bullshitting??


we need to have COURAGE.we need to COURAGE to say NO!!and stop being HUMBLE,especially To our leaders!!they know what we do is wrong!!

denying masanja modern education is like sending him to a NUCLEAR war with a spear!!what do u expect!!!
 
Wazungu wanatusifia weusi kwa dansi, ngono, nk; better than who? Ni kweli wazungu si wazuri kwa ngono kama sisi? Is that description not a way of fooling blacks?

Kwa kuwa maelezo mengi kuhusu sisi yamekuwa hasi; basi chochote kinachoonekana chanya bila shaka ni ujiko wa hali ya juu.
 
Kwa maoni yangu mi nadhani hoja hapa ni ingenuity na si IQ. Mambo ya IQ yanahusiana mno na mambo ya darasani ambayo kuna ushahidi wa kuridhisha kuwa hakuna race iliyo zaidi ya nyenzake ktk hilo. Sasa unaweza ukakuta mtu mwenye IQ kubwa na vile vile ni ingenious. Kuwa ingenious siyo lazima uwe na IQ kubwa (tukifuata mbinu za kitaaluma zinazotumika kupimia) na mtu huyu anaweza akafeli vibaya ktk hizo test za kupima IQ. Oxford Advanced Learner's dictionary ina define ingenuity hivi: "the talent for solving problems in a clever original way" In Africa we have a bunch of problems. Do we have the talent to solve them in a clever original way or we look for the west to come and solve them for us?

Hamjasomaaa habari? Weusi wenzetu waliwezaje kama IQ zetu ni...
so hii
A very humorous and revealing story is told about a group of white people who were fed up with African Americans, so they joined together and wish themselves away. They passed through a deep dark tunnel and emerged in sort of a twilight zone where there is an America without black people.

At first these white people breathed a sigh of relief. At last, they say, no more crime, drugs, violence and welfare. All of the blacks have gone!!

Then suddenly, reality sets in. The "NEW AMERICA" is not America at all only a barren land! There are very few crops that have flourished because the nation was built on a slave-supported system.

There are no cities with tall skyscrapers because Alexander Mils, a black man, invented the Elevator, and without it one finds great difficulty reaching high floors.

There are few if any cars because Richard Spikes, a black man, invented the Automatic Gear Shift. Joseph Gammell, also black, invented the Super Charge System for Internal Combustion Engines, and Garrett A.Morgan invented the Traffic Signals. Furthermore, one could not use the Rapid Transit System because its precursor was the electric trolley, which was invented by another black man by the name of Elbert R.Robinson.

Even if there were streets on which cars and a rapid transit system could operate, they were cluttered with paper because an African American, Charles Brooks, invented the Street Sweeper.
There were few if any newspapers, magazines and books because John Love invented the Pencil Sharpener, William Purvis invented the Fountain Pen,Lee Burridge invented the Type Writing Machine and W. A. Lovette invented the Advanced Printing Press. They were all you guessed it, black.

Even if Americans could write their letters, articles and books, they would not have been transported by mail because William Barry invented the Postmarking and Canceling Machine, William Purvis invented the Hand Stamp and Phillip Downing invented the Letter Drop.
The lawns were brown and wilted because Joseph Smith invented the Lawn Sprinkler and John Burr the Lawn Mower. When they entered their homes, they found them to be poorly ventilated
and poorly heated. You see, Frederick Jones invented the Air Conditioner and Alice Parker the Heating Furnace.

Their homes were also dim. But of course, Lewis Latimer invented the Electric Lamp; Michael Harvey invented the Lantern and Granville T. Woods invented the Automatic Cut-off Switch. Their homes were also filthy because Thomas W. Steward invented the Mop and Lloyd P.Ray, the Dust Pan. all these are blacks

Their children met them at the doorbarefooted, shabby, motley and unkempt. But what could one expect? Jan E.Matzelinger invented the Shoe Lasting Machine, Walter Sammons invented the Comb,Sarah Boone invented the Ironing Board and George T. Samon invented the Clothes Dryer.

Finally, they were resigned to at least have dinner amidst all of this turmoil. But here again, the food had spoiled because another black man, John Standard, invented the refrigerator. Now, isn't that something? What would this world be like without thecontributions of Black people?

Kubwa ya Yote eti na Chuwa nae alivumbua baisket ya magogo ya miti.

enjoy the weekend
 
"THE RENASCENCE...of the good the bad & the ugly BLACKMAN JFSTYLE"!!


SteveD.
 
Waungwana mliyoyasema hapa ndo reality. We need SELF LIBERATION kama taifa au bara la Africa. Ni ukweli usiopingika wazungu wana prejudice dhidi ya weusi, lakini ki ukweli prejudice ni kitu inherent coupled with stereotype kama hizi ndo inakuwa mbaya zaidi. Imagine, mpaka wazungu wenyewe wanaamka na kusema enough is enough freeze these millions za hawa vibaka wanaibia watu wao. Unafikiri wanatujali zaidi, lakini wanaona huu wizi ni beyond imagination given hali ya wanaoibiwa!

Now how do we bring these leaders to account? Ndo swali hilo, we need jamii yenye kuelewa ambayo haiko too easily brainwashed na propaganda, lakini kwa umaskini uliokithiri watu hawathamini tena nafasi zao kama kupiga kura as something which can bring positive change. so, inakuwa vicious circle of poverty.

For sure I can tell, unless waafrica tubadilike within ourselves, tutaendelea kuwa perpertual embarrasment kwa race ya binadamu. Hatutakombolewa na mtu yeyote, ila sisi. World Bank, UN, etc, there are there to mantain status quo. what we need is vision and sacrifice. We need to be truthful to ourselves and our compatriots.

I always vote-but wonder whther my vote ever makes any difference! Perhaps one day it will!
 
Huyu jamaa Watson kashakiri kuwa hakuna ushahidi wa kisayansi unaothibisha alichikisema.Nafikiri anamatatizo yake binafsi
 
Imagine, mpaka wazungu wenyewe wanaamka na kusema enough is enough freeze these millions za hawa vibaka wanaibia watu wao. Unafikiri wanatujali zaidi, lakini wanaona huu wizi ni beyond imagination given hali ya wanaoibiwa!

...ndio hapo wanapotuona waafrika mabwege kwa kuchagua 'democratic' presidents ambao pamoja na mauza uza yao hakuna uprising yeyote dhidi yao zaidi ya wachache wanaodiriki ku form opposition parties, vyama ambavyo navyo 'vingi' vinazuka na kukumbwa na maskendeli ya matumizi mabaya ya pesa za wahisani kama sio kugombaniana pesa za ruzuku kila kipindi cha chaguzi kuu kinapowadia. Almuradi hakuna ahueni, kama hatuishi kwenye cursed generation, then we are lost in translation!

FT Interview: Jakaya Kikwete
Published: October 4 2007 23:35 | Last updated: October 4 2007 23:35

Financial Times: Tanzania's economy is growing at about 7% and a little below that for the last ten years. But it's generally perceived that this is not enough to begin to pull people out of poverty. How do you plan to reach the next step?

Jakaya Kikwete: It is true that, for the last decade I think the average growth rate has been 6.3% and this is not adequate…We need 8% to 10% growth sustained over a decade to make a significant impact on poverty. So what do we do about it? Right now this growth is actually generated by the mining sector, which has been growing at about 16% and construction by 10.6%. Manufacturing is 8.6% and tourism is close to 12%. I'm seeing great opportunity and possibilities in all these sectors. But I'm seeing more opportunity in the agricultural sector and in the mining sector.

FT: Agriculture has been the laggard. What's holding it back?

JK: Why I'm saying that there is great opportunity is because agriculture is mostly subsistence agriculture, peasant agriculture…and therefore production is low and the incomes of the people definitely are very low. What we are trying to do now is embark on a green revolution…looking at increasing irrigated agriculture, increasing the use of high yield seeds…the use of fertilisers. The average use of fertiliser is abysmally low; it is eight kilos per acre. When you compare with the Netherlands where it's 577 kilos per acre, so you can see why…the level of (production) is very low.

Now how do we bring these leaders to account? Ndo swali hilo, we need jamii yenye kuelewa ambayo haiko too easily brainwashed na propaganda, lakini kwa umaskini uliokithiri watu hawathamini tena nafasi zao kama kupiga kura as something which can bring positive change. so, inakuwa vicious circle of poverty.

For sure I can tell, unless waafrica tubadilike within ourselves, tutaendelea kuwa perpertual embarrasment kwa race ya binadamu. Hatutakombolewa na mtu yeyote, ila sisi. World Bank, UN, etc, there are there to mantain status quo. what we need is vision and sacrifice. We need to be truthful to ourselves and our compatriots.

I always vote-but wonder whther my vote ever makes any difference! Perhaps one day it will!

...Bado naimani Tanzania ipo siku tunaweza pata tena kiongozi thabiti mfano wa Mwalimu Nyerere, kiongozi mwenye clear vision, ambaye ataweza kui interpret kwa vitendo, ambaye pamoja na mapungufu yake mengine atayokuwa nayo, atawezaa kuimarisha umoja na mshikamano wa watanzania kuupiga vita umasikini, na kutumia rasilimali zilizopo (ikiwemo watu) kujenga na kuinua uchumi tulioukalia si kwa manufaa ya miaka mitano au kumi ijayo tu, ila kujenga msingi wa uchumi bora na wenye nguvu kwa miaka mia moja ijayo! na kuacha kuwa tegemezi kwa mataifa wahisani, ambao matusi yao ni kama hayo.

FT: Are you satisfied with the £200,000 local levy that the mining companies have agreed to pay?

JK: Of course.

FT: Is that enough?

JK: Well of course if they could give more, well why not? I'd appreciate it…it's (part of) corporate social responsibility. We are simply saying, you are making money out of this district. Well, make a contribution that is really going to impact on the lives of the people out here. You take all the minerals out and after the minerals have been depleted you only leave the holes on the ground; off you go. And then you leave the people in the districts to fall into the pits. So we are saying at least make that kind of contribution…

FT: There's a sense from what you're saying of this tremendous potential in Tanzania. You have great agricultural potential, mining potential, tourism potential, but it's taking a long time to realise this potential. What do you think is holding Tanzania back?

JK: I don't know. Of course this is precisely the question that I ask every day, what is it that we have not done? I think we have been leading the continent in terms of attracting mining investments in the mining sector. But we are still working (on attracting investment to other sectors). Maybe the message has not quite reached home.

..."nadhani" kuna mapungufu mengi tu yaliyo ndani ya uwezo wetu katika vigezo vya kuchagua rais kwa nchi nyingi za kiafrika, ndio maana hatujakwamuka kwenye umasikini wetu wa 'fikra'. Mpaka hapo tutapoacha 'kuchaguana' kwa kuwa huyu ni mwenzetu, ndipo tutapojinasua na baa hili! Mimi nawe ndo wapiga kura, akili kumkichwe, na wala halihitaji Prof Watson hili na DNA studies zake wala IQ score above average.
 
I agree with you my man! Indeed we are just lost in translation, hiyo interview ya kiongozi wetu speaks volume than it may reveal on the outset!

Mkuu kwa kweli safari ni ndefu na sijui tutafika lini na vipi tutafika. Unajua niliwahi kumuuliza baba yangu mdogo ambaye ni balozi wa nyumba kumi kumi kule Bush( hope you know this cheo in bongo!) kwa nini anaendelea kuipigia debe CCM wakati hali yake ni mbaya for more than three decades na I dont see him improving. He agreed with me, but politely asked me then what is the alternative for me to vote for? "CCM wanatuahidi vitu na atleast wakija kinaeleweka" well thats poverty I talk about, huyu baba yangu mdogo kilo moja ya mchele na tshirt is better for him in the shortrun than the paradise which might never be realized in his time!

Thats the challenge for all of us wanasiasa na wasio kubadilisha mindset za hawa wazee wetu, lakini sasa how do you do it na hii njaa iliyokithiri? JK has a chance to redress this, but ndo hivyo unaona..anaridhika na $$200,000!.
 
Nadhani mjadala umekwisha sasa. Pamoja na ukweli kwamba nilikukwa kimya kwa muda, Napenda kuchukua fursa hii kukushuru ndugu nyani na ndugu massanja kwa michango yenu. Pia wote wenye mtazamo tofauti, pokeeni pongezi zangu. Naomba kutoa hoja.
 
Asante mkubwa. Ila hukutoa majumuisho-way forward!

Bon wkend!
 
Back
Top Bottom