Waafrika ndivyo tulivyo?

Waafrika ndivyo tulivyo?

Nyani, Mwanamulundi na wengine wenye mtizamo tofauti na wenzetu mi nashauri basi tuwakubalie kwamba tunaonewa na hizi findings za wazungu ni racism at best, na sisi hatuendelei kwa sababu ya mazingira duni-talk about "nurture" and nature!, maana wazungu wana mazingira bora... mjadala uishe! Maana Kijakazi et al wanaamini kwamba si halali kutudharu wakati tuna maprofesa weusi huko harvard na kwingineko.

Ila mimi swali langu la msingi, hiyo elimu tumeifanyia nini? hiyo Timbuktu iliyokuwepo kabla ya OXFORD nk ILITUNUFAISHA VIPI KUJIKOMBOA NA HALI TULIYONAYO?? UU BASI TUSEME HII HALI TULIYONAYO-ITS JUST FINE? PERHAPS.

Nawaza mambo kwa kina, lakini sipati jibu.................
 
Kama tunaonewa na tafiti zao basi na sisi tufanye za kwetu zitakazoonyesha kuwa za kwao ni uwongo(si ubavu tunao). Na hayo mazingira bora wazungu wameyatoa wapi? Na haya mambo ya eti tuna maprofesa Harvard na Oxford sitaki kusikia maana hayo ni mavyuo yao. Vya kwetu viko wapi na wao waje watambe kuwa 'mimi nimfendisha pale Nzega University'.....
 
.......
Ila mimi swali langu la msingi, hiyo elimu tumeifanyia nini? hiyo Timbuktu iliyokuwepo kabla ya OXFORD nk ILITUNUFAISHA VIPI KUJIKOMBOA NA HALI TULIYONAYO?? UU BASI TUSEME HII HALI TULIYONAYO-ITS JUST FINE? PERHAPS.

Nawaza mambo kwa kina, lakini sipati jibu.................

Ng'wana Ngosha, mbona miye jibu ninalo... ila mazingira niliyokulia ndiyo yananifanya nichelewe kulitoa, hapa au kwenye thread nyingine!!

SteveD.
 
...get on that stuff and err'thing will be gravy including mazingira....it's Friday afterall....
 
Trust me ma-soldier, I'm gonna hit hard on this topic like never before, but currently gathering thoughts and thinking whether to launch it on this thread or as a different subject altogether... you know, a mild form of dyslexia troubles me (self diagnostic btw), I hardly get my words right, but hey, this don't mean ain't intelligent - proofs written all over!!

SteveD.
 
Nyani, Mwanamulundi na wengine wenye mtizamo tofauti na wenzetu mi nashauri basi tuwakubalie kwamba tunaonewa na hizi findings za wazungu ni racism at best, na sisi hatuendelei kwa sababu ya mazingira duni-talk about "nurture" and nature!, maana wazungu wana mazingira bora... mjadala uishe! Maana Kijakazi et al wanaamini kwamba si halali kutudharu wakati tuna maprofesa weusi huko harvard na kwingineko.

Ila mimi swali langu la msingi, hiyo elimu tumeifanyia nini? hiyo Timbuktu iliyokuwepo kabla ya OXFORD nk ILITUNUFAISHA VIPI KUJIKOMBOA NA HALI TULIYONAYO?? UU BASI TUSEME HII HALI TULIYONAYO-ITS JUST FINE? PERHAPS.

Nawaza mambo kwa kina, lakini sipati jibu.................

Elimu ni kitu muhimu sana katika kuleta maendeleo..!!lakini kuna factors nyingine nyingi tu!!thats how complicated it gets!!harverd and oxford might be just a piece of history during year 3500!!and no one there will appreciate anything about them as long as they wont be existing in the same flourishing manner!!

it all comes down to generations!!THEY(white people can feel superior at least for this generation-not how i feel them actually)BUT what ever they feel about themselves its just judgment of history!!there used to be creatures as big as dinosaur's!!and yet believed to be doomed by a single galactic act thousands of years ago!!!...,i don't imply that white people will be doomed..BUT if you look closer through history of mankind and even outside mankind then you will prove these facts..,

problems facing africans now were definetly not started by kikwete and current african leaders..,they actually started a few hundred years ago!!that means that current african leaders are just gas in an already hot fire..all they do is they are worsening things up for us!!

i wouldnt blame them,But i would wish that things could be better..,there is no way africans are inferior to any race!!ofcuz thats what they called einstein during his early age!!an idiot!!they even called their greatest leader Roosevelt an idiot just because the boy was unable to convert a few maths!!!

in reality no one can judge a race no matter what!!!

africans,asians,indians..europeans are all eaqual in stands...,what differs is peoples attitudes and sometimes their culture influences!!a chinese will force him into hard working due to culture values..,and an indian will take care of the cow as much as his family..or even more!!that doesnt make him any less intelligent than a white dude taking care of his ferrari..,or ndugu masanja taking care of his "ZIZI"...,thats just the way it is!!

we differ in a unique way!!that is why diabled people are eaqually distributed in all races!!hakuna upendeleo kuwa this generation of light skinned felas should not have retarded people!!
 
...mnabishana bureee... jipimeni basi hapa

http://www.iqtest.com/

...kila mtu kivyake, mwenye ubavu alete IQ score yake; I hope haitakuwa same as the shoe size 'he's wearing'!!!

yangu hiyo hapo!!

Dear pangupakavu,

Thank you for your interest in the test at IQTest.com.

Your general IQ score is: 138

i was a bit dissapointed na hiyo test yenyewe kwani maswali yalikuwa ya kipuuzi mno!!kwa lugha nyepesi yalikuwa mepesi mno!!i expected somthing harder!!

maswali kama ya primary school bwana!!!i once did a tougher one..,it was in acertain magazine..and i had 127 something like that!!

Pangupakavu, wewe 'mzungu' bwana (inferred)!!!!!!!!! lol

SteveD.
 
Dear Nyani Ngabu,

Thank you for your interest in the test at IQTest.com.

Your general IQ score is: 147

Hata mimi mtasha...
 
Pangupakavu, unajua argument ya walio wachache humu ni; kwa nini with all pompous justifications hatujikomboi na huu umaskini wa kutupwa? unasema huwezi mlaumu JK au viongozi wengine; sasa kama tunaendeleza ujinga ulele, kila kiongozi anayechukua madaraka anafanya madudu yale yale then what is there for us? dont you think thats another proof of our problems? maana we dont have a reason to live! In otherwords we cant learn from our mistakes!

Kinachouma ni kwamba tuko tayari kuwaattack wazungu kwamba wanatuonea. wakati wanachokiongea (hata kama sio ukweli lakini ndicho kinaonekana)Mi nasema unless otherwise proven to the contrary by tangible results nitaendelea kuamini kwamba we are somehow inferior kwa wazungu. Prove me otherwise! Angalia leo Tanzania tunatumia reli ya mzungu tena mjeremani more than almost a century! hatujaongeza chochote kwenye ile reli ( I KNOW IT MAANA NDO INANIPELEKA KWETU) angalia madeni tuliyonayo, hizo pesa zilifanya nini? mtu unaweza kutumia $$100,000 kununua gari MOJA wakati raia wako next one kilometer wanakufa kwa kipindupindu? and you tell me...what.....?

Apologist unless you prove us otherwise, Degree ya Chenge ya Harvard ndo imepriside mikataba yote ya kijinga, kwa hiyo hiyo ni alama tosha elimu ya darasani siyo kigezo cha ingenuity kama muungwana Nyani anavyosema. Au mnataka tuwe kama CCM inavyodanganya watu (EL kawaambia watu kwamba mkataba aliosaini Karamagi is the best contract TZ have had so far, na mawaziri wako mbioni kwenda kuutetea kwa wananchi!) Kama tumefika huko kudanganyana mchana basi!

I dont operate on theories za akina Watson lakini unfortunately what they say is what we live with in our daily struggle here in bongo and Africa! With this kind of shifting burden the future of our continent is groomy!
 
Masanja, kwanza nikushukuru kwa hoja nzuri nyingi ulizoleta humu 'ng'wana ngosha', na napenda kusema kuwa nyingi nakubaliana nazo, ila kuna machache nitapingana nayo hapa chini...(ni katika swala zima la utetezi bwana)
Pangupakavu, unajua argument ya walio wachache humu ni; kwa nini with all pompous justifications hatujikomboi na huu umaskini wa kutupwa? unasema huwezi mlaumu JK au viongozi wengine;
Pangupakavu hajasema kuwa anawatetea, hata kidogo na jinsi ninavyomjua hawezi kusema hivyo.

...
Kinachouma ni kwamba tuko tayari kuwaattack wazungu kwamba wanatuonea. wakati wanachokiongea (hata kama sio ukweli lakini ndicho kinaonekana)Mi nasema unless otherwise proven to the contrary by tangible results nitaendelea kuamini kwamba we are somehow inferior kwa wazungu. Prove me otherwise! Angalia leo Tanzania tunatumia reli ya mzungu tena mjeremani more than almost a century! hatujaongeza chochote kwenye ile reli ( I KNOW IT MAANA NDO INANIPELEKA KWETU) angalia madeni tuliyonayo, hizo pesa zilifanya nini? mtu unaweza kutumia $$100,000 kununua gari MOJA wakati raia wako next one kilometer wanakufa kwa kipindupindu? and you tell me...what.....?
Masanja, we are not inferior, wametuzidi kitu kinacho itwa maendeleo, na maendeleo yenyewe kama thread hii inavyotaka kuamini ni ya IQ, ambavyo sivyo...bali ni ingenuity, na ingenuity na IQ ni vitu viwili tofauti kwani vinahusiana na mazingira, ila vina husiana. IQ za juu ni hizo za kuanzia 110 na kwenda juu, pangupakavu kasema ana 138 na Nyani ana 147, hali maelezo ya Watson ni kwamba hivi vitu ni genetic ambapo kama ingekuwa hivyo basi hawa wawili wenzetu waliozitaja zao pamoja na kuwa watu weusi na waafrika basi wasingepata marks za juu kwani genes zao zisingeruhusu kama jinsi Watson anavyosema.

Masanja, tatizo lilolopo pia ni kwamba vipimo vya maendeleo vyote vinahusu maendeleo ya 'kiwestern', ila hawataji maendeleo ya kijamii kama ma-pastoralists na jinsi ya kuishi na wanyama bila kuharibu natural invironment na ma green house gases. Unajua nini (subiri tu nithubutu kusema), sisi weusi tumefanikiwa kuuacha ulimwengu kama jinsi ulivyo, tunaishi maisha natural na kula vitu natural. Wao walifyeka wanyama wote kama ujanja, hivi sasa wamebakia na zoo tu kisha green house zinaiandama dunia kutokana na uharibifu wao...(just lookin at the other side)

Apologist unless you prove us otherwise, Degree ya Chenge ya Harvard ndo imepriside mikataba yote ya kijinga, kwa hiyo hiyo ni alama tosha elimu ya darasani siyo kigezo cha ingenuity kama muungwana Nyani anavyosema. Au mnataka tuwe kama CCM inavyodanganya watu (EL kawaambia watu kwamba mkataba aliosaini Karamagi is the best contract TZ have had so far, na mawaziri wako mbioni kwenda kuutetea kwa wananchi!) Kama tumefika huko kudanganyana mchana basi!

I dont operate on theories za akina Watson lakini unfortunately what they say is what we live with in our daily struggle here in bongo and Africa! With this kind of shifting burden the future of our continent is groomy!

Hapa nakusupport ndugu yangu.
Kama nilivyosema hapo mwanzoni, jibu ninalo....!
Ahsante.

SteveD.
 
Yes, wasn't a test for ingenuity, was it?!

SteveD.

I never said I was ingenious. Ingenuity has little to do with test scores. I am just booksmart, that's all. There are a lot of ingenious people that score miserably on standardized tests. But then you have people that have both ingenuity and book smarts.
 
Woow, what a combo; Just like you, Hence have a high IQ score.... am i wrong dude?!

I can tell that you are ingenious... (will explain this later on when I hit hard on this topic, pls just remind me). Hope I won't be boring you lot by asking you to wait... but hey, have given my reasons! lol

Hey I'm not ingenious like...only in my own little way that can't benefit humanity. But nah..you can't mention my name in the same breath as the Wright Bros. or Einstein, or Newton....
 
....or Nyerere!

SteveD.
 
...or you...or Mwanakjj

You make me smile dawg!! 🙂 Cheers!

But for really, i have something great in my mind... i wish i had a secretary to dictate to... i just find it hard to type.... hint: "i were into flash memory use and functions thinking back in 1995" but had no access to Chuo kikuu, UDSM resources! This is no joke hommy! One day will tell it all...

SteveD.
 
Back
Top Bottom