Waafrika ndivyo tulivyo?

Waafrika ndivyo tulivyo?

Mbona sasa mnataka kwenda personal?
 
Basi naona kaomba msamaha huyo sayantisti kizee.....kwanza anahitaji kwenda kwenye retirement, yaani miaka 79 yote hiyo bado yumo tu...atajafia kwa lab, angekuwa mswahili hapo( except kingunge) zamaaani watu wangekuwa retirementville,USA wanakula pension.!!!!.
 
...mnabishana bureee... jipimeni basi hapa

http://www.iqtest.com/

Welcome to IQTest.com, home of the original online IQ test.
Click here to take our free, private, and fun IQ test.

Our original IQ test is the most scientifically valid IQ test available on the web today. Previously offered only to corporations, schools, and in certified professional applications, it is now available to you. In addition to measuring your general IQ, our exclusive test assesses your performance in 13 different areas of intelligence, revealing your key cognizant strengths and weaknesses.

Developed by PhDs and statistically sound, our test reflects the best research available.
Click to begin.

What is an IQ?
An Intelligence Quotient indicates a person's mental abilities relative to others of approximately the same age. Everyone has hundreds of specific mental abilities--some can be measured accurately and are reliable predictors of academic and financial success.

...kila mtu kivyake, mwenye ubavu alete IQ score yake; I hope haitakuwa same as the shoe size 'he's wearing'!!!
 
Ni vema tutumie msamiati kwa makini. Waafrika wengi ni weusi, lakini sio Waafrika wote ni weusi. Na wako weusi wengi ambao si Waafrika. Sio Westerners wote ni Wazungu, na wako Wazungu wengi tu ambao sio Westerners.

Kama asemavyo Pangupakavu, kuna kipindi ambapo waliokuwa na akili kuliko wote duniani walikuwa ni Waarabu. Kipindi kingine wakawa ni Wachina. Sasa Wazungu wengi wanadhani hii ni zamu yao. Wako Weusi wengi vile vile wanaoamini kwamba wakitoka Wazungu tunaingia sisi.

Kuna nadharia (yenye ushahidi wa kurithisha) kwamba binadamu wameanzia Afrika. Kwa mantiki hiyo, binadamu wote aidha ni Waafrika sasa, ama angalau walishawahi kuwa Waafrika. Watson ana asili ya Uafrika.

More critically, may I point out that there has always been a debate about the roles of NATURE and NURTURE in the development of intelligence. It is my understanding that the preponderance of evidence points to nurture rather than nature as the main contributor to IQ.

Augustine Moshi
 
Kichuguu umesahau kwamba ni sisi wenyewe tunaowapigia kura hao viongozi kwa hiyo ni reflection YETU SISI. Wengi humu ni ukweli usiopingika haya maneno ya Watson yanatuuma and we are trying to be apologetic-but hata kama na yeye ameapologise-but message delivered!, ohh, Roman empire ilikwisha, wazungu wanahistoria chafu etc! Well yote ni kweli lakini kama jamaa alivyosema hatuna ingenuity katika lolote! Iweje Profesor awe mkali Harvard au MIT akirudi kwao iwe zero? ok you say mazingira? kwa nini asiyabadirishe unafikiri yale ya Harvard au MIT yalijileta? yalitafutwa!

We angalia, kikubwa katika elimu ni kutumia hiyo elimu KUBADILI mazingira ya muhusika, baada ya vita ya pili ya dunia Japani, Korea Germany zilikuwa grounded to the ashes, leo wako wapi? unafikiri USA waliweka marshall plan kusudi waendelee na kuwazidi? Kamwe msaada hauwezi kukuendeleza..China leo inapiga hatua na tuinaangalia hivi hivi, tuko nao kitandani tukiwapa raslimali zetu kama madini na mafuta kwa peremende, kesho wakiwa superpower wakaanza kudictate terms tutaanza kulalamika hivi hivi! Leo Tanzania tunapewa misaada kibao lakini utakuta zaidi ya 60% ya bajeti ni administration kununua magari nk, JK juzi alikuwa na suprus expenditure Ikulu, ulizia ni ngapi na hizo hela zimekwenda wapi? I mean mi mpaka nachoka when I happen to think of Africa. Tutajaza visingizo lukuki, ila ukweli upo pale pale. WE ARE NOT SERIOUS tunaamini uzalendo ni kuishangilia timu ya taifa na kuvaa bendera ya taifa!!

Ushauri wangu, tukubali hali halisi na tuanze moja, tujue jukumu la kuiendeleza Africa na watu wake ni letu sisi waafrikca. Leo mpaka kijiko anacholia President kinatoka Ulaya, hata wembe anaotumia babu yangu kunyoa ndevu unatoka ulaya, jamani hiyo shule inatusaidia vipi? Hata wadogo zenu huku bongo wakisikia unakuja watakwambia "mzee niletee raba kutoka mtoni" Yes, thats the truth!

Its sad kusema kwamba race yetu ni inferior lakini zama hizi tunaishi ulimwengu wa kikatili mno, hakuna kuoneana huruma! Juzi nimeattend conference moja ya WTO ungesikia fugures katika nyanja za innovation na Africa iko wapi, ungelia. na imagine wakati delegation ya Korea ina wataalamu kama ishirini na wanasisa kama wawili, ya Tanzania ilikuwa na wanasisa kama kumi na technocrats wawili! talk of seriousness! what will you negotiate?
 
It is my understanding that the preponderance of evidence points to nurture rather than nature as the main contributor to IQ.

Augustine Moshi

Thats a flat out lie Agustine Moshi. What "evidence" are you referring to? IQ Test results? Or hard material evidence from everyday life? Africans are indeed mentally (i.e., intellectually) inferior to Europeans by virtue of genetic heritage (and I would go further to suggest that this also covers moral and ethical areas of human life).

Like Mr. Watson acknowledges; all one needs to appreciate this fact about Blacks in general and Africans in particular is through having first hand experience with Africans and African culture.
 
Intelligence I, is a function dependent on several variables, largely the environment E in which one was raised/brought up. The well upbringing of a child W, is a variable dependent on the same E plus the family capacity to live either poor P, good G, better B, very good VG, or Ececellent life El!

Using a mathemetical equation therefore;
I=f(E,W,....) and also W(E,G,B,VG,....,El), implying that f is a function-of-a-function (composite function). It is therefore hard to support or refute the argument on the basis of scientific evidence. However, on the social or human rights and sense of humour perspective, the evidence is 100% refutable.

Kwani source yta akili ni nini? Si ni training? Mtoto aliyekua kwenye familia maskini isiyokuwa na gari, huwezi ukamlaumu kuwa hajui kuendesha gari au ukasema kuwa haitatokea AKAWEZA kuendesha gari! Ni kwamba hajawahi kuwa trained, meaning that UKIMTRAIN, anaweza kuendesha gari.

Katika similar analog,huwezi ukasema mzungu asiyejua jina la tembo katika lugha ya kiswahili ni mjinga, au mwafrika asiyejua jina la nyoka kwa kiingereza ni mjinga pia! Nadhan tukiendelea kujadili hapa tutakuwa tuna-commit fallacy moja inaitwa ARGUMENTUM-AD-IGNORANTIUM, argument to ignorance.

Mind u, "FEELINGS OF INFERIORITY AND SUPERIORITY COMPLEX ARE THE SAME, THEY (BOTH) ORIGINATE FROM FEAR! Goodluck wana JF, kazi kwenu!
 
Kichuguu umesahau kwamba ni sisi wenyewe tunaowapigia kura hao viongozi kwa hiyo ni reflection YETU SISI. Wengi humu ni ukweli usiopingika haya maneno ya Watson yanatuuma and we are trying to be apologetic-but hata kama na yeye ameapologise-but message delivered!, ohh, Roman empire ilikwisha, wazungu wanahistoria chafu etc! Well yote ni kweli lakini kama jamaa alivyosema hatuna ingenuity katika lolote! Iweje Profesor awe mkali Harvard au MIT akirudi kwao iwe zero? ok you say mazingira? kwa nini asiyabadirishe unafikiri yale ya Harvard au MIT yalijileta? yalitafutwa!

We angalia, kikubwa katika elimu ni kutumia hiyo elimu KUBADILI mazingira ya muhusika, baada ya vita ya pili ya dunia Japani, Korea Germany zilikuwa grounded to the ashes, leo wako wapi? unafikiri USA waliweka marshall plan kusudi waendelee na kuwazidi? Kamwe msaada hauwezi kukuendeleza..China leo inapiga hatua na tuinaangalia hivi hivi, tuko nao kitandani tukiwapa raslimali zetu kama madini na mafuta kwa peremende, kesho wakiwa superpower wakaanza kudictate terms tutaanza kulalamika hivi hivi! Leo Tanzania tunapewa misaada kibao lakini utakuta zaidi ya 60% ya bajeti ni administration kununua magari nk, JK juzi alikuwa na suprus expenditure Ikulu, ulizia ni ngapi na hizo hela zimekwenda wapi? I mean mi mpaka nachoka when I happen to think of Africa. Tutajaza visingizo lukuki, ila ukweli upo pale pale. WE ARE NOT SERIOUS tunaamini uzalendo ni kuishangilia timu ya taifa na kuvaa bendera ya taifa!!

Ushauri wangu, tukubali hali halisi na tuanze moja, tujue jukumu la kuiendeleza Africa na watu wake ni letu sisi waafrikca. Leo mpaka kijiko anacholia President kinatoka Ulaya, hata wembe anaotumia babu yangu kunyoa ndevu unatoka ulaya, jamani hiyo shule inatusaidia vipi? Hata wadogo zenu huku bongo wakisikia unakuja watakwambia "mzee niletee raba kutoka mtoni" Yes, thats the truth!

Its sad kusema kwamba race yetu ni inferior lakini zama hizi tunaishi ulimwengu wa kikatili mno, hakuna kuoneana huruma! Juzi nimeattend conference moja ya WTO ungesikia fugures katika nyanja za innovation na Africa iko wapi, ungelia. na imagine wakati delegation ya Korea ina wataalamu kama ishirini na wanasisa kama wawili, ya Tanzania ilikuwa na wanasisa kama kumi na technocrats wawili! talk of seriousness! what will you negotiate?

Heshima yako mkuu,umeongea ukweli mtupu.Mie naona maneno ya huyo mzungu iwe challenge kwetu.Unajua tumemuona kama mbaguzi na kututukana,ila nadhani wenyewe kwa wenyewe mara nyingi huwa tunasema kuwa wazungu ni vichwa,tena hata tumeamua kuita vitu vizuri vyote vya kizungu. Don Imus alifukuzwa kazi kwa racial remarks,lakini ukiangalia yale maneno aliyotumia Don Imus yametoka kwenye jamii hiyo ya blacks,wanayatumia wenyewe kwa wenyewe,lakini alivyoyatumia yeye ni dhahiri alionekana ameonyesha dharau.Ni kweli huyu jamaa ametudharau kusema IQ yetu ndogo,ila hii ni challenge kwetu sisi,mtu hawezi kukuita mjinga bila kuwa na sababu,dunia nzima inalishangaa bara la afrika kuwa mkiani,ni kitu gani kimekosekana,ndio haya haya tuyaona kwa akina kikwete na EL kutumiwa na mkoloni RA kuuza nchi,hivi mtu kama RA akisema wTZ wote milioni 40 ni mazuzu tutakasirika au?
Watu weusi tuna safari ndefu ya kujikomboa kutoka katika hili aibu ya kudharauliwa kila kona.
 
Anayekutukana hakuchagulii tusi. Viongozi wa Africa ndio wanaiangusha Africa kwa sababu ya ulofa wao.

Robert Mugabe na mawaziri wake wamepigwa stop kwenda ulaya kutumbua pesa za walipa kodi - reaction wanalalamika na kuwatukana kwamba wanadhulumiwa their right of movement.

Waziri mwizi wa Kenya alipigwa stop kwenda UK - reaction anakata rufaa na kutumia pesa nyingi zaidi kisa aende UK.

Viongozi walio wengi wameweka mamillioni ya pesa za walipa kodi kwa njia ya wizi Ulaya n.k. mifano ya kina Mobutu etc. (bila kusahau akina tom, dick and Harry na vijisenti vyao)

Kwa hiyo wanapotucheka ujinga sio kwamba wanatuonea wanafahamu ni nini wale tuliowapa dhamana wanafanya kwa raia wao. Anagalieni upupu wa wageni na makampuni yao hewa yanavyotumaliza.
 
Mwanamaulindi,

Unaongea Bologna, kwa taarifa yako university ya Timbuktu (west afrika)inaizidi hizo zote za ulaya kwa miaka.Kama nilivyosema, mzungu ameanza juzi tu,na sayansi na falsafa amechukua kutoka kwa mwafrika,ni kweli afrika sasa hivi ina matatizo, but it was not always so, ulaya vilevile, walikuwa chini hata kushinda Afrika!Na ni mwafrika ndiye aliyemtoa mzungu katika ujinga!

Tatizo kubwa la waafrika ni kwamba tumegawanyika mno(kutokana na diversity yet, na dynamics nyingi sio IQ! kwahiyo ni rahisi maadui kututwanga.Tunachoitaji ni umoja zaidi.Lakini usidanganywe na mtu yoyote kwamba 'afrika haijawahi kuwa na university n.k' huo ndio uogo unaoloishwa na mzungu huyo unayemsujudia!!!

I know Timbuktu existed in the 12 th Century, but certainly was not the first in the world. Hebu nifahamishe mchango wa timbuktu university katika medani za sayansi katika dunia tunayoishi leo???
 
Nyani, tatizo haliko kwenye kusema kitu ambacho ni dhahiri, tatizo liko kwenye kanuni na msingi wa kile unachosema. Nikiamka asubuhi na kusema kuwa Mungu ameniambia kuwa Wanyakyusa wote ni nusu binadamu, watu lazima wahoji kama nilichokisema kinaendana na akili na msingi wa madai yangu (huyo Mungu wa ndotoni) kina mantiki yoyote.

Inapokuja kwenye maoni ya kisayansi, mwanasayansi hasemi kitu kisichona uhakika na hawezi kutoa kauli iliyohukumu pasipo kuonesha msingi wa hukumu hiyo. Mwanasayansi akisema tofauti ya mtu mweupe na mweusi ni kiasi cha melanin na mtu ambaye hana kabisa melanin au ana upungufu mkubwa aw melanini anaitwa albino, basi Madai ya mwanasayansi huyo yanaweza kupimwa na kuoneshwa ukweli wake.

Lakini Mwanasayansi huyo huyo anapokuja na kusema kwa vile watu weupe na weusi wanatofautiana kiasi cha melanin kwenye ngozi zao basi wale ambao wana melanin kidogo (weupe) wana akili zaidi na wale wenye melanin nyingi (weusi) wana akili kidogo inabidi aoneshe msingi wa madai hayo ya kuvuka toka tofauti ya melanin na kufikia tofauti ya akili.

Sasa yawezekena anasema kweli, lakini msingi wa ukweli huo ni nini?

A. Awe amefanya utafiti wa kundi kubwa la watu wenye rangi tofauti na mahali tofauti (wakiwemo Wahindi, Wachina, Wajapani n.k ) na kupima viinihai vyao vyote vinavyohusiana na akili.

B. Ahakikishe kuwa amecontrol factors nyingine zote anapofanya vipimo hivyo

C. Awe na kundi la kulinganishia (Control group) ambalo ingawa lina rangi zile zile lakini halipatiwi vitu fulani fulani.

D. Halafu apime aone tofauti ya akili.

Atangaze matokeo ya uchunguzi wake huo kwenye chombo kinachokubalika katika suala hilo e.g The Journal of Nature, American Medical Association Journal, The Jornal on Human Genetics etc

Akifanya hivyo basi aandike mbinu, taratibu, na njia alizotumia kufuatilia utafiti huo na kuweka wazi nadharia anayotaka kuthibitisha (he must provide all the data, methodology, and necessary information) kwa wanazuoni wengine ili waweze kurudia majaribio hayo (to repeat the experiment) na wakosoe mbinu zilizotumika (kama kuna ulazima) na waboreshe mchakato mzima wa kutafuta ukweli wa nadharia yake.

Sasa, endapo wanasayansi wengine duniani wakaurudia utafiti ule ule kwa kutumia sampuli kubwa zaidi na njia zilizoboreshwa zaidi, basi ile nadharia yake inakuwa zaidi ya nadharia na inaanza kukubalika kama msimamo wa kisayansi.

Sasa, Bw. Waston anaweza kuushawishi umma wa ulimwengu kama amefanya hivyo. So far, he hasn't and that renders his conclusion baseless, his theory unfounded and at best prejudicial if not an outright absurdity!!

Mwanakijiji, utaratibu unaotaka utumike katika ku-establish base ya results zake umewekwa na wazungu hao hao. Huo utaratibu haujawekwa na wakurya, wazanaki ama wasimbiti. Kwa hiyo sielewi unachoongea hapa. Ulichofanya wewe hapa ni kutumia utaratibu waliojiwekea kufanya research kupinga matokeo ya Dr.Watson. Dont you see kuwa hawa jamaa ni tofauti na sisi black people??
 
Yeye kasema hivi:

The 79-year-old geneticist reopened the explosive debate about race and science in a newspaper interview in which he said Western policies towards African countries were wrongly based on an assumption that black people were as clever as their white counterparts when "testing" suggested the contrary. He claimed genes responsible for creating differences in human intelligence could be found within a decade.

Sasa inavyoonekana kuna watu wanalifanyia kazi hilo swala ktk angle ya sayansi. Tusubiri tuone. Lakini mimi nasema hivi, mtu huhitaji kuwa mwanasayansi kutambua kwamba wazungu wametuzidi ktk mambo fulani fulani hasa ikija kwenye kutawala na kuyamudu mazingira tunayoishi. Na wala huhitaji kufanya utafiti wa kina kujua mtu/ watu fulani haku/hawakujaliwa kuwa na kipawa fulani. Unachohitaji ni macho na akili ya kawaida tu. Wewe mwenyewe hapo nadhani una uwezo wa kutambua mtu mwenye akili nyingi sana na mtu mwenye akili za kawaida bila ya kutumia vipimo vya sayansi na utafiti wowote ule wa kina. Kila siku hapa unammiminia sifa Nyerere kwa kuwa mtu mwenye upeo mkubwa sana. Je ulimpima akili yake kisayansi na kubainisha alikuwa na kiwango gani cha akili? Si ulitumia macho, masikio, na akili yako tu ya kuzaliwa kulitambua hilo?

Wewe mwenyewe huoni kama wazungu wametuzidi kwenye baadhi ya mambo? Afrika nzima kusini mwa jangwa la sahara (ukiondoa Afrika Kusini) ni maskini ya kutupwa. Je, umaskini huo ni wa akili au maliasili? Yaani mnataka kuniambia imetokea tu kama bahati mbaya kwamba Nchi zote hizo ziwe maskini...lakini Afrika Kusini ikaendelea sana.

Mambo mengine sio lazima uwe mwanasayansi kuyatambua. Na huyo huyo Watson angesema kwamba watu weusi wana nguvu zaidi ya watu weupe na ndio maana wanafanya vizuri sana ktk mambo ya michezo wala msingedai atuonyeshe utafiti alioufanya....Ni kweli hakuna mtu ambaye anapenda aonekane au ajulikane kuwa ni mjinga na hana akili na ndio maana wengi wanaona kama aliyoyasema ni ya kipumbavu lakini sijaona hata mmoja aliyekuja na findings za kudis-prove madai yake zaidi ya dismissal kama 'unfounded' , 'baseless', 'absurd' n.k.

Nyani katika hilo nitakuunga mkono mpaka mwisho wa mjadala huu. Niko nawe bega kwa bega.
 
Intelligence I, is a function dependent on several variables, largely the environment E in which one was raised/brought up. The well upbringing of a child W, is a variable dependent on the same E plus the family capacity to live either poor P, good G, better B, very good VG, or Ececellent life El!

Using a mathemetical equation therefore;
I=f(E,W,....) and also W(E,G,B,VG,....,El), implying that f is a function-of-a-function (composite function). It is therefore hard to support or refute the argument on the basis of scientific evidence. However, on the social or human rights and sense of humour perspective, the evidence is 100% refutable.

Kwani source yta akili ni nini? Si ni training? Mtoto aliyekua kwenye familia maskini isiyokuwa na gari, huwezi ukamlaumu kuwa hajui kuendesha gari au ukasema kuwa haitatokea AKAWEZA kuendesha gari! Ni kwamba hajawahi kuwa trained, meaning that UKIMTRAIN, anaweza kuendesha gari.

Katika similar analog,huwezi ukasema mzungu asiyejua jina la tembo katika lugha ya kiswahili ni mjinga, au mwafrika asiyejua jina la nyoka kwa kiingereza ni mjinga pia! Nadhan tukiendelea kujadili hapa tutakuwa tuna-commit fallacy moja inaitwa ARGUMENTUM-AD-IGNORANTIUM, argument to ignorance.

Mind u, "FEELINGS OF INFERIORITY AND SUPERIORITY COMPLEX ARE THE SAME, THEY (BOTH) ORIGINATE FROM FEAR! Goodluck wana JF, kazi kwenu!
Ndugu yangu Makanyanga unapoteza muda wako wewe una akili sana na wala usijisumbue kujibishana nao unaona sasa hakuna mtu alijibu ujumbe wako, hao hawataki kuelewa na hawajui nini maana ya intelijensia nigekushauri usiendelee kuchangia hii mada manake upeo wako unaonekana ni mkubwa sana ukilinganishwa na wengi humu, mimi nimechemsha....
 
..... Mtoto aliyekua kwenye familia maskini isiyokuwa na gari, huwezi ukamlaumu kuwa hajui kuendesha gari au ukasema kuwa haitatokea AKAWEZA kuendesha gari! Ni kwamba hajawahi kuwa trained, meaning that UKIMTRAIN, anaweza kuendesha gari.

Hoja ya msingi hapa ni kuwa gari halikuteremshwa kutoka mbinguni. Limetengenezwa na wanadamu. Jiulize kwa nini binadamu wa race fulani ameweza kuvumbua gari wakati binadamu anayetoka katika race nyingine ameshindwa kuvumbua hata tairi la gari???? Hoja si kuendesha gari. Ni sawa na wewe ulivyotumia "equations" za mathematics utake kujilinganisha Johann Carl Friedrich GAUSS "mathematician of the Millenium"
 
Lab suspends DNA pioneer Watson

His comments led event organisers to cancel his appearances
The Nobel Prize-winning DNA pioneer James Watson has been suspended by his research institution in the US.
Dr Watson has drawn severe criticism over remarks he made in a British newspaper at the weekend.

In the interview, he was quoted as saying Africans were less intelligent than Europeans.

The Cold Spring Harbor Laboratory had already distanced itself from the scientist's comments but its trustee board has also now suspended him.

A statement from the Long Island, New York, institution said the action was being taken "pending further deliberation by the board".

Unreserved apology

Dr Watson was due to give a lecture at the Science Museum in London on Friday as part of a book tour. But the museum cancelled the event, saying the scientist had gone beyond the point of acceptable debate.

The Bristol Festival of Ideas has also cancelled an appearance by Dr Watson.

And further critical comment of Dr Watson's views has come from Dr Craig Venter, the scientist/businessman who led the private effort to decode the human genome, and who, by coincidence, is also visiting the UK to promote a book.

"Skin colour as a surrogate for race is a social concept not a scientific one," Dr Venter said. "There is no basis in scientific fact or in the human genetic code for the notion that skin colour will be predictive of intelligence."

Dr Watson helped unravel the structure of DNA

Profile: Dr James Watson
In his Sunday Times interview, Dr Watson was quoted as saying he was "inherently gloomy about the prospect of Africa" because "all our social policies are based on the fact that their intelligence is the same as ours - whereas all the testing says not really".

He was further quoted as saying that his hope was that everyone was equal but that "people who have to deal with black employees find this is not true".

The scientist has since said that the way the words were presented did not reflect properly his position.

"I can certainly understand why people, reading those words, have reacted in the ways they have," he said.

"To all those who have drawn the inference from my words that Africa, as a continent, is somehow genetically inferior, I can only apologise unreservedly.

"That is not what I meant. More importantly from my point of view, there is no scientific basis for such a belief."

Scientific endeavour

And in comments published in The Independent newspaper on Friday, Dr Watson tries to clarify his position.

"We do not yet adequately understand the way in which the different environments in the world have selected over time the genes which determine our capacity to do different things," he is quoted as saying. "The overwhelming desire of society today is to assume that equal powers of reason are a universal heritage of humanity.

"It may well be. But simply wanting this to be the case is not enough. This is not science. To question this is not to give in to racism. This is not a discussion about superiority or inferiority, it is about seeking to understand differences, about why some of us are great musicians and others great engineers."

Dr Watson was a joint winner in 1962 of the Nobel Prize for discovering the structure of DNA, the molecule that lies at the heart of heredity in living organisms.

When, some 40 years later, scientists were finally able to read all of the DNA in our cells they were able to show that there was no scientific basis for the concept of race.

People from different racial groups can be more genetically similar than individuals within the same group. Genetic studies show that there is more variability in the gene pool in Africa, than outside.
 
Ndugu yangu Makanyanga unapoteza muda wako wewe una akili sana na wala usijisumbue kujibishana nao unaona sasa hakuna mtu alijibu ujumbe wako, hao hawataki kuelewa na hawajui nini maana ya intelijensia nigekushauri usiendelee kuchangia hii mada manake upeo wako unaonekana ni mkubwa sana ukilinganishwa na wengi humu, mimi nimechemsha....

Kijakazi,
Nakuomba uchangie na wala si kukatisha tamaa wengineo. Kila mtu ana wakati wake. Kwa ndugu Makanyanga kutoa hoja yake na watu kutoijibu (walau katika muda unaotaka wewe) haimaanishi kuwa yeye anawazidi wote wasiojibu hiyo 'intelijensia' unayosema. Je, na kwenye hili umechemsha tena?!

BTW, kuna wakati nami nitaiongelea hii hoja katika mandhari iliyopo sasa hivi au nyingineyo katika thread nyingine.

SteveD.
 
ni vizuri kuona huu mjadla bado unaendelea

nitarudi kujibu hoja za baadhi ya waheshimiwa
 
Kitendo cha hii post kuendelea kuwepo, PENGINE ni ushahidi tosha kuwa akili zetu Waafrica haziko sawa.

I mean, kuna lipi la kujadili hapa???
 
Yebo Yebo ahhhhhh........ vipi tena muungwana? hatuwezi kukimbia kivuli chetu! or can we?
 
Back
Top Bottom