Waafrika ndivyo tulivyo?

Waafrika ndivyo tulivyo?

Tukubali tusikubali waafrika (na hapa ninawaongelea wabantu wanaotoka kusini mwa jangwa la sahara) IQ yetu ni ndogo. Kusoma vyuo vya ulaya haitoshi kuonyesha kuwa IQ yetu ni sawa na waliojenga misingi ya elimu ya magharibi. Nitawapa mifano:

The University of Bologna is one of the oldest universities in the world. It was founded in the western world (AD 1088).University of Paris was founded in 12th century. University of Oxford developed rapidly from 1167, when Henry II banned English students from attending the University of Paris.

Niliwahi kuuliza kwenye posti Fulani somewhere. Sisi kipindi hicho tulikuwa tunafanya nini?? Hapa ndipo issue ya IQ inapoibuka. Kuna mambo mawili hapa naona baadhi yetu tunataka kuchanganya. Elimu na IQ ni vitu viwili tofauti. Unaweza

kuelimika lakini IQ ni sifuri. Na huyu professor anaongelea Intelligency. It is not about Sumaye Kusoma Harvard University (elimu).

Hivi mlishawahi kujiuliza kwa nini mwafrika alimuuza mwafrika mwenzake wakati wa biashara ya utumwa? Uliwahi kusikia kuwa ufalme wa mwanamutapa ulikuwa na watumwa kutoka nchi za magharibi??

Angalia Nigeria. Pamoja na kuwa ni nchi ya tano kwa utajiri wa mafuta duniani, kuna matatizo makubwa ya umeme. Yet, Nigeria ina vyuo vikuu zaidi ya 40.

Hivi mmewahi kujiuliza ni nchi gani ya magharibi ambayo imewahi kuingizwa katika mikataba mibovu na wawekezaji kutoka afrika? Why afrika?? Is not the case that our IQ is both narrow and shallow??

Kwa kifupi mimi namuunga mkono huyo professor. Waafrika tutake, tusitake ndivyo tulivyo. IQ yetu ni ndogo, ndio maana tuna raslimali za kutosha lakini bado tunaomba misaada kutoka nje! Tuna hospitali ya muhimbili lakini viongozi wetu bado wanapata matibabu katika nchi za magharibi, tuna ardhi na mito ya kutosha lakini tumeshindwa kuanzisha kilimo cha umwagiliaji.

Najua akina kijakazi watasema, dereva wa Mercedez Benz na aliyetengeneza mercedez benz wote ni sawa, eti kwa sababu kila mmoja ana uwezo wa kuendesha Mercedez Benz.

Naomba kutoa hoja.

wew mwanamalundi ngoja nikuulize swali dogo/kubwa sana kwako naomba unipe nini maana ya IQ na naomba unieleze kisayansi kama inatumika na siyo jinsi unavyofikira wewe, kwa maana hicho ndicho kigezo cha msingi wote wa majadiliano haya na huyo MWIZI watson katumia kigezo cha IQ, baada ya hapo nitakujibu/kukuelezea maswali yako..asante
 
Je hao watu wenye akili kukuzidi wasingemchagua mtu kama joji bush.....ambaye alishinda kwa kura nyingi tuu mara ya pili ingawaje hao watu unaowaabudu walijua fika kwamba jamaa ni bomu kichwani, wasingekubali kuishi ktk nchi ambayo inatumia pesa zao za kodi kwenda kuvamia nchi nyingine kwa manufaa yasiyo ya taifa bali ya watu binafsi,wasingekubali kuishi ktk nchi ambayo asilimia 5 ya wananchi wanashikilia uchumi wa nchi nzima, wasingekubali kuishi ktk nchi ambayo matajiri tuu ndio wana bima ya maisha ingawaje watu wote wanalipa kodi, wasingekubali kusihi ktk nchi ambayo maskandali kama ya enroni ambapo mtu mmoja au wawili ametumia fedha na kufirisi moja kati ya mashirika makubwa dunia na kuteketeza akiba za uzeeni za watu zaidi ya 10,000 kwa manufaa yake binafsi kama wao wangekua na akili haya yote na mengineo mengi yasingetokea.... itaendelea

Ndugu yangu wewe Kijakazi, mfano au mlinganisho wako ni mbovu. Kwanza sidhani kama Joji Bushi ni zuzu au ni mtu asiye na akili. Tatizo lake yeye sio mzungumzaji mzuri na hilo halina uhusiano wowote na akili ya mtu. Kamwulize Al Gore au John Kerry...wamewahi ku-debate naye na kama unafuatilia kwa ukaribu siasa za Marekani nadhani utakuwa unajua hype iliyokuwepo kwa Gore na Kerry kwamba wangem-smash Bushi kwenye mdahalo because he is not all that intelligent....
Pili, Marekani wanaweza kufanya chochote kile wanachotaka kwa sababu wanaweza. Sasa unapolinganisha maamuzi ya kuivamia Iraq based on false intelligence, pretexts, and etc. na uozo unaoendelea Africa, una miss point...
 
Kijakazi, jina lako ni ushahidi tosha wa yale aliyoyasema Watson. Baada ya kufanywa na Mjakazi na kuhasiwa umebaki kuwa msenge unaetafuta mabwana kwa nguvu kwenye net.

Kwa akili yako ya kisenge kusoma vyuo vikuu vya ulaya ndio kuwa na IQ nyingi sio. Well if thats the case I have every reason now to agree with what Watson has said.......
ebu naombeni msome huyu jamaa jibu lake la maswali yangu... alafu muone kama tutafika popote ktk kujadili hili swala, hivi kuna mahali mimi nimesema kwamba kusoma ulaya ndio kua na IQ nyingi? mimi nilichosema ni KWAMBA KAMA WAAFRIKA WANAAKILI/IQ NDOGO KAMA MNAVYODHANIA BASI WASINGEWEZA KUSOMA DARASA MOJA NA WATU WENYE AKILI NYINGI WA HUKO ULAYA MNAOWASEMA.. NA IKUMBUKWE KWAMBA WANAPOONGELEA IQ WANAMAANISHA AKILI ZA DARASANI NA UKITAKA KUJUA ANGALIA JARIBIO LA IQ LINAVYOFANYWA, KWA HIYO KAMA HICHO NDIO KIGEZO NDIO MAANA NIKAULIZA INAKUAJE WATU WENYE AKILI NDOGO WANAWEZA KUSOMA NA KUJADILI MAMBO NA WATU WENYE KUBWA NA MWISHOWE WOTE AU WALE WANAODHANIWA KUWA WANA AKILI NDODO NDIO WANAFAULU VIZURI.. NA NDIO MAANA NIKAULIZA NINI MAANA YA IQ?????? AU JARIBIO LAKE LINAFANYWAJE????; KUMBUKA SHULE MSINI TUNAFUNDISHA KWAMBA TAFADHALI SOMA KWANZA MASWALI UELEWE UNAULIZWA NINI KABLA YA KUANZA KUJIBU, WALE WALIOSEMA HIVYO WANA MAANA SANA, NA NI MOJA YA SABABU YA MIMI KUPATA POINT 4 DARSA LA KUMI NA NNE, KWA MAANA NILIKUA NA TABIA HIYO YA KUSOMA KABLA YA KUANZA KUANDIKA
 
Ndugu yangu wewe Kijakazi, mfano au mlinganisho wako ni mbovu. Kwanza sidhani kama Joji Bushi ni zuzu au ni mtu asiye na akili. Tatizo lake yeye sio mzungumzaji mzuri na hilo halina uhusiano wowote na akili ya mtu. Kamwulize Al Gore au John Kerry...wamewahi ku-debate naye na kama unafuatilia kwa ukaribu siasa za Marekani nadhani utakuwa unajua hype iliyokuwepo kwa Gore na Kerry kwamba wangem-smash Bushi kwenye mdahalo because he is not all that intelligent....
Pili, Marekani wanaweza kufanya chochote kile wanachotaka kwa sababu wanaweza. Sasa unapolinganisha maamuzi ya kuivamia Iraq based on false intelligence, pretexts, and etc. na uozo unaoendelea Africa, una miss point...
Haya mwingine huyu mbona unajibu maswali nusu nusu, kwa nini hunijibu hayo mengine.......
 
Kijakazi unacho-miss wewe ni kudhania kwamba mafanikio ya darasani ndio kuwa na IQ kubwa. Kusoma mavitabu na kujadili dhana sio hoja na wala hilo halina rangi. Hoja ni Ingenuity.
 
Kijakazi unacho-miss wewe ni kudhania kwamba mafanikio ya darasani ndio kuwa na IQ kubwa. Kusoma mavitabu na kujadili dhana sio hoja na wala hilo halina rangi. Hoja ni Ingenuity.
SIYO HIVYO NYANI NGABU HAPA TUNAJADILI KUHUSU HOJA MWIZI WATSON YA KWAMBA WATU WEUPE WANA IQ KUBWA KULIKO WEUSI NA KIGEZO ALICHOTUMIA NI JARIBIO LA IQ... NA NDIO MAANA NAULIZA TENA HILO JARIBIO LINAFANYWAJE??????? NA NAOMBA JIBUI LA HILO SWALI JAMANI......
 
KWA HIYO UNAKUBALI KWAMBA WATU WEUPE WAKO MORE INGENIOUS KULIKO WATU WEUSI? NDIO AU HAPANA?
 
KWA HIYO UNAKUBALI KWAMBA WATU WEUPE WAKO MORE INGENIOUS KULIKO WATU WEUSI? NDIO AU HAPANA?
HIVI WEWE JUNA MATATIZO GANI LKNI MBONA UNAJIBU MASWALI JINSI UNAVYOPENDA WEWE UNACHOMOA KASENTENSI HALAFU UNGEUZA NDIO MAANA YA AYA NZIMA, iVI MIMI KWELI NIMESEMA HIVYO?????????????
 
HIVI WEWE JUNA MATATIZO GANI LKNI MBONA UNAJIBU MASWALI JINSI UNAVYOPENDA WEWE UNACHOMOA KASENTENSI HALAFU UNGEUZA NDIO MAANA YA AYA NZIMA, iVI MIMI KWELI NIMESEMA HIVYO?????????????

JIBU SWALI: NDIYO AU HAPANA?
 
....sasa unakuwa kama umepandwa na mashetani....kwikwikwikwiiiii
 
Msitoane ngeu tu. Teh teh teh..............
 
wew mwanamalundi ngoja nikuulize swali dogo/kubwa sana kwako naomba unipe nini maana ya IQ na naomba unieleze kisayansi kama inatumika na siyo jinsi unavyofikira wewe, kwa maana hicho ndicho kigezo cha msingi wote wa majadiliano haya na huyo MWIZI watson katumia kigezo cha IQ, baada ya hapo nitakujibu/kukuelezea maswali yako..asante

Kijakazi soma makala ya Dr.Watson. Yeye ndio amefanya huo utafiti. Sisi hapa JF tunachojadili ni relevance ya matokeo ya utafiti wake. Hilo ni moja.

Pili, definition ya IQ unayoifahamu wewe inawezekana kuwa na utofauti mkubwa na ile aliyoitumia huyo Dr.Watson.

Kwa mawazo yako, unaamini mfamasia anayechanganya madawa na aliyegundua chemicals& formula ya kuchanganya hayo madawa wana IQ sawa.

Kwa mawazo yako, unaamini aliyegundua engine ya gari na fundi makenika anayeweza kufungua na kufunga engine ya gari wote wana IQ sawa

Kwa mawazo yako, unaamini aliyegundua kutengeneza saa na fundi saa wote wana IQ sawa

Kwa mawazo yako, pythogras na aliyepata "A" ya mathematics katika mtihani wa mathematics wote wana IQ sawa.

Kwa mtazamo wangu. Mtanzania aliyegundua kutengeneza togwa ana IQ kubwa kuliko graduate aliyeajiriwa na kiwanda cha coca cola kuchanganya kemikali zinazozalisha soda. The trouble is, however, we do not see any further evolution ya togwa. And this is where the IQ ya aliyetengenezwa togwa inapokuwa questionable.

Kwanza sidhani kama Joji Bushi ni zuzu au ni mtu asiye na akili. Tatizo lake yeye sio mzungumzaji mzuri na hilo halina uhusiano wowote na akili ya mtu. Kamwulize Al Gore au John Kerry...wamewahi ku-debate naye na kama unafuatilia kwa ukaribu siasa za Marekani nadhani utakuwa unajua hype iliyokuwepo kwa Gore na Kerry kwamba wangem-smash Bushi kwenye mdahalo because he is not all that intelligent....
Pili, Marekani wanaweza kufanya chochote kile wanachotaka kwa sababu wanaweza. Sasa unapolinganisha maamuzi ya kuivamia Iraq based on false intelligence, pretexts, and etc. na uozo unaoendelea Africa, una miss point...

Kumbe saa nyingine ukiamua kuongea vitu vya maana unaweza lakini utoto unakusumbuaga saa nyingine ! Haya mkuu wee endelea kumwaga vitu kama hivyo na si mitusi ! Good Job.
 
Iam a proud African! BUT....

Wafrica bwana uwezo wetu wa KUFIKRI NI MDOGO! Narudia tena ni MDOGO tena sana. Tutake tusitake, hata kama ungechukua watanzania 500 kila mwaka ukapeleka HARVARD au OXFORD sidhani kama tungebadilika. Huyu mzungu watu mmutukane msimutukane, lakini ukweli uko pale pale we are just a bunch of hopeless humans!

Wanaotaka evidence kuprove hili kama mko ulaya na USA mrudi bongo (na labda angekuwa amekosea kwenye utafiti kama angesema Tanzania tuu) lakini kasema Africa nzima, sasa angalia katika nchi hamsini na tatu za Africa matatizo yetu yanafanana, umasikini wa kutupwa, rushwa, laani ya raslimali zetu kama mafuta na madini, tunauana wenyewe kwa wenyewe..vita nk was this by coincidence? We angalia wanaoenda kusoma huko ulaya maharvard na maoxford na kwingineko wakirudi (kwa wale wanaorudi) tukiwapa madaraka ndo wanaanza kuhamisha mali zetu na kupeleka ulaya na familia zao, nyumbani inakuwa ugenini (angalia Balali and co) uongozi ni business to make money, yaani kifupi I fully support this argument waafrica uwezo wetu wa kufikiri ni mdogo, kwa sababu what else could be the problem?

Apologists niambieni? "call spade a spade not a farming implement"

Tuache unazi wa kujifanya tunatetea uafrica wetu, ukweli ni kwamba unless we prove otherwise, we will remain appropriate case study by Messr Watson!
 
Halafu unajua kitu kingine ni nini...haina hata haja ya kupelekam watu Harvard au Oxford. Hivyo ni vyao na vimeundwa. Na sisi tuunde vya kwetu ili nao wawe wanaleta watu wao kusoma kwenye vyuo vyetu. Apologists watasema mazingira yetu bado hayaruhusu kuwa na vyuo vya namna...my ass...who is responsible kujenga hayo mazingira mazuri....mi sijui...labda yanaletwa na Mungu
 
...who is responsible kujenga hayo mazingira mazuri....mi sijui...labda yanaletwa na Mungu

Ngabu,
Jina la Mungu hutumika sana kufunika mambo. JK aliwahi kusema tumwombe Mungu atuletee mvua. Hiyo ndiyo creative solution ya tatizo la ukame. Mkiambiwa watitu mko less intelligent, mnakuja mbogo...these are racists.
 
Back
Top Bottom