KadaMpinzani
JF-Expert Member
- Jan 31, 2007
- 3,715
- 93
Nyinyi wote humu ndani mnaomuunga mkono huyo jamaa hamna akili, kwani IQ manake nini??? kama ingekua sisi hatuna akili kiasi hicho na kama huyo msenge masatu anavyosema basi waafrika wanaomaliza sekondary africa wasingeweza kusoma ktk vyuo vikuu ulaya kwa maana wangefeli muhula wa kwanza, madaktari wa afrika wasingeweza kufanya kazi ulaya, baadhi ya makampuni makubwa yasingeweza kuongozwa na waafrika. Mimi nasema kila siku tatizo la watu humu ktk hii foramu ni uwezo mdogo wa kufikiri wanashindwa kuelewa kwamba kinachomtofautisha mtoto mmoja na mwingine ni ni mazingira anayokulia, kama einstein angezaliwa masasi ktk kijiji chetu hakuna mtu angemmjua, kwa hiyo huyo watson wa dna nae hana akili, kwanza baiologia sio sayansi na huwezi kuwa na uwezo mzuri wa kufikiri kama umesoma bailogia kwa maana sio sayansi ya kweli bali ni ubabaishaji tu, kama akili zingekua zinarithiwa basi watoto waakina eistein, gauss, feynmann na wengineo basi nao wangekua maarufu. kupata nobel sio hoja huyo watson hana akili, ni lazma muelewe kuwa nobel ni bahati a haihusiani chochote na akili za mtu,... nitaendelea baadae lkni watu kama akina masatu nyani ngabu wanapaswa KUULIWA.....
heheee, subiri wakuskie !