Wa mwisho ndiyo mshindi

Tofali jengea nyumba,mwili upe chakula bora na matunda la sivyo afya yako itayumba wazushi walete zao kasumba kwamba mwenzetu lile gonjwa limekukumba[emoji85] anyway naomba kuuliza kwa hapa Dar wapi wanauza pumba?
Pumba zinauzwa tandale, tangu enzi zamani za kale, tunakula ugali na kambale, kipindi hiko diamond hajahamia madale[emoji1] [emoji13]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…