Wa mwisho ndiyo mshindi

Madogo wanacheza mpira kwenye uwanja wa kanisani.
Hii ni aina gani ya neno,
Tukumbushane enzi zetu za kidato cha 2.
Kuhusu aina gani ya maneno iliyotumika hapo juu......
 
Anaongoza ila hajafikia kilele, tusubiri kipeng'a cha mwisho
 
Mshindi haswa, tusubiri Januari 2017 achukue madaraka
 
Madaraka matamu bwana hongera sana Trump
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…