gbefa JF-Expert Member Joined Jun 1, 2016 Posts 3,807 Reaction score 15,846 Oct 28, 2016 #19,081 medsebapol said: Nene waga sio tamu kama nyembamba Click to expand... Nyenyamba sana ainogi iwe wastani
medsebapol said: Nene waga sio tamu kama nyembamba Click to expand... Nyenyamba sana ainogi iwe wastani
fansureboy JF-Expert Member Joined Mar 16, 2015 Posts 271 Reaction score 320 Oct 28, 2016 #19,082 gbefa said: Nyenyamba sana ainogi iwe wastani Click to expand... Iwe wastani nn tena hyo
supermarket JF-Expert Member Joined Sep 10, 2016 Posts 7,453 Reaction score 10,968 Oct 28, 2016 #19,083 fansureboy said: Iwe wastani nn tena hyo Click to expand... Hiyo ndoa ifungwe kanisani isiwe ndoa ya mkeka
fansureboy said: Iwe wastani nn tena hyo Click to expand... Hiyo ndoa ifungwe kanisani isiwe ndoa ya mkeka
fansureboy JF-Expert Member Joined Mar 16, 2015 Posts 271 Reaction score 320 Oct 28, 2016 #19,084 supermarket said: Hiyo ndoa ifungwe kanisani isiwe ndoa ya mkeka Click to expand... Ndoa ya mkeka haina gharama na haiitaji watu wengi ni mashahid wawili wa kila upande na Ustadh bas
supermarket said: Hiyo ndoa ifungwe kanisani isiwe ndoa ya mkeka Click to expand... Ndoa ya mkeka haina gharama na haiitaji watu wengi ni mashahid wawili wa kila upande na Ustadh bas
supermarket JF-Expert Member Joined Sep 10, 2016 Posts 7,453 Reaction score 10,968 Oct 28, 2016 #19,085 fansureboy said: Ndoa ya mkeka haina gharama na haiitaji watu wengi ni mashahid wawili wa kila upande na Ustadh bas Click to expand... Basi bwana ndo hivyo kiutani utani jamaa tumempa jiko
fansureboy said: Ndoa ya mkeka haina gharama na haiitaji watu wengi ni mashahid wawili wa kila upande na Ustadh bas Click to expand... Basi bwana ndo hivyo kiutani utani jamaa tumempa jiko
supermarket JF-Expert Member Joined Sep 10, 2016 Posts 7,453 Reaction score 10,968 Oct 28, 2016 #19,086 fansureboy said: Ndoa ya mkeka haina gharama na haiitaji watu wengi ni mashahid wawili wa kila upande na Ustadh bas Click to expand... Basi bwana ndo hivyo kiutani utani jamaa tumempa jiko
fansureboy said: Ndoa ya mkeka haina gharama na haiitaji watu wengi ni mashahid wawili wa kila upande na Ustadh bas Click to expand... Basi bwana ndo hivyo kiutani utani jamaa tumempa jiko
fansureboy JF-Expert Member Joined Mar 16, 2015 Posts 271 Reaction score 320 Oct 28, 2016 #19,087 supermarket said: Basi bwana ndo hivyo kiutani utani jamaa tumempa jiko Click to expand... Jiko lenyewe lina pigo za Ki sisterdu
supermarket said: Basi bwana ndo hivyo kiutani utani jamaa tumempa jiko Click to expand... Jiko lenyewe lina pigo za Ki sisterdu
supermarket JF-Expert Member Joined Sep 10, 2016 Posts 7,453 Reaction score 10,968 Oct 28, 2016 #19,088 fansureboy said: Jiko lenyewe lina pigo za Ki sisterdu Click to expand... Sisterdu ameolewa sasa hivi anajiheshimu katika ndoa yake amebadilika sio yule ya zamani kabla hajapata stara
fansureboy said: Jiko lenyewe lina pigo za Ki sisterdu Click to expand... Sisterdu ameolewa sasa hivi anajiheshimu katika ndoa yake amebadilika sio yule ya zamani kabla hajapata stara
fansureboy JF-Expert Member Joined Mar 16, 2015 Posts 271 Reaction score 320 Oct 28, 2016 #19,089 supermarket said: Sisterdu ameolewa sasa hivi anajiheshimu katika ndoa yake amebadilika sio yule ya zamani kabla hajapata stara Click to expand... Stara inamfanya awe mwema ila sina uhakka km ataacha kabisa mambo yake yale ya starehe
supermarket said: Sisterdu ameolewa sasa hivi anajiheshimu katika ndoa yake amebadilika sio yule ya zamani kabla hajapata stara Click to expand... Stara inamfanya awe mwema ila sina uhakka km ataacha kabisa mambo yake yale ya starehe
supermarket JF-Expert Member Joined Sep 10, 2016 Posts 7,453 Reaction score 10,968 Oct 28, 2016 #19,090 fansureboy said: Stara inamfanya awe mwema ila sina uhakka km ataacha kabisa mambo yake yale ya starehe Click to expand... Starehe zina muda wake, kuna muda ukifika kijana anaamua kutulia
fansureboy said: Stara inamfanya awe mwema ila sina uhakka km ataacha kabisa mambo yake yale ya starehe Click to expand... Starehe zina muda wake, kuna muda ukifika kijana anaamua kutulia
fansureboy JF-Expert Member Joined Mar 16, 2015 Posts 271 Reaction score 320 Oct 28, 2016 #19,091 supermarket said: Starehe zina muda wake, kuna muda ukifika kijana anaamua kutulia Click to expand... Kutulia kuna tegemea na marafiki ulonao kwan km hutaachana na marafiki wapenda starehe bas utaendelea kuzifanya
supermarket said: Starehe zina muda wake, kuna muda ukifika kijana anaamua kutulia Click to expand... Kutulia kuna tegemea na marafiki ulonao kwan km hutaachana na marafiki wapenda starehe bas utaendelea kuzifanya
supermarket JF-Expert Member Joined Sep 10, 2016 Posts 7,453 Reaction score 10,968 Oct 28, 2016 #19,092 fansureboy said: Kutulia kuna tegemea na marafiki ulonao kwan km hutaachana na marafiki wapenda starehe bas utaendelea kuzifanya Click to expand... Utaendelea kuzifanya tabia zako kama huitaki ndoa na hutaki majukumu unataka kuendelea na michepuko
fansureboy said: Kutulia kuna tegemea na marafiki ulonao kwan km hutaachana na marafiki wapenda starehe bas utaendelea kuzifanya Click to expand... Utaendelea kuzifanya tabia zako kama huitaki ndoa na hutaki majukumu unataka kuendelea na michepuko
medsebapol JF-Expert Member Joined Jul 16, 2015 Posts 327 Reaction score 225 Oct 28, 2016 #19,093 fansureboy said: Kutulia kuna tegemea na marafiki ulonao kwan km hutaachana na marafiki wapenda starehe bas utaendelea kuzifanya Click to expand... Kuzifanya starehe kuna kikomo asa pale ukianza kutegemewa na familia
fansureboy said: Kutulia kuna tegemea na marafiki ulonao kwan km hutaachana na marafiki wapenda starehe bas utaendelea kuzifanya Click to expand... Kuzifanya starehe kuna kikomo asa pale ukianza kutegemewa na familia
fansureboy JF-Expert Member Joined Mar 16, 2015 Posts 271 Reaction score 320 Oct 28, 2016 #19,094 supermarket said: Utaendelea kuzifanya tabia zako kama huitaki ndoa na hutaki majukumu unataka kuendelea na michepuko Click to expand... Michepuko haiepukiki ktk maisha ingawa inapunguzika
supermarket said: Utaendelea kuzifanya tabia zako kama huitaki ndoa na hutaki majukumu unataka kuendelea na michepuko Click to expand... Michepuko haiepukiki ktk maisha ingawa inapunguzika
supermarket JF-Expert Member Joined Sep 10, 2016 Posts 7,453 Reaction score 10,968 Oct 28, 2016 #19,095 fansureboy said: Michepuko haiepukiki ktk maisha ingawa inapunguzika Click to expand... Zika kaburini na kufukia tabia zote chafu unapotaka kuijenga familia bora
fansureboy said: Michepuko haiepukiki ktk maisha ingawa inapunguzika Click to expand... Zika kaburini na kufukia tabia zote chafu unapotaka kuijenga familia bora
supermarket JF-Expert Member Joined Sep 10, 2016 Posts 7,453 Reaction score 10,968 Oct 28, 2016 #19,096 medsebapol said: Kuzifanya starehe kuna kikomo asa pale ukianza kutegemewa na familia Click to expand... Familia inajengwa kwa misingi bora
medsebapol said: Kuzifanya starehe kuna kikomo asa pale ukianza kutegemewa na familia Click to expand... Familia inajengwa kwa misingi bora
atug JF-Expert Member Joined Apr 2, 2012 Posts 2,821 Reaction score 3,618 Oct 28, 2016 #19,097 supermarket said: Familia inajengwa kwa misingi bora Click to expand... Misingi bora huwekwa na muhusika mwenyewe asitegemee kutoka kwa watu baki
supermarket said: Familia inajengwa kwa misingi bora Click to expand... Misingi bora huwekwa na muhusika mwenyewe asitegemee kutoka kwa watu baki
supermarket JF-Expert Member Joined Sep 10, 2016 Posts 7,453 Reaction score 10,968 Oct 28, 2016 #19,098 atug said: Misingi bora huwekwa na muhusika mwenyewe asitegemee kutoka kwa watu baki Click to expand... Watu baki wengine hawapendi maendeleo
atug said: Misingi bora huwekwa na muhusika mwenyewe asitegemee kutoka kwa watu baki Click to expand... Watu baki wengine hawapendi maendeleo
atug JF-Expert Member Joined Apr 2, 2012 Posts 2,821 Reaction score 3,618 Oct 28, 2016 #19,099 supermarket said: Watu baki wengine hawapendi maendeleo Click to expand... Maendeleo yataletwa na sisi wenyewe
supermarket said: Watu baki wengine hawapendi maendeleo Click to expand... Maendeleo yataletwa na sisi wenyewe
supermarket JF-Expert Member Joined Sep 10, 2016 Posts 7,453 Reaction score 10,968 Oct 28, 2016 #19,100 atug said: Maendeleo yataletwa na sisi wenyewe Click to expand... Wenyewe tupo bize na kuogelea kumbe nguo zinaibiwa na wezi
atug said: Maendeleo yataletwa na sisi wenyewe Click to expand... Wenyewe tupo bize na kuogelea kumbe nguo zinaibiwa na wezi