supermarket
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,453
- 10,970
Wazo zuri mkuu:Nataka kuanzisha miwanda kdg chakutengeneza chakula cha kuku bleed za kuku chotala,kari,kienyeji pure, Malawi, NK …… ninamtaji wa million 6
pls mwenye ideal na biashara hii naomba anipe
Muhimu mume kutambua majukumu yake katika ndoaFamilia hubebwa na mke, ndg.yangu kama hujui role ya mke nyumbani nayo ni muhimu...
Ndoa ambazo hazijafungwa kwa nyumba za ibadaMuhimu mume kutambua majukumu yake katika ndoa
Watoto wetu tuwalee katika maadili sahihi ya diniFamilia inayofuata mafundisho ya dini, yamtaka mume atafute, mke alee watoto.
Dini zimekuwa chanzo cha mapato kwa wahuniWatoto wetu tuwalee katika maadili sahihi ya dini
Wakoloni hasa wamisionari na waarabuDini tuliletewa na wakoloni
Mila na desturi zetu ni kuishi kwa upendoWaarabu ama wazungu, hata sisi tuna taratibu zetu zinazotuongoza katika maadili mema ya mila na desturi.
Upendo haupo katika maneno, bali unaonekana kwa matendoMila na desturi zetu ni kuishi kwa upendo
Matendo yake ni mema anasali na kuishi vizuri na majiraniMtu mwema utamjua kwa matendo yake
Wengine ni kuendekeza tamaa za miili yaoMajirani wengine bana, wanashinda na kanga moja na kusababsha majanga kwa wengine
Majanga ya asili ni vigumu kuyakabili kwa nchi za uchumi was tatu 3rd world countriesWengine ni mawazo yao machafu tu, avaacho mtu hakisababishi majanga