supermarket
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,453
- 10,970
Kasi ya pepo za kusi kuanza ni dalili ya mvua za mwaka kuanza wakulima kuandaa shambaBaharini kuna upepo wa kusini na kaskazini unapokuwa ndani ya jahazi unapaswa kushiriki ubaharia chombo kikisukumwa kwa kasi.....
Shamba la bibi litabaki shamba la swadaqa tu.., Masikini TZ almanusra viwanda vitugomboe mapema!!Kasi ya pepo za kusi kuanza ni dalili ya mvua za mwaka kuanza wakulima kuandaa shamba
Mapema asubuhi mvuvi anakwenda baharini kuvua samakiShamba la bibi litabaki shamba la swadaqa tu.., Masikini TZ almanusra viwanda vitugomboe mapema!!
Samaki aina sato na sangara ni watamu sana,hupatikana kwa wingi ziwa victoria.Mapema asubuhi mvuvi anakwenda baharini kuvua samaki
Ziwa victoria ni moja ya maziwa makubwa yenye samaki wengi na wananchi wanajishughulisha na usafirishaji pamoja na uvuviSamaki aina sato na sangara ni watamu sana,hupatikana kwa wingi ziwa victoria.
Samaki pekee waliyopo nchini ni commodity ingeweza nyanyua soko letu katika uchumi wa taifa na kushindana hata na Japan !!!Mapema asubuhi mvuvi anakwenda baharini kuvua samaki
Japan wana teknolojia kubwa sana katika shughuli za baharini lakini sisi tunatumia mbinu za kale za uvuviSamaki pekee waliyopo nchini ni commodity ingeweza nyanyua soko letu katika uchumi wa taifa na kushindana hata na Japan !!!
Uvuvi ni kama sekta ingine yeyote !! iweje ktk machimbo, migodi ya madini tutumie high tech, na uvuvi tuishie kwenye mitumbi na nyavu????Japan wana teknolojia kubwa sana katika shughuli za baharini lakini sisi tunatumia mbinu za kale za uvuvi
Nyavu zinazotumika ni ndogo kwa kuvua samaki wadogo na baruti ni uvuvi haramuUvuvi ni kama sekta ingine yeyote !! iweje ktk machimbo, migodi ya madini tutumie high tech, na uvuvi tuishie kwenye mitumbi na nyavu????
Haramu haithibiti ikiwa elimu ya kuelimishana haijatangulia kwa wahusika.., Awareness ni hatua bora katika kupata viwango !!Nyavu zinazotumika ni ndogo kwa kuvua samaki wadogo na baruti ni uvuvi haramu
Uvivu ni mojawapo ya sector inayoingizia serikali mapato mengi sana.Ziwa victoria ni moja ya maziwa makubwa yenye samaki wengi na wananchi wanajishughulisha na usafirishaji pamoja na uvuvi
Mapato mengi sana yanapatikana ziwani na baharini kwa wavuvi, wachuuzi na wafanya biasharaUvivu ni mojawapo ya sector inayoingizia serikali mapato mengi sana.
Biashara ya kuuza samaki inalipa sana,ila anayenufaika zaidi ni dalali na sio mvuvi.Mapato mengi sana yanapatikana ziwani na baharini kwa wavuvi, wachuuzi na wafanya biashara
Viwango vimewekwa na elimu ya kutosha inatolewa na mamlaka husika pamoja na ulinzi wa kutosha kutoka kwa marine park na TANAPA lakini wavuvi bado wanaendekeza uvuvi haramu kuuza samaki wasafirishwe na wafanya biasharaHaramu haithibiti ikiwa elimu ya kuelimishana haijatangulia kwa wahusika.., Awareness ni hatua bora katika kupata viwango !!
Mvuvi analipia leseni kuongeza pato la taifa ila cha ajabu leseni inalipiwa bei tofauti mfano (tanga mjini, muheza(kigombe), pangani na zanzibar), mvuvi wa Tanga anakwenda kigombe kukata leseni, na wa kigombe anakwenda pangani kukata leseni, sijajua mikoa mingine bei zipo vipi. Leseni ya mvuvi ni moja tu inatumika hiyohiyo Tanzania nzima na inaongezeka mara kwa mara kulipia kodi, serikali iwape nafuu wavuvi wapate faida katika soko la samakiBiashara ya kuuza samaki inalipa sana,ila anayenufaika zaidi ni dalali na sio mvuvi.
Samaki na mazo mengine yana URASIMU kibao !!!Mvuvi analipia leseni kuongeza pato la taifa ila cha ajabu leseni inalipiwa bei tofauti mfano (tanga mjini, muheza(kigombe), pangani na zanzibar), mvuvi wa Tanga anakwenda kigombe kukata leseni, na wa kigombe anakwenda pangani kukata leseni, sijajua mikoa mingine bei zipo vipi. Leseni ya mvuvi ni moja tu inatumika hiyohiyo Tanzania nzima na inaongezeka mara kwa mara kulipia kodi, serikali iwape nafuu wavuvi wapate faida katika soko la samaki
Kibao kielekezwe kwa wavuvi maisha yao yapo duni sana sio serikali iwape kipaumbele wafanyabiashara pekee na wakulima, bahari tunayo samaki tunao Mungu atupe nini nchi hiiSamaki na mazo mengine yana URASIMU kibao !!!
Nchi hii bila kufuata utaratibu tuliojiwekea,sheria na kila mmoja kutimiza wajibu wake.. Tutapiga mark timeKibao kielekezwe kwa wavuvi maisha yao yapo duni sana sio serikali iwape kipaumbele wafanyabiashara pekee na wakulima, bahari tunayo samaki tunao Mungu atupe nini nchi hii
Time ya watu kupeana hamasa na kuwa wajasiriamali ndio hiiNchi hii bila kufuata utaratibu tuliojiwekea,sheria na kila mmoja kutimiza wajibu wake.. Tutapiga mark time
Hii ni fadhila tosha adhimu na neema tuliyopendelewa mbele ya wengi waliyo nyimwa au hata kutofikiriwa robo yake.. Lakini ufujaji wetu umekuwa janga !!!Kibao kielekezwe kwa wavuvi maisha yao yapo duni sana sio serikali iwape kipaumbele wafanyabiashara pekee na wakulima, bahari tunayo samaki tunao Mungu atupe nini nchi hii