Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,996
- 15,119
Pembeni mwa barabara kuna mitaro iliyo wazi ambayo husababisha uchafu na matope kufurika hadi kutawanyika mitaani....Kiswahili kimezidi sana kayika siasa za bongo kwa hali ilivyo sasa akunabudi watu wafanyekazii yakujenganchi nakuweka maslahi binafsi pembeni
Mitaani uchafu wote wanatupa kwenye mitaro mpaka inapelekea kuziba na watu wakifua na kuosha vyombo maji yanatupwa barabaraniPembeni mwa barabara kuna mitaro iliyo wazi ambayo husababisha uchafu na matope kufurika hadi kutawanyika mitaani....
Barabarani si uchafu tu ila hata barabara zenyewe mbovuMitaani uchafu wote wanatupa kwenye mitaro mpaka inapelekea kuziba na watu wakifua na kuosha vyombo maji yanatupwa barabarani
Barabarani siku hizi kuna fanyika biashara nyingi huwezi juwa kama ni soko au njia ya magari...Mitaani uchafu wote wanatupa kwenye mitaro mpaka inapelekea kuziba na watu wakifua na kuosha vyombo maji yanatupwa barabarani
Magari yanapita kwa tabu mfano kariakoo kuna mtu aligonga bidhaa zilizopangwa barabarani na gari huwezi amini wamachinga wenye hasira kali walimpiga mpaka kifo na alikuwa tayari kuomba msamaha na kulipa gharamaBarabarani siku hizi kuna fanyika biashara nyingi huwezi juwa kama ni soko au njia ya magari...
Gharama ile isingefika hata shilingi elfu kadhaa lakini uhai wa mtu umepotea.....Magari yanapita kwa tabu mfano kariakoo kuna mtu aligonga bidhaa zilizopangwa barabarani na gari huwezi amini wamachinga wenye hasira kali walimpiga mpaka kifo na alikuwa tayari kuomba msamaha na kulipa gharama
Umepotea uhai wake kwa kugonga nyanya zilizopangwa barabarani, sababu ni hasira tu za wamachinga kusumbuliwa na askari wa jijiGharama ile isingefika hata shilingi elfu kadhaa lakini uhai wa mtu umepotea.....
Jiji linahitaji kufumuliwa upya na kuwekewa mipango mbalimbali ya kukidhi wakazi....Umepotea uhai wake kwa kugonga nyanya zilizopangwa barabarani, sababu ni hasira tu za wamachinga kusumbuliwa na askari wa jiji
Wakazi wa jiji hawapo tayari na wanahisi Serikali inawaonea japo ni haki yao kuwekewa mazingira mazuri ya kufanya biasharaJiji linahitaji kufumuliwa upya na kuwekewa mipango mbalimbali ya kukidhi wakazi....
Biashara yangu kwa leo naishia hapa.., Mkuu SM wangu nashukuru kunipa wakati wako thamini..Wakazi wa jiji hawapo tayari na wanahisi Serikali inawaonea japo ni haki yao kuwekewa mazingira mazuri ya kufanya biashara
XoryUmepotea njia pale ulipopiga kura ya wazi wazi
Thamini utu kwani ni maliBiashara yangu kwa leo naishia hapa.., Mkuu SM wangu nashukuru kunipa wakati wako thamini..
Thamini utu kuliko kitu, usipo shukuru kidogo huwezi kushukuru kingi, Allah anapenda viumbe wake anapowapa rizki na kushukuruBiashara yangu kwa leo naishia hapa.., Mkuu SM wangu nashukuru kunipa wakati wako thamini..
Zaidi ya kujifunza tunatakiwa kuithamini na kujivunia lugha yetu ya kiswahili.Kibantu ni lafudhi, lahaja au masamiati ? hebu mwaga maelezo tujifunze zaidi...
Kiswahili night lugha nzuri sana yafaa tuikuze itambulike zaidi ktk mataifa mbalimbaliZaidi ya kujifunza tunatakiwa kuithamini na kujivunia lugha yetu ya kiswahili.
Mbalimbali na lugha pia utohoaji wa maneno umekua mwingiKiswahili night lugha nzuri sana yafaa tuikuze itambulike zaidi ktk mataifa mbalimbali
Mbalimbali na lugha pia utohoaji wa maneno umekua mwingi
Mwingi sana kiasi kwamba hata walengwa wanashindwa kuelewa maana halisi kirahisi